Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
"Ndiyo maana hata baada ya kufa ameendelea kuishi bara"!? Na wachawi wamo kwenye msafara.Mwinyi ameishi maisha yake zaidi Bara kuliko huko visiwani. Ndiyo maana hata baada ya kufa ameendelea kuishi bara na si visiwani. Na nyumba yake ya kustaafu akajengewa na Magufuli Dar .... kwa nini hawakumjengea kwao Zanzibar ...... Hata Mwanaye pia maisha yake ameishi zaidi bara .... wanamzika kule kimkakati!!
Atleast wewe nimekuelewa, so hopefully na Mama Siti nae siku yake ikifika ataenda kupumzishwa Zanzibar, if this is the case, nafunga mjadala.Usihofu, mtoto wa mzee MWINYI akiitwa HASSAN nae amezikwa Zanzibar, kwa hiyo hatakua mpweke.
Na kama kuna ulazima wa kupeleka udongo Mkuranga utapelekwa.
Wanaosema hivyo watakua wamesikia kwa jamaa mmoja huko kwamtandao pendwa.Vipi wanaopinga Mwinyi kuzikwa Zanzibar huku wakidai kuwa mzee Mwinyi ali usia akifa azikwe Mkuranga. Wewe ushawahi kuuona au kuusikia huo usia wa Mkuranga kutoka katika kinywa cha Mwinyi mwenyewe?
Wewe ndo msemaji wa familia!? CHAWA mpenda Ubwabwa misibaniWatanzania tupeane pole kwa msiba huu mzito katika taifa letu.
Kuna watu wanashangazwa na hili swala la kuamua kuhamisishia msiba wa mzee Mwinyi Zanzibar, wakidai kuwa mzee huyo alikuwa asha usia kuwa akifariki ...
Unarudi kulekule kwenye maneno ya kuungaunga nilikokukataa mimi.Hapa sio suala la maneno mengi yasiyo na msingi, ni suala la desturi zetu na kuzifuata. Kawaida desturi zetu inaonesha zinaenda kinyume na kile familia walichoamua.
Jiulize; vipi kama Dr. Mwinyi asingekuwa Rais wa Zanzibar leo, baba yake still angezikwa huko Zanzibar peke yake awaache ndugu zake wengine wazikwe Mkuranga? Jibu ni hapana.
Politics imeamua destiny ya Mzee Mwinyi kwa manufaa ya kisiasa ya mwanae.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Unaambiwa wewe kizabizabina mjuaji wa mambo ya watuSwadakta kabisa. Kila mtu anajifanya kukumbushia usia wa kuzikiwa Mkuranga utafikiri na wao ni watoto wa marehemu.
Kwanza si kweli kwamba watu wanaozikwa nje wanashindwa kurejeshwa nyumbani kuzikwa kwa sababu za ukosefu wa fedha.Hebu tutazame hili jambo kwa upana wake, issue hapa sio passport, hao watu wanaozikwa huko nje mostly hushindwa kurejeshwa nyumbani kuzikwa kwasababu za ukosefu wa kifedha, nyie diaspora huwa mnajichangisha mwisho wa siku mambo huwa magumu.
Lakini kwa Mzee Mwinyi, hakuna chochote walichokosa kushindwa kumzika Mzee Mkuranga walipozikwa ndugu zake wengine, kwenda kumzika Zanzibar ninaona kabisa hajatendewa haki, na sitaki kuamini kama yale yalikuwa maamuzi yake.
Jiulize, kwanini baada ya Mzee kufariki familia ikakaa kuamua wapi azikwe? kwani kwa kawaida hawajui mtu akifariki anatakiwa kuzikwa kwao? hizi ni siasa ndio zimeamua hatma ya Mzee Mwinyi (RIP) wala sio maamuzi binafsi ya marehemu.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mwafrika ni mtu ambaye anadandia dandia tamaduni za watu hana identity yeyote ile na wewe ni advocate wa huu ujinga wa kudandia tamaduni za watuMkuu,
Wapo wanaume Watanzania ambao ni watu wanaooa Ulaya, Asia na Marekani wanaishi huko na kamua kuzikwa huko.
Itakuwa hapo Zanzibar tu hata huhitaji passport kwenda?
Kukaa kwako nje Bado haukuondolei kuwa mjinga.Kwanza si kweli kwamba watu wanaozikwa nje wanashindwa kurejeshwa nyumbani kuzikwa kwa sababu za ukosefu wa fedha.
Hapo ndipo mna[poshindwa wabongo wengi, mnaishi kw akukariri kariri mambo.
Kuna watu tupo nje hatutaki kuja kuzikwa Tanzania, tumeamua kuondoka Tanzania kimoja, kuja kuishi nje, na kuanzisha maisha nje, na tukifa tuzikwe huku.
Na hatuna tatizo la fedha, tunalipia ada watoto wasio na uwezo huko Tanzania kila mwaka, watu wanaofulia kulipa kodi za nyumba wanatufuata kila mwaka tunawalipia.
Na mara nyingine tunakaa miaka mingi nje bila kurudi Tanzania kwa kufuata kazi zetu tu, kw akuamua.
Sasa kwa hesabu zako za kukariri, utaona watu wanaoamua kuzikwa nje hawana fedha.
Last time I came to Tanzania I spent about $20,000, kwenye likizo ya wiki tatu.
Na nimeamua nikifa nisizikwe Tanzania.
Sasa hapo utasema nimeamua nisizikwe Tanzania kwa sababu ya gharama za kusafirisha mwili?
Hapana.Kukaa kwako nje Bado haukuondolei kuwa mjinga.
Mkuu uko smart sana, Great.Unarudi kulekule kwenye maneno ya kuungaunga nilikokukataa mimi.
Unasema desturi zetu hivi na vile, desturi za nani? Unajua unapotulundika wote katika "zetu" unakosea? Hapo kunamakabila tofauti, dini tofauti, misimamo ya kifalsafa tofauti, na neno "zetu" linaweza kukosa maana?
Mlikubaliana wapi hizo desturi? This is a logical fallacy, argument from tradition, problem of induction.
Ali Hassan Mwinyi ndiye mtu wa kwanza kuzaliwa bara, kwenda kuwa rais wa Zanzibar, na kuwa rais wa Tanzania. Hakuna precedent ya mtu mwingine yeyote mwenye historia hiyo, sasa utatumia vipi desturi kumzika mtu ambaye maisha yake hayako defined na desturi, mpaka leo watu wanabishana kama Mwinyi ni Mzanzibari au mttu wa bara.
Unatumia vipi desturi kumzika mtu ambaye maisha yake hayako easily defined ki desturi?
Habari yoyote ya "ingekuwa mtoto wake si rais wa Zanzibar asingezikwa huko" ndiyo hizo ninazosema habari za kuunga unga. Hujui Mwinyi alifikiri nini, aliienzi Zanzibar vipi, una speculate tu.
Mimi si rais wala nini, nimeishi tu Marekani, nimepapenda, nimesema nikifa nisirudishwe Tanzania. Mazishi yangu yafanyike Marekani. Sasa ikiwa mtu kama mimi nimeamua hivyo, kwa nini iwe ajabu Mwinyi kuzikwa Zanzibar sehemu ambayo bado ni ndani ya Tanzania na huhitaji hata passport kwenda?
Huna ushahidi kwamba politics ndiyo imeamua wapi Mwinyi azikwe, hizo ni simple stories za kijiweni tu.
Manapenda sana conspiracy theories.
Naona hautaki kulundikwa kwenye desturi zetu, mindset ya kimarekani imekuingia unaanza kuzikataa mila na desturi zako, hata kama huzitaki, wazazi wako na ndugu zako wengine wanazifuata, hiyo ndio sababu iliyonifanya nikachagua kutumia neno "zetu" nikimaanisha waswahili, sio wakina wewe "swahili-zungu".Unarudi kulekule kwenye maneno ya kuungaunga nilikokukataa mimi.
Unasema desturi zetu hivi na vile, desturi za nani? Unajua unapotulundika wote katika "zetu" unakosea? Hapo kunamakabila tofauti, dini tofauti, misimamo ya kifalsafa tofauti, na neno "zetu" linaweza kukosa maana?
Mlikubaliana wapi hizo desturi? This is a logical fallacy, argument from tradition, problem of induction.
Ali Hassan Mwinyi ndiye mtu wa kwanza kuzaliwa bara, kwenda kuwa rais wa Zanzibar, na kuwa rais wa Tanzania. Hakuna precedent ya mtu mwingine yeyote mwenye historia hiyo, sasa utatumia vipi desturi kumzika mtu ambaye maisha yake hayako defined na desturi, mpaka leo watu wanabishana kama Mwinyi ni Mzanzibari au mttu wa bara.
Unatumia vipi desturi kumzika mtu ambaye maisha yake hayako easily defined ki desturi?
Habari yoyote ya "ingekuwa mtoto wake si rais wa Zanzibar asingezikwa huko" ndiyo hizo ninazosema habari za kuunga unga. Hujui Mwinyi alifikiri nini, aliienzi Zanzibar vipi, una speculate tu.
Mimi si rais wala nini, nimeishi tu Marekani, nimepapenda, nimesema nikifa nisirudishwe Tanzania. Mazishi yangu yafanyike Marekani. Sasa ikiwa mtu kama mimi nimeamua hivyo, kwa nini iwe ajabu Mwinyi kuzikwa Zanzibar sehemu ambayo bado ni ndani ya Tanzania na huhitaji hata passport kwenda?
Huna ushahidi kwamba politics ndiyo imeamua wapi Mwinyi azikwe, hizo ni simple stories za kijiweni tu.
Manapenda sana conspiracy theories.
Hapa naona umeamua kujizungumzia wewe kibinafsi zaidi, hasa your finacial status zaidi ya kuwazungumzia na wengine pia, au huko America hali zenu wote zinafanana?Kwanza si kweli kwamba watu wanaozikwa nje wanashindwa kurejeshwa nyumbani kuzikwa kwa sababu za ukosefu wa fedha.
Hapo ndipo mna[poshindwa wabongo wengi, mnaishi kw akukariri kariri mambo.
Kuna watu tupo nje hatutaki kuja kuzikwa Tanzania, tumeamua kuondoka Tanzania kimoja, kuja kuishi nje, na kuanzisha maisha nje, na tukifa tuzikwe huku.
Na hatuna tatizo la fedha, tunalipia ada watoto wasio na uwezo huko Tanzania kila mwaka, watu wanaofulia kulipa kodi za nyumba wanatufuata kila mwaka tunawalipia.
Na mara nyingine tunakaa miaka mingi nje bila kurudi Tanzania kwa kufuata kazi zetu tu, kw akuamua.
Sasa kwa hesabu zako za kukariri, utaona watu wanaoamua kuzikwa nje hawana fedha.
Last time I came to Tanzania I spent about $20,000, kwenye likizo ya wiki tatu.
Na nimeamua nikifa nisizikwe Tanzania.
Sasa hapo utasema nimeamua nisizikwe Tanzania kwa sababu ya gharama za kusafirisha mwili?
Mfano uliotoa hauufanani kabisa na suala la Mzee Mwinyi.Mkuu,
Wapo wanaume Watanzania ambao ni watu wanaooa Ulaya, Asia na Marekani wanaishi huko na kamua kuzikwa huko.
Itakuwa hapo Zanzibar tu hata huhitaji passport kwenda?
Kuhusudu sana mila na desturi ni ujinga.Naona hautaki kulundikwa kwenye desturi zetu, mindset ya kimarekani imekuingia unaanza kuzikataa mila na desturi zako, hata kama huzitaki, wazazi wako wanazifuata, hiyo ndio sababu iliyonifanya nikachagua kutumia neno "zetu" nikimaanisha waswahili, sio wakina wewe "swahili-zungu".
Hapa pia kuna angle ya pili niiite social status.
Mzee Mwinyi alikuwa mtu mzito hapa Tanzania -Rais Mstaafu, hivyo kwangu sioni ubaya yeye kujadiliwa, hata nawe huwa unakuwa kwenye upande wa kuunga mkono mtu mwenye nafasi kwenye jamii kuzungumziwa, nikikumbuka umekuwa ukilaumu taarifa za viongozi wagonjwa kwenda nje kutibiwa kufanywa siri na serikali.
Sasa sijui kwanini hapa kwa marehemu Mzee Mwinyi umeamua kugeuka kuwa mtu wa kutaka "ushahidi wa vikao vya kifamilia", kwanini wakati ule wa ugonjwa wa viongozi huwa huulizii ushahidi wa ugonjwa wa kiongozi toka kwa familia yake kwanza, badala yake huishia tu kuitaka serikali isitufiche habari zao?
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Naungana na wewe ktk hili.Hapa sio suala la maneno mengi yasiyo na msingi, ni suala la desturi zetu na kuzifuata. Kawaida desturi zetu inaonesha zinaenda kinyume na kile familia walichoamua.