The bad thing ni kuwa wanawake mko kwenye competition.Thats what going on in the background! Mungu alipotoa ujumbe tuishini nanyi kwa akili hakuutoa tu hivi hivi. Ukitaka kujua mwanamke yuko kwenye competition na wewe fulia uone.
Mwanamke sikuzote anapambana ili awe na uwezo sawa na mwanaume au amzidi! Ikitokea kwa namna yeyote mwanaume amechomoka kwenye line ya pesa basi kama mwanamke atakuwa vyema zaidi lazma atampita na kumuacha huwaga hamnaga subira. Ukishamuacha mume hatua kadhaa kwenye progress ya maisha ndipo anapopoteza control maana hutataka ku controliwa na mtu ambaye hana powers na uchumi ndio sauti yenyewe sikuhizi, huna hela utaongea nini usikilizwe kulipa bill huwezi chakula huna hela ya kununua. Wanawake wengi wanakuwa submissive mwanaume akiwa na power ya ku control mahusiano na uchumi ukiwa mzuri!
Ukizungumzia treatment i won’t agree with you sababu hata kama jamaa yako aliku treat vizuri kiasi gani when butters come to an end lazma utambadilikia tu! Wanawake wengi ndio mko hivyo hata kama jamaa alikuwa anakupeleka Dubai, ibiza, Bali, Hollywood siku nguvu ya kukupeleka kule akiwa hana utamchoka na kumdharau tu! Wengine huishia kuchanganyikiwa kabisa na kuona sasa dunia ni kizungumkuti mwanaume kazi hana tena ina maana mie ndio nitaanza kuchangia huduma za kifamilia. Gomvi linaanzia hapo!