Unapaswa kufahamu tatizo la uchawa lilianzia wapi, kwa nini neno uchawa limekuwa maarufu sana baada ya mwaka 2016.Mkuu mbona wasanii kibao wameenda CHADEMA wengine mpaka wakapata ubunge, kina Sugu, kina Prof. Jay.
Tena Prof. Jay alianzia CCM akahamia CHADEMA.
Na hata wasanii wote wakienda CCM, tatizo liko wapi? Si haki yao ya kiraia, kikatiba na kibinadamu?
Unataka kuwapangia waende wapi?
Uchawa si tatizo.Unapaswa kufahamu tatizo la uchawa lilianzia wapi, kwa nini neno uchawa limekuwa maarufu sana baada ya mwaka 2016.
Huyo ni mzee wa commercialHuyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.
Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!
Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.
Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.
Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Yote 9,ukweli wasanii mwaka huu wametisha asee.. 🙌🙌Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.
Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!
Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.
Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.
Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Kuna tatizo kubwa sana la watu kujiona wanawajua ma celebrity, wanawafanya kama rafiki zao.Huyo ni mzee wa commercial
Kama hujui hujui tu
Uchawa ni tatizo kubwa tu.Uchawa si tatizo.
Uchawa ni haki ya kisiasa, kikatiba, kidemokrasia, kibinadamu.
Inawezekana kuna tatizo lakini hamuwezi ku articulate hilo tatizo.
Sasa huyo AY ameshawahi kushika hiyo pesa?
Kuna tatizo kubwa sana la watu kujiona wanawajua ma celebrity, wanawafanya kama rafiki zao.
Halafu siku celebrity akiamua kuishi maisha yake anavyojua yeye, tofauti na mategemeo ya jamii, watu wanakuwa so disappointed.
Huyu jamaa alijijengea heshima kubwa sana katika bongo fleva na kuonekana ni mmoja ya wasanii wa bongo wanaopush mziki huo kimataifa.
Kuna kipindi akawa yupo mamtoni huko anapiga mitkasi yake!
Sasa hivi tunae hapahapa kwa Nyerere, amegeuka chawa mwandamizi wa mama Samia.
Kichaa Dotto Magari aliwahi kutuambia, maskini hana kiapo. Sasa nimekubali msemo wake.
Nini hasa kimemtokea msanii AY ?
View attachment 3247946
Duuuh Ay aliachana na yule bi dada???!!!! Kweli mapenzi yafutwePigo la kuachana na mkewe limemtafuna ubongo, hadi leo naona hayuko sawa!
Wengine wote sijawajibu lakini hadi wewe? Umeniangusha na kikao kijacho cha wambea tutakutoa nje.Duuuh Ay aliachana na yule bi dada???!!!! Kweli mapenzi yafutwe
TrueAY,kaisha mufilisi ana stress za kuchoka ,hakujipanga kimaisha,huyo chawa aibu yake .atkuea Kam dudu baya
Nature nzima ya celebrity ni fursa na personal gainKuna tatizo kubwa sana la watu kujiona wanawajua ma celebrity, wanawafanya kama rafiki zao.
Halafu siku celebrity akiamua kuishi maisha yake anavyojua yeye, tofauti na mategemeo ya jamii, watu wanakuwa so disappointed.
Duuuuh jamani!!!! Pole zake kaka yetu..... Imekua kama flavy matata baada ya picha ya ndoa tu hakuwahi teeena kuonekana na mme jini mkata kamba hakulala.Wengine wote sijawajibu lakini hadi wewe? Umeniangusha na kikao kijacho cha wambea tutakutoa nje.
Waliachana mara tu walipofunga ndoa, hawakudumu hata mwaka!
Walipofika US mwanamke akamgeuka AY, akapata kazi huko maana kielimu yuko vizuri basi kaka yetu akarudi bongo mikono nyuma.
Ndio kama hivyo unavyomuona, wanalea tu yule mtoto wao mmoja na kama sikosei mwanamke alishaolewa zake tena baada ya kufile divorce.
Dah jamaa hazeeki kabisa. Huwezi amini alishwahi hushle na mzee ujanani, ila mzee wangu kipara mvi kibaoChege
Kwa sababu watu wengi waliofanikiwa huwa ni wabinafsi na wanyonyaji.Hivi kwanini masikini huwa anafurahia kuporomoka kwa mtu?
Sasa mtu akifanikiwa inatakiwa afanye nini kuwaridhisha masikini?Kwa sababu watu wengi waliofanikiwa huwa ni wabinafsi na wanyonyaji.