Suala la Mwanamke kuwa na Elimu/Pesa/Mafanikio kumzidi mwanaume wake!

Pata pesa tujue tabia yako#uwe ke au me
Hii hai-apply sawa sawa kwa mwanaume,mara zote action za mwanaume huwa na maana hata kama ni za kuumiza huwa haziuwi hisia za muumizwaji tofauti na mwanamke hufanya vitu vya hovyo hovyo na kupelekea muumizwaji kuathirika vibaya sana.
 
Wanawake wanawapeleka speed za hatari...
Na ukute unaishi nyumba aliyojenga mkeo,heheh lazima uwe Monster... Ili mambo yaende... Otherwise utapigishwa hadi deki...

Infact kila mtu aishi tu,,, kwa maana wengine wanachoona sio sahii kuna wanaume wengine wanaona ni sahihi... Mapenzi yenyewe yapo corrupted siku hizi.. Hovyo tu
 
UNATETEA JINSIA YENU HAPA
 
usipoteze DOMINANCE, LEADERSHIP, AUTHORITY JUU YA MKEO
 
Yeah
 
Kwa hiyo kawaida ili uwe na kauli ndani ya nyumba ni lazima uwe na pesa nyingi? daah
 
Ukisimamia majukumu yako na nafasi yako heshima inakaa sehemu husika, dharau hukooo pembeni
 
Hii imekaa poa kabisa yaani ukibadilika kidogo tu utajua sura zao halisi
 
BABA watasema unachochea mfumo dume hahaha,
 
Ngumu kumeza na ni changamoto kwa dunia ya leo ya mafeminist wanaotaka haki zao 50/50..ila yote kwa yote tusimamie nafasi na majukumu yetu ipasavyo bila kutetereka no matter what
 
MAMBO YA JANDO NA UNYAGO HIVI SIKU HIZI YAPO KWELI?
 
kwa hiyo kawaida ili uwe na kauli ndani ya nyumba ni lazima uwe na pesa nyingi? daah
Ndo ivo mkuu ..kama mkeo ndo anasimama kama baba...hata kama utakuwa na misimamo gani lazma uyumbe tu...nadra sanaa kukuta mwanaume mwenye kauli kweny familia ambayo mwanamke ndo anaplay kazi kubwa kuihudumia
 
Ndo ivo mkuu ..kama mkeo ndo anasimama kama baba...hata kama utakuwa na misimamo gani lazma uyumbe tu...nadra sanaa kukuta mwanaume mwenye kauli kweny familia ambayo mwanamke ndo anaplay kazi kubwa kuihudumia
Somehow uko sahihi japo kuna KE wengine wanajishusha
 
Jamii za ukanda wa pwani bado wana hizo mambo ila ni kwa kiasi kidogo sana na zinaenda kupotea coz Walimu wa hayo mambo(makungwi) wameisha... waliopo wapo Corrupted. Wamekuwa wa hovyo
Sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…