Amicus Curiae
JF-Expert Member
- Sep 12, 2012
- 5,351
- 7,639
[emoji23][emoji23]Wabongo wengine wewe huwajui?
Mtu anaweza kukuhadithia habari za wosia wa Mzee Mwinyi utafikiri ni mtoto wake.
Kumbe hajawahi hata kumuona.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23]Wabongo wengine wewe huwajui?
Mtu anaweza kukuhadithia habari za wosia wa Mzee Mwinyi utafikiri ni mtoto wake.
Kumbe hajawahi hata kumuona.
Nimekupa kipimo cha logical consistency, hizo si fikra zangu tu.Kwani wewe hiyo statement "hauna muelekeo wa kuwa kweli" umeiona kwa kutumia kipimo gani? kilichothibitishwa wapi?
Kama ni fikra zako, basi tuliza hicho kichwa, fikra zako sio kipimo cha kuthibitisha mambo hapa ulimwenguni, wewe ni mwanadamu tu, kama nilivyo mimi, na wengine ...
Hatuko complete kila wakati kifikra, mara nyingine hukosea pia, hata kama mwanzo hujiona tuko sahihi.
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Mwinyi ameishi maisha yake zaidi Bara kuliko huko visiwani. Ndiyo maana hata baada ya kufa ameendelea kuishi bara na si visiwani.
Na nyumba yake ya kustaafu akajengewa na Magufuli Dar kwa nini hawakumjengea kwao Zanzibar.
Hata Mwanaye pia maisha yake ameishi zaidi bara, wanamzika kule kimkakati!!
Watanzania tupeane pole kwa msiba huu mzito katika taifa letu.
Kuna watu wanashangazwa na hili swala la kuamua kuhamisishia msiba wa mzee Mwinyi Zanzibar, wakidai kuwa mzee huyo alikuwa asha usia kuwa akifariki akazikiwe kwao Mkuranga walipozikiwa na kulazwa wazazi wake na babu zake.
Wengi wanalaumu bila kujua ni nini kilichojadiliwa kati ya mzee Mwinyi na familia yake kabla ya umauti kumkuta. Je, kama walijadiliana nae na mzee kuridhia kuzikiwa Zanzibar alipokulia, kuoa, na kuzaa watoto wake huko?
Ni kweli mzee Mwinyi ana asili ya kwetu bara, lakini ukiangalia muda alioondoka bara kwenda Zanzibar mpaka sasa ni almost miaka 90 ambayo ni sawa na karne nzima. Sasa mtu ambae aliondoka bara miaka 90 iliyopita inamaana kwa sasa wale watu waliokuwa wanamfahamu na kumjua kupitia wazazi wake kama vile mashangazi, wajomba, baba wadogo, mama wadogo nk wameshafariki muda mrefu sana. Hakuna anaemfahamu kiundani zaidi ya wale walioko Zanzibar.
Ni kweli wakati alipokuwa raisi na hata baada ya uraisi huenda alikuwa anakwenda kwao mara moja moja, lakini sasa wale watu wake wa muhimu ambao wangemfanya kuvutiwa na kwao wameshafariki hivyo alikuwa ni kama vile mtu mpya au muhamiaji asiefahamika kijijini kwao. Familia nzima mke na watoto ni wenyeji wa Zanzibar, sasa kuna ubaya gani watoto kuongea na mzee wao ili kumsihi azikiwe kule alipoanzia kujenga familia yake ambapo ana watu wengi wanaomfahamu zaidi ya huku alipotokea.
Binafsi nafikiri hili swala la kuzikiwa Zanzibar lina baraka zake baada ya watoto na mke / wake zake kukaa na kumuelewesha hadi mzee kubadili gia angani na kuridhia kuzikwa Zanzibar ila imekuwa siri tu ya kifamilia. Wao sio wajinga wa kukurupuka kupishana na usia wa baba yao, na wakati ni watu wazima wenye elimu zao lakini pia wanafahamu vizuri madhara ya kupishana na usia wa marehemu, hivyo naona wanabaraka zake wala hawakukurupuka yaje yawakute yaliowakuta wengine waliopishana na usia wa ndugu zao
Hayati Mh.Mwinyi kuzikwa Zanzibar ni kuepusha shari na maswali kuhusu Dr.Mwinyi ambae kwasasa ndiye amekalia kiti huku kwetu Zanzibar... maana sio mwanakwetu kwa uhalali bali nikwa hisia tu.Watanzania tupeane pole kwa msiba huu mzito katika taifa letu.
Kuna watu wanashangazwa na hili swala la kuamua kuhamisishia msiba wa mzee Mwinyi Zanzibar, wakidai kuwa mzee huyo alikuwa asha usia kuwa akifariki akazikiwe kwao Mkuranga walipozikiwa na kulazwa wazazi wake na babu zake.
Wengi wanalaumu bila kujua ni nini kilichojadiliwa kati ya mzee Mwinyi na familia yake kabla ya umauti kumkuta. Je, kama walijadiliana nae na mzee kuridhia kuzikiwa Zanzibar alipokulia, kuoa, na kuzaa watoto wake huko?
Ni kweli mzee Mwinyi ana asili ya kwetu bara, lakini ukiangalia muda alioondoka bara kwenda Zanzibar mpaka sasa ni almost miaka 90 ambayo ni sawa na karne nzima. Sasa mtu ambae aliondoka bara miaka 90 iliyopita inamaana kwa sasa wale watu waliokuwa wanamfahamu na kumjua kupitia wazazi wake kama vile mashangazi, wajomba, baba wadogo, mama wadogo nk wameshafariki muda mrefu sana. Hakuna anaemfahamu kiundani zaidi ya wale walioko Zanzibar.
Ni kweli wakati alipokuwa raisi na hata baada ya uraisi huenda alikuwa anakwenda kwao mara moja moja, lakini sasa wale watu wake wa muhimu ambao wangemfanya kuvutiwa na kwao wameshafariki hivyo alikuwa ni kama vile mtu mpya au muhamiaji asiefahamika kijijini kwao. Familia nzima mke na watoto ni wenyeji wa Zanzibar, sasa kuna ubaya gani watoto kuongea na mzee wao ili kumsihi azikiwe kule alipoanzia kujenga familia yake ambapo ana watu wengi wanaomfahamu zaidi ya huku alipotokea.
Binafsi nafikiri hili swala la kuzikiwa Zanzibar lina baraka zake baada ya watoto na mke / wake zake kukaa na kumuelewesha hadi mzee kubadili gia angani na kuridhia kuzikwa Zanzibar ila imekuwa siri tu ya kifamilia. Wao sio wajinga wa kukurupuka kupishana na usia wa baba yao, na wakati ni watu wazima wenye elimu zao lakini pia wanafahamu vizuri madhara ya kupishana na usia wa marehemu, hivyo naona wanabaraka zake wala hawakukurupuka yaje yawakute yaliowakuta wengine waliopishana na usia wa ndugu zao.
Yani mtu anajiona ana haki kabisa ya kuipangia familia ya Mwinyi baba yao azikwe wapi.[emoji23][emoji23]
Kwa hivyo, unataka kutuambia kuwa kuna sheria za physics zisizopindika ambazo zinasema kwamba Ali Hassan Mwinyi kwa mapenzi yake binafsi hakuweza kutaka kuzikwa Zanzibar kwa sababu nyingine yoyote ile?Hayati Mh.Mwinyi kuzikwa Zanzibar ni kuepusha shari na maswali kuhusu Dr.Mwinyi ambae kwasasa ndiye amekalia kiti huku kwetu Zanzibar... maana sio mwanakwetu kwa uhalali bali nikwa hisia tu.
Naona umenielewa ila ukaweka tena maneno yako mengine....Tutauliza kuhusu huyu kishobeka..Kwa hivyo, unataka kutuambia kuwa kuna sheria za physics zisizopindika ambazo zinasema kwamba Ali Hassan Mwinyi kwa mapenzi yake binafsi hakuweza kutaka kuzikwa Zanzibar kwa sababu nyingine yoyote ile?
Naokuona unarudi kule kule tulipotoka...Nimekupa kipimo cha logical consistency, hizo si fikra zangu tu.
Ila, naona logical consistency si kitu muhimu kwako, kwanza unahusudu uzushi.
Pili, unajipa umuhimu kwenye mazishi ya Mwinyi kuliko familia ya Mwinyi.
Familia iliomba faragha yao ya kifamilia iheshimiwe tangu Mzee wao alivyoumwa, wewe huna ustaarabu wa kuheshimu matakwa ya familia.
Unajipa umuhimu kwenye mazishi ya Mwinyi kuliko familia ya Mwinyi.
Ni upumbavu usio kifani.
Bado upo nao? Waache waamini wanachoamini,yeyote anaruhusiwa kuamini anachotaka kuamini,ila unaposema unajua tutakutaka utujulishe unachojua,wanaosema diaspora hawana pesa za kusafirisha maiti ndiyo ambao daily wanatafuta connection za kuchomoka,ili nao wapate hiyo hadhi ya kuwa dispora,wasaidie familia zao in 1and2, ishi man.Kwanza si kweli kwamba watu wanaozikwa nje wanashindwa kurejeshwa nyumbani kuzikwa kwa sababu za ukosefu wa fedha.
Hapo ndipo mna[poshindwa wabongo wengi, mnaishi kw akukariri kariri mambo.
Kuna watu tupo nje hatutaki kuja kuzikwa Tanzania, tumeamua kuondoka Tanzania kimoja, kuja kuishi nje, na kuanzisha maisha nje, na tukifa tuzikwe huku.
Na hatuna tatizo la fedha, tunalipia ada watoto wasio na uwezo huko Tanzania kila mwaka, watu wanaofulia kulipa kodi za nyumba wanatufuata kila mwaka tunawalipia.
Na mara nyingine tunakaa miaka mingi nje bila kurudi Tanzania kwa kufuata kazi zetu tu, kw akuamua.
Sasa kwa hesabu zako za kukariri, utaona watu wanaoamua kuzikwa nje hawana fedha.
Last time I came to Tanzania I spent about $20,000, kwenye likizo ya wiki tatu.
Na nimeamua nikifa nisizikwe Tanzania.
Sasa hapo utasema nimeamua nisizikwe Tanzania kwa sababu ya gharama za kusafirisha mwili?
Waafrika wengi tunasumbuliwa na kuishi kwa kukariri mambo.Afadhali kama anazikwa Zanzibar kwa sababu nyingine, na siyo hizo za masuala ya madaraka.
Mwanadamu kuna wakati inabidi uyaone madaraka si chochote ukilinganisha na nafsi yako au ya mtu unayemthamini.
Marehemu hupewa uzito mkubwa sana kwa sababu moja kubwa kuwa akishalala hawezi kubishana na yeyote wala kuwa na nguvu ya kushindana. Hivyo kutenda kinyume na matakwa yake huonekana kama dhuluma kubwa sana dhidi ya haki ya marehemu.
Kwa mapenzi ya Mungu na hekima yake, tunamwomba Mungu aipe pumziko jema la mzee Ali Hassan Mwinyi.
Toa mfano specific tuujadili kwa muktadha, tena utoe mfano kwa kutumia maandishi yangu, si kwa maneno unayofikiri wewe tu.Naokuona unarudi kule kule tulipotoka...
Unasema mimi najipa umuhimu kwenye mazishi ya Mzee Mwinyi, vipi wewe huwa hujipi umuhimu kutaka kujua wapi viongozi wetu wa kitaifa huenda kutibiwa ikiwa hujui ugonjwa unaowasibu?
Kule huwa unajitetea kwamba unataka kujua wapi walipolazwa sababu wao ni public figure, vipi kwa Mzee Mwinyi kwanini yeye hakuwa public figure?
Au kwao hao viongozi wa kisiasa unaopenda kuwazungumzia bila ushahidi ni wale wagonjwa wanaoenda kulazwa usipopajua, lakini wakishafariki huoni tena sababu ya kutaka kujua mambo yao?
Nimekuuliza kuke juu hukunijibu, kwanini kabla hujajua wapi walikoenda kulazwa viongozi wa kitaifa, usiulize kwanza serikali ugonjwa unaowasibu ili upate validity ya kujua wapi walipolazwa?
Hujioni nawe huwa unajipa umuhimu bila sababu kwa mambo ya familia za watu? Punguza ego, tafuta glass ya maji unywe, naona umeshachemka.
Nakuona kama umeshapata moto tu, tulia kunywa glass ya maji, usi
Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kwanini walimshadadia akazikwe kule kama yeye alitamani kuzikwa bara? Nini mzizi wa yote?Ni kweli wakati alipokuwa raisi na hata baada ya uraisi huenda alikuwa anakwenda kwao mara moja moja, lakini sasa wale watu wake wa muhimu ambao wangemfanya kuvutiwa na kwao wameshafariki hivyo alikuwa ni kama vile mtu mpya au muhamiaji asiefahamika kijijini kwao. Familia nzima mke na watoto ni wenyeji wa Zanzibar, sasa kuna ubaya gani watoto kuongea na mzee wao ili kumsihi azikiwe kule alipoanzia kujenga familia yake ambapo ana watu wengi wanaomfahamu zaidi ya huku alipotokea.
Wabongo wengi huwa wanatoa maneno kama wanatoa kwa logic, ila wengine ni kwa wivu na chuki.Bado upo nao? Waache waamini wanachoamini,yeyote anaruhusiwa kuamini anachotaka kuamini,ila unaposema unajua tutakutaka utujulishe unachojua,wanaosema diaspora hawana pesa za kusafirisha maiti ndiyo ambao daily wanatafuta connection za kuchomoka,ili nao wapate hiyo hadhi ya kuwa dispora,wasaidie familia zao in 1and2, ishi man.
Kwani wapi Mwinyi alisema alitamani azikwe bara?Kwanini walimshadadia akazikwe kule kama yeye alitamani kuzikwa bara? Nini mzizi wa yote?
MBONA UBUNGE ALIGOMBEA MKURANGA KWANI HAKUGOMBEA ALIKOKULIA na KUOA?Watanzania tupeane pole kwa msiba huu mzito katika taifa letu.
Kuna watu wanashangazwa na hili swala la kuamua kuhamisishia msiba wa mzee Mwinyi Zanzibar, wakidai kuwa mzee huyo alikuwa asha usia kuwa akifariki akazikiwe kwao Mkuranga walipozikiwa na kulazwa wazazi wake na babu zake.
Wengi wanalaumu bila kujua ni nini kilichojadiliwa kati ya mzee Mwinyi na familia yake kabla ya umauti kumkuta. Je, kama walijadiliana nae na mzee kuridhia kuzikiwa Zanzibar alipokulia, kuoa, na kuzaa watoto wake huko?
Ni kweli mzee Mwinyi ana asili ya kwetu bara, lakini ukiangalia muda alioondoka bara kwenda Zanzibar mpaka sasa ni almost miaka 90 ambayo ni sawa na karne nzima. Sasa mtu ambae aliondoka bara miaka 90 iliyopita inamaana kwa sasa wale watu waliokuwa wanamfahamu na kumjua kupitia wazazi wake kama vile mashangazi, wajomba, baba wadogo, mama wadogo nk wameshafariki muda mrefu sana. Hakuna anaemfahamu kiundani zaidi ya wale walioko Zanzibar.
Ni kweli wakati alipokuwa raisi na hata baada ya uraisi huenda alikuwa anakwenda kwao mara moja moja, lakini sasa wale watu wake wa muhimu ambao wangemfanya kuvutiwa na kwao wameshafariki hivyo alikuwa ni kama vile mtu mpya au muhamiaji asiefahamika kijijini kwao. Familia nzima mke na watoto ni wenyeji wa Zanzibar, sasa kuna ubaya gani watoto kuongea na mzee wao ili kumsihi azikiwe kule alipoanzia kujenga familia yake ambapo ana watu wengi wanaomfahamu zaidi ya huku alipotokea.
Binafsi nafikiri hili swala la kuzikiwa Zanzibar lina baraka zake baada ya watoto na mke / wake zake kukaa na kumuelewesha hadi mzee kubadili gia angani na kuridhia kuzikwa Zanzibar ila imekuwa siri tu ya kifamilia. Wao sio wajinga wa kukurupuka kupishana na usia wa baba yao, na wakati ni watu wazima wenye elimu zao lakini pia wanafahamu vizuri madhara ya kupishana na usia wa marehemu, hivyo naona wanabaraka zake wala hawakukurupuka yaje yawakute yaliowakuta wengine waliopishana na usia wa ndugu zao.
...Ila umewahi kuipangia familia ya viongozi wa kitaifa na serikali kujua wapi walipolazwa viongozi wa nchi.Toa mfano specific tuujadili kwa muktadha, tena utoe mfano kwa kutumia maandishi yangu, si kwa maneno unayofikiri wewe tu.
Ukweli ni kwamba, sijawahi kutaka kuipangia familia ya mtu baki wapi pa kumzika baba yao.
Wewe unataka kuipangia familia ya Mwinyi wapi pa kumzika baba yao.
Watanzania wengi ni watu wasiojua ku question the premise.Amesika muombolezaji mmoja.. Laiti Uncle Magufuli angekuwa hai..
Mzee angezikwa Mkulanga tuu.. Kama ilivyo kuwa Mzee Mkapa..
Mkuu,MBONA UBUNGE ALIGOMBEA MKURANGA KWANI HAKUGOMBEA ALIKOKULIA na KUOA?