Suala la Mwanamke kuwa na Elimu/Pesa/Mafanikio kumzidi mwanaume wake!

We jamaa ni malaya na hapa umeongea kweli tupu. Wallahi ningekuwa na milioni ya fasta fasta ningekutumia.
 
Chukua hatua ya kuachana nae Mara 1
Kuliko kuacha Utu wako Uchezewe

Neno sana
 
The Jackal. Umepiga nyundo nzito sana. Natamani sana huu uzi uwafikie wote jisia hii iliyomfanya Nabii Adam akakiuka amri aliyopewa na Mola wake na kulila tunda ambalo aliamrishwa asile.

Utafiti wangu nilioufanya japokuwa haukuwa rasmi, sisi ambao tuna uhusiano wa karibu na TBL au SBL sehemu zetu tunazokutania ili kujenga mahusiano kati yetu (Bar) utakuta mabrazameni wengi wa maofisini wanakuja na totozi zao nazo pia ukiangalia unajua kabisa na zenyewe zipo kwenye vitengo au ofisi fulani fulani.

Lakini sasa hebu bahatika uhuzurie harusi ya huyu brazameni unakuta ana ngoma nyengine kabisa tofauti na wala haifanani kabisa na yule wa kiofisi ofisi. Hii ni dhahiri kabisa wanakwepa kile ulichokiongea kwenye uzi wako. Ni kweli sisi wanaume tunahitaji kuheshimiwa hatupendi dharau.


Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Aaah hata na wanaume wakipata pesa hupenda sana kuwa na wanawake wengi tena wazuri hasa kumshinda mkewe asa shida iko wap wanawake wakipindua meza[emoji2][emoji2][emoji2] tulieni dawa iingie
Wee umwongea ukweli. Kidume akiwa na hela lazima akageggedw pisi kali kuliko mkewe so wats wrong with mke kwenda kugegedwa na kidume mwenye pesa zaidi yake mke
 
Wengi wa Wanawake hawana Akili... Hapa Akili namaanisha uwezo wa kufikiria, kupambanua mambo, kutatua matatizo na kutoa maamuzi sahihi na yenye tija kwa wanaomzunguka; iwe kazini, kwenye familia au hata katika jamii aliyopo.

Tunaweza kuona baadhi ya Wanawake wengine wakifanya vizuri lakini ukweli nyuma ya pazia ni maamuzi na maelekezo kutoka kwa Waume zao. Imagine akiwa na 'Power' alafu awe hana Mume!?

Mwanaume ni Mwanaume tu hata aweje.
&
Mwanamke atabaki kuwa Mwanamke hata akilazimisha kujifananisha sawa na Mwanaume hatoweza!.
 
Labda nifungue ukurasa tu iko hivi jinsi unavyomtreat mwanamke wako tegemea malipo baada ya mafanikio makubwa atakayokupita atakayokuwa ameyapata kama ulikuwa una musoma wa nini basi atakuona hana kazi na wewe,ila kama ulimtendea vizuri wakati wote na kama kweli alikupenda kutoka moyoni basi mbaba tegemea mema kutoka kwake mbona utaenjoy mapenzi,suala la elimu sijui pesa halinaga nafasi katika mapenzi ila treatments zako ndio zitaamua akutendee vipi
 
Angalau nimekuelewa wewe,kuna kaka mmoja wa kijaluo huyu kaka nilikuwa ninamsikiliza jinsi anavyojisifu jinsi kabila Lao wanavyojua kukatili watu na mambo meeeengi ya mapambano,na yeye mwenyewe akawa anasema hata yeye ni balaa hasikilizi mwanamke kwa chochote kile iwe kizuri ama kibaya hayuko tayari kwa hilo,baada ya mda mfupi akaoa ila baada ya mwaka na miezi 10 ndoa ikavunjika,huyo kaka hakuwa na kazi hatoi matumizi ila ujuaji ndio mwingi ni mkorofi hakuna mfano,sasa,baadae mkewe akapata kazi kajitahidi kufanya maendeleo kiasi ya ndani kahakikisha ananunua vitu vya muhimu vyote ambavyo si lazima kuwa navyo,sasa hivi ana viwanja viwili yuko anafanya ujenzi nyumba ya vyumba viwili ila imekamilika kila kitu ndani yule kaka anawaambia watu kuwa mke wake alikuwa na dharau na mambo mengi ya kumkashfu ila kiuhalisia ukiangalia si kweli dharau alijidharaulisha mwenyewe
 
Appreciate bro umenena pakubwa sana😁✌️✌️
 
cocochanel na wewe una elimu na pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…