Mkuu utakufa na tai shingoni mimi simkubali samia ila pia pesa huwa siachi , pesa nachukua nakura simpi na kushinda atashinda win win situation.Kwa sasa mfukoni mwangi nina 15,000 tu .
Atokee mtu aniambie niwe shabikia wa samia au ccm, au kuvaa nguo ya ccm anipe milioni sitakubali kamwe hata kwa panga!
Sasa huyo AY ameshawahi kushika hiyo pesa?$400,000 Marekani unanunua nyumba ya maana, sema watu ambao hamjawahi kusafiri kila kitu mnaona hatari
Hiyo kauli ya dotto , masikini hana upande, kokote kule anapopata chochote ndio huko hukoChawa Mwandamizi-Senior Chawa.
Maskini hana kiapo,in Dotto Magari's voice.
Noma sanaHuyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.
Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!
Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.
Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.
Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Kuna tofauti ya kuwa shabiki au mwanacha chama fulani na kuwa chawa, japo ni mstari mwembamba sana unaotenganisha haya mambo.Kwa kweli inasikitisha kuona watu wanawaingilia wenzao katika haki zao za kikatiba na kibinadamu.
Kwani msanii hatakiwi kushabikia CCM?
Mimi si mpenzi, mwanachama wala mshabiki wa CCM.
Lakini, kifalsafa, kila mtu ana haki ya kushabikia chama anachokitaka.
Tuwapinge watu kwa hoja, sio kwa sababu wameamua kushabikia chama fulani.
Kushabikia chama chochote anachoamua mtu, au mwanasiasa yeyote, ni haki ya uraia, ni haki ya kikatiba, ni haki ya kibinadamu.
Kwa nini watu wanaodai demokrasia wao wenyewe wanashindwa kuheshimu uamuzi wa watu wengine kushabikia vyama fulani au wanasiasa fulani, kitu ambacho ni sehemu ya demokrasia?
Huyu brother na mkewe yule mnyalu walishatengana?Pigo la kuachana na mkewe limemtafuna ubongo, hadi leo naona hayuko sawa!
Hata kuwa chawa ni haki ya kiraia, kikatiba na kibinadamu.Kuna tofauti ya kuwa shabiki au mwanacha chama fulani na kuwa chawa, japo ni mstari mwembamba sana unaotenganisha haya mambo.
Kwa kweli inasikitisha kuona watu wanawaingilia wenzao katika haki zao za kikatiba na kibinadamu.
Kwani msanii hatakiwi kushabikia CCM?
Mimi si mpenzi, mwanachama wala mshabiki wa CCM.
Lakini, kifalsafa, kila mtu ana haki ya kushabikia chama anachokitaka.
Tuwapinge watu kwa hoja, sio kwa sababu wameamua kushabikia chama fulani.
Kushabikia chama chochote anachoamua mtu, au mwanasiasa yeyote, ni haki ya uraia, ni haki ya kikatiba, ni haki ya kibinadamu.
Kwa nini watu wanaodai demokrasia wao wenyewe wanashindwa kuheshimu uamuzi wa watu wengine kushabikia vyama fulani au wanasiasa fulani, kitu ambacho ni sehemu ya demokrasia?
Damn right.
Sasa kwa nini wabongo wengi wanao support upinzani wanaona kila msanii ni lazima awe mpinzani, na asipokuwa mpinzani basi ni chawa mshenzi shetani mganga njaa?
Kwanza kabisa hilo la kumnafikia mtu kwa sababu ya njaa ni vigumu kuliprove.View attachment 3248046
Mkuu tofautisha kuunga mkono na uchawa. Uchawa ni kumnafikia mtu kwa sababu ya njaa. Hiyo ndio tunayoikataa
Hata mimi nilishangaa sana nilipokuwa naangali kipindi cha House Hunters ,unakuta nyumba fresh tu tena beach front inauzwa $600,000.$400,000 Marekani unanunua nyumba ya maana, sema watu ambao hamjawahi kusafiri kila kitu mnaona hatari
Bwabwa hiloWewe ni KE au ME?