Suala la Mwanamke kuwa na Elimu/Pesa/Mafanikio kumzidi mwanaume wake!

Leo nimeamua kuandika hili jambo baada kuona limekua Bomu linalochipuka na ambalo miaka 10 ijayo litakapolipuka, Wanaume wengi watakua waoga sana na wengine kuuacha uanaume wao na huenda neema ya wanawake kuanza kuoa wenyewe ikaja !!.

Mdau mmoja ananiambia " Carlos nina rafiki yangu huyo ana Pesa, ana elimu, ,yaan hadi mwanaume anapigwa makofi lakini anatulia".

Huenda ni Maisha ambayo Wanaume ambao wanazidiwa vipato au hata hawazidiwi lkn ni maisha wanayopitiwa sana.

Nadhan nitakua sahihi kusema " Sasa Tanzania ni kama Kenya , ambapo Wanaume wananyanyaswa kijinsia na wanawake wao"....

NIANZE HIVI ... Dunia ya Sasa ni Ukombozi yaan mwanamke hatakiwi kuachwa nyuma, kielimu, kiuchumi, kisiasa ,n.k

Ndio sababu unaona ,tunaanza darasa la kwanza tunao, tunaingia sekondari tunao pia tunasoma nao, tunaingia vyuo ,tunao piaa, tunarudi mtaani na makazin tunao pia.

Kwa hiyo ni wazi kabisa kusema kwamba ni haki ya mwanamke kusoma, kupata uchumi wake, kuheshimika kinafasi na kua na mafanikio yake .

Ndio sasa amefanikiwa, ana elimu kubwa alosoma kutimiza ndoto yake, ana pesa, anatambulika... JE AOLEWE AU APENDWE NA MWANAMKE MWENZAKE??.

Ninani wakumpenda na Kumuoa huyu mwanamke"?? JIBU NI MOJA NI MWANAUME.

sasa leo niwambie KATIKA UKAMILIFU WA MWANAMKE, WEWE MWANAUME ni zaidi ya Elimu/Pesa/Mafanikio alonayo mwanamke.

[emoji117]NISIKILIZENI JAMAA, MWANAMKE ALIUMBWA KUJENGA FAMILIA, MWANAMKE ALILETWA DUNIANI KWETU SISI WANAUME KUENDELEZA KIZAZI ....kwa hivo bila kujalisha Elimu /Kazi yake, Siku zote kuna umri wa mwanamke akishaona hatongozwi, ataanza kuombea Apate Ndoa tu, akiona ndoa haipo, atatamani angalau apate mtoto,... Unamuona mwanamke akikosa mtu sahihi wa kumpa mtoto , atabaki anataman basi apatikane tu mwanaume azae naye ,apate mtoto, alee mtoto wake yaaan Pesa zake azitumie sasa vizuri.

( NIMEANZA KUYASEMA HAYO, ILI WEWE MWANAUME UONE NAFASI YAKO KATIKA ULIMWENGU WA MWANAMKE)

Aaahh sikilizeni, namaanisha hivi hata kama ana Pesa, ana elimu ana mafanikio na na akapata watoto, lkn hana mume, BADO BADO BADO ATATEGEMEA KUA NA MTU " WAKUWEKANA NAYE SAWA"...huyu. mtu anaweza asiwepo masaa 24, ila kwakua yupo, anajua fika kwamba ,siku nikiwa na muwasho nitakwenda kwa CARLOS.

[emoji117]SHIDA INAANZA IVI ?
je wasiwe na wapenzi?? Je wapendwe na Watu weenye vipato zaidi yao?
Enyi wanaume, nawaambieni, MAPENZI NI HISIA , mapenzi hayapo katika Elimu, wala pesa.

Ndioo kuna wakati unamkuta mwanamke ana masters ya kitu fulan, ivo basi utasikia anakuambia, Nataka mwanaume mwenye Elimu fulani ,au mwenye uwezo fulani wa kiuchumi. .... LAKINI huyu huyu mwanamke, kuna wakati unafika anasema "Mungu niletee tu Mume mwema"....
Kwann hakutaka kuendelea na VIGEZO VYAKE ?? kwa sababu WAKATI WA KUA NA MWANAUME WAKE UMEFIKA ,HANA HANA CHAGUZI LINGINE NA HIVO BASI ANALAZIMIKA YEYE KUFANYA FIRST MOVE .
[emoji117]Rafiki yangu mmoja wa kike anamiaka karibu 36 , siku moja akaniambia "CAELOS nina kazi yangu ,nina pesa yangu, ila kazini siheshimiki, naonekana mdangaji, mabinti wadogo kazin wameolewa Lakini mimi bado, jambo hili linaniumiza sana sana nahata kazini siheshimiki..

Kwanini Anaumia ? KWA SABABU KUITWA KWA JINA LA MUME WAKE, NI JAMBO LINALOMUHESHIMISHA MWANAMKE KATIKA JAMII.
hamna cha U-FEMINISTS wala cha bibi yake , Ukweli nikwamba, HATA HAWA WANAOJIITA LEO MAFEMINISTS , WANA WATOTO KADHAAA, KISHA KWA SABABU TUSIZOZIJUA, WAKAACHIKA NDOANI...... Sasa anaamua kujisimamia mwenyewe sababu anajiweza, LKN NAWAAMBIENI, MCHANA NI MAFEMINISTS, USIKU KUNA WANAUME WANAWAKAZA VIZURI TU[emoji109]
( Nimelichomekea hilo kuona NAFASI YAKO WEWE MWANAUME KTK ULIMWENGU WA MWANAMKE)

[emoji117]TURUDI KWENYE MADA YETU SASA !!

Ndugu zangu, Sio dhambi kua na mwanamke mwenye kipato, au elimu kubwa....
HOFU yetu sisi ni juu ya kudhaurilika, kwamba mwanamke akishakuzidi elimu ,au kipato basi atakudharau, hatokuheshimu n.k
lakini kwann ayafanye hayo? Je wee sio mumewe tena? , je anataka sasa atafute Mume mwingine wa juu yake zaidi???. HAPANA.

Je huenda ni TABIA yake halisi sasa anaifichua kwamba huko nyuma alijifanya kondoo ila hakua anayekufaa?? JIBU NI NDIO , na mwanamke huyu sio mtu sahihi kwako. ( ACHANA NAYE KABLA HAJAUVUA UTU WAKO.).

[emoji818][emoji818]Tatizo kubwa liko wapi? Ni pesa zake ? Elimu? Tabia ??....
TATIZO KUBWA NI SISI WANAUME
[emoji117]kuathirika na Imani yakwamba mke akifanikiwa, anabadilika, ivo mkeo anapofanikiwa, mwanaume unaanza kujinyenyekeza nakujipendekeza kwa mkeo, hata unajikuta ule wajibu wa kiume umeuacha , NA HIVO MKEO ANABADILIKA KUTOKANA NA MAZOEA MAPYA ULOAMUA KUMPA ...... Ulikua ukihoji sasa umeacha, ulikua ukikasirika na anajua sasa umeacha, ulikua akizengua unampa makofi sasa unaacha, ulikua unafokea sasa unaacha.....kirahisi tu, unaacha sababu Amefanikiwa kwahiyo unaogipa kuachwa, ivo hata afanye nn ,wee ni sawa tu[emoji23][emoji23]

[emoji117]ilo la juuu, linakufanya upoteze DOMINANCE, LEADERSHIP, AUTHORITY JUU YA MKEO ...na ninawaaambia, Mwanamke hata aweje, kama utapoteza vitu hivi vitatu, nibora tu umwambie ongeza MUME WA PILI MKE WANGU.

NINI KIFANYIKE??

kama mwanaume, vijana

[emoji117]JIPE THAMANI
[emoji117],Wewe ni kichwa cha familia na familia yako LAZIMA UILISHE KWA JASHO ,hivo basi pambana kwa kadiri ya uwezo wako na kwa kadiri ambavyo MUNGU AMEKUBARIKIA.[emoji123]
[emoji117]HAKIKISHA , TAFADHALI ,HAKIKISHA YAAN HAKIKISHA UNAKUA MAMLAKA, MTAWALA NA KIONGOZI KATIKA DUNIA YA MKEO BILA KUJALISHA KAFANIKIWA.

[emoji117]HAKIKISHA ANAJUA KUA UNAMPENDA NA UNAMJALI SAWA NA KIPATO CHAKO ILA BADO AKILETA UJINGA MBALI NA PESA ZAKE, UPO TAYARI KUMWACHA NA KUOA MWANAMKE MWENGINE, NAKUMUACHA YEYE AMBAPO NAYE BADO ATAENDA TUUU KUTAFUTA MWANAUME MWENGINE KWASABABH HAWEZI ISHI BILA MWANAUME.

[emoji117]KATIKA YOTE HAYO, TIMIZA WAJIBU WAKO KAMA BABA NAKAMA MUME

[emoji117]USISHOBOKEE PESA YAKE , WALA KUHOJI WALA NINI, INAPOBIDI MKONO WAKE MSHIRIKISHE, NA UMSHIRIKISHE KAMA MUME NASIO KINYONGEE NYONGEE

[emoji117]WATIENI , WATIE, WAPELEKEENI MOTO, SUGUAA, PIGAAA PIGAAAA,PIGA MPAKA AJIONE ANAISHI KWA SABABU YA KITOMBO UNACHOMPA NASIO MAFANIKIO YAKE...( atakua anakuita mwenyewe Baba ,pesa hii hapa).

Mwanamke ni mwanamke ,awe mjeshi. Awe CEO ,awe wa elimu gan, aweje, maadam alikukubalia ulipomtongoza, BASI JUA TU SHE IS JUST A WOMAN , ni mtoto tu mdogo anayehitaji malezi ya Baba yake WAKATI HUOHUO HATAKI AWE KAMA MAMA YAKO.

Mtaishi nao vizuri !!

Ila ndo mkiendekeza ubebi bebi bebi bebi ,bebi ,aaahhhh atakushinda tu alafu utarudi na uzi humu ukilia " Kabadilika baada ya kupata Pesa, KUUUUUMBE, KIRUSI NI WEWE MWENYEWE, ULIYEAMUA KUSAHAU MISINGI YA UANAUME WAKO.

[emoji117]MWISHO

Kuanza Upya sio ujinga, USIWE MZITO KUMUACHA MWANAMKE , WANAWAKE NI WENGI NA WAMEJAA, YES KABADILIKA KWA UZEMBE WAKO, BASI CHUKUA HATA HATUA YA KUACHANA NAYE MARA MOJA, KULIKO KUACHA UTU WAKO UCHEZEWE.

Maneno yangu sio sheria.
We jamaa ni malaya na hapa umeongea kweli tupu. Wallahi ningekuwa na milioni ya fasta fasta ningekutumia.
 
Chukua hatua ya kuachana nae Mara 1
Kuliko kuacha Utu wako Uchezewe

Neno sana
 
The Jackal. Umepiga nyundo nzito sana. Natamani sana huu uzi uwafikie wote jisia hii iliyomfanya Nabii Adam akakiuka amri aliyopewa na Mola wake na kulila tunda ambalo aliamrishwa asile.

Utafiti wangu nilioufanya japokuwa haukuwa rasmi, sisi ambao tuna uhusiano wa karibu na TBL au SBL sehemu zetu tunazokutania ili kujenga mahusiano kati yetu (Bar) utakuta mabrazameni wengi wa maofisini wanakuja na totozi zao nazo pia ukiangalia unajua kabisa na zenyewe zipo kwenye vitengo au ofisi fulani fulani.

Lakini sasa hebu bahatika uhuzurie harusi ya huyu brazameni unakuta ana ngoma nyengine kabisa tofauti na wala haifanani kabisa na yule wa kiofisi ofisi. Hii ni dhahiri kabisa wanakwepa kile ulichokiongea kwenye uzi wako. Ni kweli sisi wanaume tunahitaji kuheshimiwa hatupendi dharau.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Aaah hata na wanaume wakipata pesa hupenda sana kuwa na wanawake wengi tena wazuri hasa kumshinda mkewe asa shida iko wap wanawake wakipindua meza[emoji2][emoji2][emoji2] tulieni dawa iingie
Wee umwongea ukweli. Kidume akiwa na hela lazima akageggedw pisi kali kuliko mkewe so wats wrong with mke kwenda kugegedwa na kidume mwenye pesa zaidi yake mke
 
Wengi wa Wanawake hawana Akili... Hapa Akili namaanisha uwezo wa kufikiria, kupambanua mambo, kutatua matatizo na kutoa maamuzi sahihi na yenye tija kwa wanaomzunguka; iwe kazini, kwenye familia au hata katika jamii aliyopo.

Tunaweza kuona baadhi ya Wanawake wengine wakifanya vizuri lakini ukweli nyuma ya pazia ni maamuzi na maelekezo kutoka kwa Waume zao. Imagine akiwa na 'Power' alafu awe hana Mume!?

Mwanaume ni Mwanaume tu hata aweje.
&
Mwanamke atabaki kuwa Mwanamke hata akilazimisha kujifananisha sawa na Mwanaume hatoweza!.
 
Leo nimeamua kuandika hili jambo baada kuona limekua Bomu linalochipuka na ambalo miaka 10 ijayo litakapolipuka, Wanaume wengi watakua waoga sana na wengine kuuacha uanaume wao na huenda neema ya wanawake kuanza kuoa wenyewe ikaja !!.

Mdau mmoja ananiambia " Carlos nina rafiki yangu huyo ana Pesa, ana elimu, ,yaan hadi mwanaume anapigwa makofi lakini anatulia".

Huenda ni Maisha ambayo Wanaume ambao wanazidiwa vipato au hata hawazidiwi lkn ni maisha wanayopitiwa sana.

Nadhan nitakua sahihi kusema " Sasa Tanzania ni kama Kenya , ambapo Wanaume wananyanyaswa kijinsia na wanawake wao"....

NIANZE HIVI ... Dunia ya Sasa ni Ukombozi yaan mwanamke hatakiwi kuachwa nyuma, kielimu, kiuchumi, kisiasa ,n.k

Ndio sababu unaona ,tunaanza darasa la kwanza tunao, tunaingia sekondari tunao pia tunasoma nao, tunaingia vyuo ,tunao piaa, tunarudi mtaani na makazin tunao pia.

Kwa hiyo ni wazi kabisa kusema kwamba ni haki ya mwanamke kusoma, kupata uchumi wake, kuheshimika kinafasi na kua na mafanikio yake .

Ndio sasa amefanikiwa, ana elimu kubwa alosoma kutimiza ndoto yake, ana pesa, anatambulika... JE AOLEWE AU APENDWE NA MWANAMKE MWENZAKE??.

Ninani wakumpenda na Kumuoa huyu mwanamke"?? JIBU NI MOJA NI MWANAUME.

sasa leo niwambie KATIKA UKAMILIFU WA MWANAMKE, WEWE MWANAUME ni zaidi ya Elimu/Pesa/Mafanikio alonayo mwanamke.

[emoji117]NISIKILIZENI JAMAA, MWANAMKE ALIUMBWA KUJENGA FAMILIA, MWANAMKE ALILETWA DUNIANI KWETU SISI WANAUME KUENDELEZA KIZAZI ....kwa hivo bila kujalisha Elimu /Kazi yake, Siku zote kuna umri wa mwanamke akishaona hatongozwi, ataanza kuombea Apate Ndoa tu, akiona ndoa haipo, atatamani angalau apate mtoto,... Unamuona mwanamke akikosa mtu sahihi wa kumpa mtoto , atabaki anataman basi apatikane tu mwanaume azae naye ,apate mtoto, alee mtoto wake yaaan Pesa zake azitumie sasa vizuri.

( NIMEANZA KUYASEMA HAYO, ILI WEWE MWANAUME UONE NAFASI YAKO KATIKA ULIMWENGU WA MWANAMKE)

Aaahh sikilizeni, namaanisha hivi hata kama ana Pesa, ana elimu ana mafanikio na na akapata watoto, lkn hana mume, BADO BADO BADO ATATEGEMEA KUA NA MTU " WAKUWEKANA NAYE SAWA"...huyu. mtu anaweza asiwepo masaa 24, ila kwakua yupo, anajua fika kwamba ,siku nikiwa na muwasho nitakwenda kwa CARLOS.

[emoji117]SHIDA INAANZA IVI ?
je wasiwe na wapenzi?? Je wapendwe na Watu weenye vipato zaidi yao?
Enyi wanaume, nawaambieni, MAPENZI NI HISIA , mapenzi hayapo katika Elimu, wala pesa.

Ndioo kuna wakati unamkuta mwanamke ana masters ya kitu fulan, ivo basi utasikia anakuambia, Nataka mwanaume mwenye Elimu fulani ,au mwenye uwezo fulani wa kiuchumi. .... LAKINI huyu huyu mwanamke, kuna wakati unafika anasema "Mungu niletee tu Mume mwema"....
Kwann hakutaka kuendelea na VIGEZO VYAKE ?? kwa sababu WAKATI WA KUA NA MWANAUME WAKE UMEFIKA ,HANA HANA CHAGUZI LINGINE NA HIVO BASI ANALAZIMIKA YEYE KUFANYA FIRST MOVE .
[emoji117]Rafiki yangu mmoja wa kike anamiaka karibu 36 , siku moja akaniambia "CAELOS nina kazi yangu ,nina pesa yangu, ila kazini siheshimiki, naonekana mdangaji, mabinti wadogo kazin wameolewa Lakini mimi bado, jambo hili linaniumiza sana sana nahata kazini siheshimiki..

Kwanini Anaumia ? KWA SABABU KUITWA KWA JINA LA MUME WAKE, NI JAMBO LINALOMUHESHIMISHA MWANAMKE KATIKA JAMII.
hamna cha U-FEMINISTS wala cha bibi yake , Ukweli nikwamba, HATA HAWA WANAOJIITA LEO MAFEMINISTS , WANA WATOTO KADHAAA, KISHA KWA SABABU TUSIZOZIJUA, WAKAACHIKA NDOANI...... Sasa anaamua kujisimamia mwenyewe sababu anajiweza, LKN NAWAAMBIENI, MCHANA NI MAFEMINISTS, USIKU KUNA WANAUME WANAWAKAZA VIZURI TU[emoji109]
( Nimelichomekea hilo kuona NAFASI YAKO WEWE MWANAUME KTK ULIMWENGU WA MWANAMKE)

[emoji117]TURUDI KWENYE MADA YETU SASA !!

Ndugu zangu, Sio dhambi kua na mwanamke mwenye kipato, au elimu kubwa....
HOFU yetu sisi ni juu ya kudhaurilika, kwamba mwanamke akishakuzidi elimu ,au kipato basi atakudharau, hatokuheshimu n.k
lakini kwann ayafanye hayo? Je wee sio mumewe tena? , je anataka sasa atafute Mume mwingine wa juu yake zaidi???. HAPANA.

Je huenda ni TABIA yake halisi sasa anaifichua kwamba huko nyuma alijifanya kondoo ila hakua anayekufaa?? JIBU NI NDIO , na mwanamke huyu sio mtu sahihi kwako. ( ACHANA NAYE KABLA HAJAUVUA UTU WAKO.).

[emoji818][emoji818]Tatizo kubwa liko wapi? Ni pesa zake ? Elimu? Tabia ??....
TATIZO KUBWA NI SISI WANAUME
[emoji117]kuathirika na Imani yakwamba mke akifanikiwa, anabadilika, ivo mkeo anapofanikiwa, mwanaume unaanza kujinyenyekeza nakujipendekeza kwa mkeo, hata unajikuta ule wajibu wa kiume umeuacha , NA HIVO MKEO ANABADILIKA KUTOKANA NA MAZOEA MAPYA ULOAMUA KUMPA ...... Ulikua ukihoji sasa umeacha, ulikua ukikasirika na anajua sasa umeacha, ulikua akizengua unampa makofi sasa unaacha, ulikua unafokea sasa unaacha.....kirahisi tu, unaacha sababu Amefanikiwa kwahiyo unaogipa kuachwa, ivo hata afanye nn ,wee ni sawa tu[emoji23][emoji23]

[emoji117]ilo la juuu, linakufanya upoteze DOMINANCE, LEADERSHIP, AUTHORITY JUU YA MKEO ...na ninawaaambia, Mwanamke hata aweje, kama utapoteza vitu hivi vitatu, nibora tu umwambie ongeza MUME WA PILI MKE WANGU.

NINI KIFANYIKE??

kama mwanaume, vijana

[emoji117]JIPE THAMANI
[emoji117],Wewe ni kichwa cha familia na familia yako LAZIMA UILISHE KWA JASHO ,hivo basi pambana kwa kadiri ya uwezo wako na kwa kadiri ambavyo MUNGU AMEKUBARIKIA.[emoji123]
[emoji117]HAKIKISHA , TAFADHALI ,HAKIKISHA YAAN HAKIKISHA UNAKUA MAMLAKA, MTAWALA NA KIONGOZI KATIKA DUNIA YA MKEO BILA KUJALISHA KAFANIKIWA.

[emoji117]HAKIKISHA ANAJUA KUA UNAMPENDA NA UNAMJALI SAWA NA KIPATO CHAKO ILA BADO AKILETA UJINGA MBALI NA PESA ZAKE, UPO TAYARI KUMWACHA NA KUOA MWANAMKE MWENGINE, NAKUMUACHA YEYE AMBAPO NAYE BADO ATAENDA TUUU KUTAFUTA MWANAUME MWENGINE KWASABABH HAWEZI ISHI BILA MWANAUME.

[emoji117]KATIKA YOTE HAYO, TIMIZA WAJIBU WAKO KAMA BABA NAKAMA MUME

[emoji117]USISHOBOKEE PESA YAKE , WALA KUHOJI WALA NINI, INAPOBIDI MKONO WAKE MSHIRIKISHE, NA UMSHIRIKISHE KAMA MUME NASIO KINYONGEE NYONGEE

[emoji117]WATIENI , WATIE, WAPELEKEENI MOTO, SUGUAA, PIGAAA PIGAAAA,PIGA MPAKA AJIONE ANAISHI KWA SABABU YA KITOMBO UNACHOMPA NASIO MAFANIKIO YAKE...( atakua anakuita mwenyewe Baba ,pesa hii hapa).

Mwanamke ni mwanamke ,awe mjeshi. Awe CEO ,awe wa elimu gan, aweje, maadam alikukubalia ulipomtongoza, BASI JUA TU SHE IS JUST A WOMAN , ni mtoto tu mdogo anayehitaji malezi ya Baba yake WAKATI HUOHUO HATAKI AWE KAMA MAMA YAKO.

Mtaishi nao vizuri !!

Ila ndo mkiendekeza ubebi bebi bebi bebi ,bebi ,aaahhhh atakushinda tu alafu utarudi na uzi humu ukilia " Kabadilika baada ya kupata Pesa, KUUUUUMBE, KIRUSI NI WEWE MWENYEWE, ULIYEAMUA KUSAHAU MISINGI YA UANAUME WAKO.

[emoji117]MWISHO

Kuanza Upya sio ujinga, USIWE MZITO KUMUACHA MWANAMKE , WANAWAKE NI WENGI NA WAMEJAA, YES KABADILIKA KWA UZEMBE WAKO, BASI CHUKUA HATA HATUA YA KUACHANA NAYE MARA MOJA, KULIKO KUACHA UTU WAKO UCHEZEWE.

Maneno yangu sio sheria.
Labda nifungue ukurasa tu iko hivi jinsi unavyomtreat mwanamke wako tegemea malipo baada ya mafanikio makubwa atakayokupita atakayokuwa ameyapata kama ulikuwa una musoma wa nini basi atakuona hana kazi na wewe,ila kama ulimtendea vizuri wakati wote na kama kweli alikupenda kutoka moyoni basi mbaba tegemea mema kutoka kwake mbona utaenjoy mapenzi,suala la elimu sijui pesa halinaga nafasi katika mapenzi ila treatments zako ndio zitaamua akutendee vipi
 
Walijua kuwa wanawake wako in Stealth Competition with us!

Mwanamke ukimdhoofisha kiuchumi na kiakili ndipo utaweza kum control vizuri ndio maana wali discourage kuwapeleka shule hata zilipoanza. Sisemei ilikuwa ni jambo zuri ila kwa yanayoendelea sasa ulimwenguni napata point kwanini wazee walikomaa wanawake wasiende shule zama zile za mawe!

Mwanamke akiwa na supreme powers au kiuchumi anakuwa hatawaliki sababu sheria zote zinamlinda yeye hivyo anakuwa yeye ana option ya kufuata takwa lako au asifuate na hamna kitu utafanya! Asili ya mwanamke anatakiwa awe submissive kwa mwanaume ila ikifikia hapa kuji submit pia inakuwa option mpaka ajiskie yeye. Matokeo yako ni divorce rate kupanda na rate ya ndoa kupungua.

Kuishinda vita hio lazma mwanaume uwe very strong upstairs na psychologically ili umtawale mwanamke kiakili sio kwa mabavu kama ilivyokuwa zama zile! On top of that ku exercise powers zako kama kidume lazma uwe na uchumi imara japo pia sio guarantee! Mwanamke anaweza amua tu kukupotezea akafungukia dume jingine (Umalaya).
Angalau nimekuelewa wewe,kuna kaka mmoja wa kijaluo huyu kaka nilikuwa ninamsikiliza jinsi anavyojisifu jinsi kabila Lao wanavyojua kukatili watu na mambo meeeengi ya mapambano,na yeye mwenyewe akawa anasema hata yeye ni balaa hasikilizi mwanamke kwa chochote kile iwe kizuri ama kibaya hayuko tayari kwa hilo,baada ya mda mfupi akaoa ila baada ya mwaka na miezi 10 ndoa ikavunjika,huyo kaka hakuwa na kazi hatoi matumizi ila ujuaji ndio mwingi ni mkorofi hakuna mfano,sasa,baadae mkewe akapata kazi kajitahidi kufanya maendeleo kiasi ya ndani kahakikisha ananunua vitu vya muhimu vyote ambavyo si lazima kuwa navyo,sasa hivi ana viwanja viwili yuko anafanya ujenzi nyumba ya vyumba viwili ila imekamilika kila kitu ndani yule kaka anawaambia watu kuwa mke wake alikuwa na dharau na mambo mengi ya kumkashfu ila kiuhalisia ukiangalia si kweli dharau alijidharaulisha mwenyewe
 
Leo nimeamua kuandika hili jambo baada kuona limekua Bomu linalochipuka na ambalo miaka 10 ijayo litakapolipuka, Wanaume wengi watakua waoga sana na wengine kuuacha uanaume wao na huenda neema ya wanawake kuanza kuoa wenyewe ikaja !!.

Mdau mmoja ananiambia " Carlos nina rafiki yangu huyo ana Pesa, ana elimu, ,yaan hadi mwanaume anapigwa makofi lakini anatulia".

Huenda ni Maisha ambayo Wanaume ambao wanazidiwa vipato au hata hawazidiwi lkn ni maisha wanayopitiwa sana.

Nadhan nitakua sahihi kusema " Sasa Tanzania ni kama Kenya , ambapo Wanaume wananyanyaswa kijinsia na wanawake wao"....

NIANZE HIVI ... Dunia ya Sasa ni Ukombozi yaan mwanamke hatakiwi kuachwa nyuma, kielimu, kiuchumi, kisiasa ,n.k

Ndio sababu unaona ,tunaanza darasa la kwanza tunao, tunaingia sekondari tunao pia tunasoma nao, tunaingia vyuo ,tunao piaa, tunarudi mtaani na makazin tunao pia.

Kwa hiyo ni wazi kabisa kusema kwamba ni haki ya mwanamke kusoma, kupata uchumi wake, kuheshimika kinafasi na kua na mafanikio yake .

Ndio sasa amefanikiwa, ana elimu kubwa alosoma kutimiza ndoto yake, ana pesa, anatambulika... JE AOLEWE AU APENDWE NA MWANAMKE MWENZAKE??.

Ninani wakumpenda na Kumuoa huyu mwanamke"?? JIBU NI MOJA NI MWANAUME.

sasa leo niwambie KATIKA UKAMILIFU WA MWANAMKE, WEWE MWANAUME ni zaidi ya Elimu/Pesa/Mafanikio alonayo mwanamke.

[emoji117]NISIKILIZENI JAMAA, MWANAMKE ALIUMBWA KUJENGA FAMILIA, MWANAMKE ALILETWA DUNIANI KWETU SISI WANAUME KUENDELEZA KIZAZI ....kwa hivo bila kujalisha Elimu /Kazi yake, Siku zote kuna umri wa mwanamke akishaona hatongozwi, ataanza kuombea Apate Ndoa tu, akiona ndoa haipo, atatamani angalau apate mtoto,... Unamuona mwanamke akikosa mtu sahihi wa kumpa mtoto , atabaki anataman basi apatikane tu mwanaume azae naye ,apate mtoto, alee mtoto wake yaaan Pesa zake azitumie sasa vizuri.

( NIMEANZA KUYASEMA HAYO, ILI WEWE MWANAUME UONE NAFASI YAKO KATIKA ULIMWENGU WA MWANAMKE)

Aaahh sikilizeni, namaanisha hivi hata kama ana Pesa, ana elimu ana mafanikio na na akapata watoto, lkn hana mume, BADO BADO BADO ATATEGEMEA KUA NA MTU " WAKUWEKANA NAYE SAWA"...huyu. mtu anaweza asiwepo masaa 24, ila kwakua yupo, anajua fika kwamba ,siku nikiwa na muwasho nitakwenda kwa CARLOS.

[emoji117]SHIDA INAANZA IVI ?
je wasiwe na wapenzi?? Je wapendwe na Watu weenye vipato zaidi yao?
Enyi wanaume, nawaambieni, MAPENZI NI HISIA , mapenzi hayapo katika Elimu, wala pesa.

Ndioo kuna wakati unamkuta mwanamke ana masters ya kitu fulan, ivo basi utasikia anakuambia, Nataka mwanaume mwenye Elimu fulani ,au mwenye uwezo fulani wa kiuchumi. .... LAKINI huyu huyu mwanamke, kuna wakati unafika anasema "Mungu niletee tu Mume mwema"....
Kwann hakutaka kuendelea na VIGEZO VYAKE ?? kwa sababu WAKATI WA KUA NA MWANAUME WAKE UMEFIKA ,HANA HANA CHAGUZI LINGINE NA HIVO BASI ANALAZIMIKA YEYE KUFANYA FIRST MOVE .
[emoji117]Rafiki yangu mmoja wa kike anamiaka karibu 36 , siku moja akaniambia "CAELOS nina kazi yangu ,nina pesa yangu, ila kazini siheshimiki, naonekana mdangaji, mabinti wadogo kazin wameolewa Lakini mimi bado, jambo hili linaniumiza sana sana nahata kazini siheshimiki..

Kwanini Anaumia ? KWA SABABU KUITWA KWA JINA LA MUME WAKE, NI JAMBO LINALOMUHESHIMISHA MWANAMKE KATIKA JAMII.
hamna cha U-FEMINISTS wala cha bibi yake , Ukweli nikwamba, HATA HAWA WANAOJIITA LEO MAFEMINISTS , WANA WATOTO KADHAAA, KISHA KWA SABABU TUSIZOZIJUA, WAKAACHIKA NDOANI...... Sasa anaamua kujisimamia mwenyewe sababu anajiweza, LKN NAWAAMBIENI, MCHANA NI MAFEMINISTS, USIKU KUNA WANAUME WANAWAKAZA VIZURI TU[emoji109]
( Nimelichomekea hilo kuona NAFASI YAKO WEWE MWANAUME KTK ULIMWENGU WA MWANAMKE)

[emoji117]TURUDI KWENYE MADA YETU SASA !!

Ndugu zangu, Sio dhambi kua na mwanamke mwenye kipato, au elimu kubwa....
HOFU yetu sisi ni juu ya kudhaurilika, kwamba mwanamke akishakuzidi elimu ,au kipato basi atakudharau, hatokuheshimu n.k
lakini kwann ayafanye hayo? Je wee sio mumewe tena? , je anataka sasa atafute Mume mwingine wa juu yake zaidi???. HAPANA.

Je huenda ni TABIA yake halisi sasa anaifichua kwamba huko nyuma alijifanya kondoo ila hakua anayekufaa?? JIBU NI NDIO , na mwanamke huyu sio mtu sahihi kwako. ( ACHANA NAYE KABLA HAJAUVUA UTU WAKO.).

[emoji818][emoji818]Tatizo kubwa liko wapi? Ni pesa zake ? Elimu? Tabia ??....
TATIZO KUBWA NI SISI WANAUME
[emoji117]kuathirika na Imani yakwamba mke akifanikiwa, anabadilika, ivo mkeo anapofanikiwa, mwanaume unaanza kujinyenyekeza nakujipendekeza kwa mkeo, hata unajikuta ule wajibu wa kiume umeuacha , NA HIVO MKEO ANABADILIKA KUTOKANA NA MAZOEA MAPYA ULOAMUA KUMPA ...... Ulikua ukihoji sasa umeacha, ulikua ukikasirika na anajua sasa umeacha, ulikua akizengua unampa makofi sasa unaacha, ulikua unafokea sasa unaacha.....kirahisi tu, unaacha sababu Amefanikiwa kwahiyo unaogipa kuachwa, ivo hata afanye nn ,wee ni sawa tu[emoji23][emoji23]

[emoji117]ilo la juuu, linakufanya upoteze DOMINANCE, LEADERSHIP, AUTHORITY JUU YA MKEO ...na ninawaaambia, Mwanamke hata aweje, kama utapoteza vitu hivi vitatu, nibora tu umwambie ongeza MUME WA PILI MKE WANGU.

NINI KIFANYIKE??

kama mwanaume, vijana

[emoji117]JIPE THAMANI
[emoji117],Wewe ni kichwa cha familia na familia yako LAZIMA UILISHE KWA JASHO ,hivo basi pambana kwa kadiri ya uwezo wako na kwa kadiri ambavyo MUNGU AMEKUBARIKIA.[emoji123]
[emoji117]HAKIKISHA , TAFADHALI ,HAKIKISHA YAAN HAKIKISHA UNAKUA MAMLAKA, MTAWALA NA KIONGOZI KATIKA DUNIA YA MKEO BILA KUJALISHA KAFANIKIWA.

[emoji117]HAKIKISHA ANAJUA KUA UNAMPENDA NA UNAMJALI SAWA NA KIPATO CHAKO ILA BADO AKILETA UJINGA MBALI NA PESA ZAKE, UPO TAYARI KUMWACHA NA KUOA MWANAMKE MWENGINE, NAKUMUACHA YEYE AMBAPO NAYE BADO ATAENDA TUUU KUTAFUTA MWANAUME MWENGINE KWASABABH HAWEZI ISHI BILA MWANAUME.

[emoji117]KATIKA YOTE HAYO, TIMIZA WAJIBU WAKO KAMA BABA NAKAMA MUME

[emoji117]USISHOBOKEE PESA YAKE , WALA KUHOJI WALA NINI, INAPOBIDI MKONO WAKE MSHIRIKISHE, NA UMSHIRIKISHE KAMA MUME NASIO KINYONGEE NYONGEE

[emoji117]WATIENI , WATIE, WAPELEKEENI MOTO, SUGUAA, PIGAAA PIGAAAA,PIGA MPAKA AJIONE ANAISHI KWA SABABU YA KITOMBO UNACHOMPA NASIO MAFANIKIO YAKE...( atakua anakuita mwenyewe Baba ,pesa hii hapa).

Mwanamke ni mwanamke ,awe mjeshi. Awe CEO ,awe wa elimu gan, aweje, maadam alikukubalia ulipomtongoza, BASI JUA TU SHE IS JUST A WOMAN , ni mtoto tu mdogo anayehitaji malezi ya Baba yake WAKATI HUOHUO HATAKI AWE KAMA MAMA YAKO.

Mtaishi nao vizuri !!

Ila ndo mkiendekeza ubebi bebi bebi bebi ,bebi ,aaahhhh atakushinda tu alafu utarudi na uzi humu ukilia " Kabadilika baada ya kupata Pesa, KUUUUUMBE, KIRUSI NI WEWE MWENYEWE, ULIYEAMUA KUSAHAU MISINGI YA UANAUME WAKO.

[emoji117]MWISHO

Kuanza Upya sio ujinga, USIWE MZITO KUMUACHA MWANAMKE , WANAWAKE NI WENGI NA WAMEJAA, YES KABADILIKA KWA UZEMBE WAKO, BASI CHUKUA HATA HATUA YA KUACHANA NAYE MARA MOJA, KULIKO KUACHA UTU WAKO UCHEZEWE.

Maneno yangu sio sheria.
Appreciate bro umenena pakubwa sana😁✌️✌️
 
cocochanel na wewe una elimu na pesa?
 
Back
Top Bottom