Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
😁😁 Tunamtakia kazi njemaNi laana tu inawasumbua nyie watanganyika. Mbona Tido Mhando alivyoshuka kwa range (BBC) akapanda passo ( Tbc) hamkumsagia kunguni kama ilivyo Kikeke.
Mwacheni kikeke apige kazi, ana familia inamtegemea.
Na wewe ukiwemo?Nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Kikeke kwenye akaunti zake za kijamii kwa uamuzi wake wa kujiunga na kituo cha matangazo cha E-fm.
Nimebaki kuajabia tabia ya watanzania. Maisha ni yake, uamuzi ni wake cha ajabu anatukanwa na kudhalilishwa na wachangiaji juu ya uamuzi wake huo.
Tanzania ni taifa la watu wa hovyo sijapata kuona.
Na ukishuka kwenye Passo ukapanda Range, lazima tukuroge sis wapenzi watazamaji na wachukiajiUkishuka kwenye range ukapanda passo lazma utushangaze wapenzi watazamaji 😁
Unapoteza muda Jo, hatimaye utakasirshwa, nafikiri ni akili masaliaUkweli ni upi?
Ameeen. Dua yako na iwe njema kwake.😁😁 Tunamtakia kazi njema
[emoji23][emoji23]Ukishuka kwenye range ukapanda passo lazma utushangaze wapenzi watazamaji [emoji16]
[emoji23][emoji23]Unahama Barcelona unaenda Mtibwa?
Kwamba ...Asiambiwe ukweli?
Upoyoyo kwa mujibu wa nani?Kutoka kufanya kazi BBC kuja kufanya kazi na wakina Masanja ni upoyoyo huo. Kikeke ni mfano mbaya kwa vijana wapambanaji
Upumbavu huu.Ukiwa maarufu , wewe unakuwa sio Kwa ajili ya wewe Tu , unakuwa Mali ya wote , utafatiliwa mpak sehemu unayokunya , na utapondwa au kupongezwa kulingana na status yako, ukiwa maarufu be careful Sana kulinda image , la sivyo unaweza ukawa kituko mpak ukajidharau
Labd Kuna mchongo anausubiria .Kutoka kufanya kazi BBC kuja kufanya kazi na wakina Masanja ni upoyoyo huo. Kikeke ni mfano mbaya kwa vijana wapambanaji
Wewe unaongea kama nani? Kwa nini umpangie maisha mtu ambaye hata hakufahamu? Ni nani aliwahi kutoka BBC akaanzisha hata blog tu?Kwa hatua aliyopiga ilibidi aanzishe Televisheni yake atoe platform kwa vijana wadogo waandishi
How is it non sense?Hakuna kitu kizuri kwenye maisha kama ukuaji BBC ni platform kubwa sana duniani compared to EFM. Sio kwa ubaya kitendo cha kutoka BBC kurudi bongo kuajiriwa ni nonsense.
Kwa level za SK ilibidi awe Founder kwenye Televisheni yake hizi local Media ilibidi awe ni partner tu sio muajiriwa kwa Salim Kikeke sio ishu ya pesa pekee bali brand
Brand kubwa kwa mujibu wa nani?Kwa hiyo wanaoanzisha na kufanikiwa wanafanyaje mpaka yeye iwe ngumu kwake.? Salim Kikeke ni Brand kubwa yaani Jina lake tu kwa sasa haitaji kufanya kazi ili apate hela ya kula.