Suala la Salim Kikeke kuhamia EFM na akili za watanzania

Suala la Salim Kikeke kuhamia EFM na akili za watanzania

Nimeona jinsi watu wanavyomshambulia Kikeke kwenye akaunti zake za kijamii kwa uamuzi wake wa kujiunga na kituo cha matangazo cha E-fm.

Nimebaki kuajabia tabia ya watanzania. Maisha ni yake, uamuzi ni wake cha ajabu anatukanwa na kudhalilishwa na wachangiaji juu ya uamuzi wake huo.

Tanzania ni taifa la watu wa hovyo sijapata kuona.
Na wewe ukiwemo?
 
Hakuna kitu kizuri kwenye maisha kama ukuaji BBC ni platform kubwa sana duniani compared to EFM. Sio kwa ubaya kitendo cha kutoka BBC kurudi bongo kuajiriwa ni nonsense.

Kwa level za SK ilibidi awe Founder kwenye Televisheni yake hizi local Media ilibidi awe ni partner tu sio muajiriwa kwa Salim Kikeke sio ishu ya pesa pekee bali brand
How is it non sense?
 
Back
Top Bottom