Suala la mwanaume kuoa miaka hii ni gumu, labda mtu ujilipue tu

Wewe hebu acha kujitoa ufahamu, kama ninyi hamuwezi kubadilika kwa ajili ya wanawake basi nanyi msiwalazimishe nao wabadilike kwa ajili yenu, point yangu ni kwamba hakuna kulalamikiana kila jinsia ivumilie ujinga wa nyingine
Kwa kweliiii. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mababa awa wanaolawiti vijana wao?!! Ndugu yangu Dunia ya sasa iko ovyo ovyo ni kuomba Mungu tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan ni tafrani kwa kweli.
 
Kwanza kabisa, ukikutana na mwanamke anakujibu majibu ya kijinga, mwache akaliwe tigo na wengine. Akikuomba hela kama mgogo, huyo kabisaaa hafai, achana naye mara moja. Wanawake mizigo wasiochangia chochote kwenye penzi ni wa kuchapa tu kisha unawaacha kwenye mataa kwani ukiendelea kuwa nao watakupotezea muda tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…