Suala la Salim Kikeke kuhamia EFM na akili za watanzania

Sergio Ramos katoka PSG kaenda Timu yake pendwa alipo anzia mpira ya Sevilla. Na kukataa mabilioni ya waarabu.

Imeonekana ni jambo la kawaida na maamuzi ya mtu binafsi. Kwa vile wazungu ni watu wastaarabu na walio elimika wanao tambua na kuheshimu maamuzi ya mtu.

Lakini kwa vile waafrika wame laanika kwa UPUMBAVU na hawanaga kazi za kufanya zaidi ya umbea, ulevi na majungu, Jambo dogo tu la mtu kama Salimu kikeke kuamua kwenda anapo papenda, imekuwa topic kubwa ya umbea.

Ngozi nyeusi ina upumbavu wa milele.

Uafrika hasa utanzania ni laana.
 
Kutoka kufanya kazi BBC kuja kufanya kazi na wakina Masanja ni upoyoyo huo. Kikeke ni mfano mbaya kwa vijana wapambanaji
Laana ya kumtukana na kumsema Magufuli kila uchwao wakati wa uhai wake. Kutoka BBC hadi EFM. Dah ni fedheha angaeanzisha hata kilimo tu. Naona kama alikuwa amejipanga a badili nafasi ya Msigwa bahati mbaya sana mama nafikiri hajashawishika. Dah hatari sana

Sent from my Infinix X672 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sure. Kwa tabia za hizi media atatoka hapo ataenda wasafi atarudi hapo atakuwa kama kitenge full kuzurura
 
Wewe angeenda WCB ungemsifu humu mpk baasi
 
Watu wengi hawana kazi za kufanya,hivyo hujikuta wanafuatilia tu maisha ya watu,
Unakuta mtu maisha yake yeye mwenyewe hayaelewi wala hayaeleweki halafu anataka kumpangia Kikeke maisha yake,this is the highest stupidity.
Sijui hii tabia ilizukia wapi ila Mungu atusaidie tutakua na taifa la ajabu sana
 
Hii Nchi imejaa mbumbumbu huwezi shangaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…