Maelezo mazuri sana.0W20 PUMA hawana.
Kwenye kifuniko cha oil cha Subaru SJ5 wameandika 0W20 ila kwa mazingira ya hali ya joto nchi yetu si salama kwa hii oil.
Kwenye manual wameandika tumia 0W20 ila ukikosa unaweza ukatumia 5W30 ama 5W40 ila next service uweke 0W20.
Kama mtengenezaji ameshauri.unaweza kutumia 5W30 kwanini mimi niwe na wasiwasi wa kuitumia muda wote.
View attachment 3523630
Soma vizuri amesema turboHakuna Engine ya laki 9!
SJG bei ya Engine ni gali kuliko ya SJ5,
Milioni 23 - 25Ni shingapi hii kwa show room?
Hiyo michezo yote ya oil fake nazijua Sana sehemu pekee ambayo nanunua oil za Castrol ni Kwa authorized dealer wa Castrol wako pale gerezani mtaa kiungani opposite na uwanja wa JK wanauza Tsh 165,000/= Kwa dumu moja la lita 5...Hii niliacha kuitumia baada ya PUMA kuachana nao, kuna fake sana ya hizi oil, kuwa makini sana.
Alafu zote zinatoka South Africa.
Mbona mbali sana 2009?Mwambie aingie kwenye Subaru forester EJ 20 non turbo ya 2009
Ati! Uzuri wa gari technology bwana. Ni umaskini, ningetaka 2026 modelYaani aache gari ya 2015 anunue ya 2009?
Authorized dealer wa Castrol ni Wambi Lubricants tu na dumu la 5L wanauza 185,000 hii ni zaidi ya mwaka ndio niliuliza.Hiyo michezo yote ya oil fake nazijua Sana sehemu pekee ambayo nanunua oil za Castrol ni Kwa authorized dealer wa Castrol wako pale gerezani mtaa kiungani opposite na uwanja wa JK wanauza Tsh 165,000/= Kwa dumu moja la lita 5...
Oil filter natumia Bosch View attachment 3523656
99% ya Cqstrol ni fake.Hii niliacha kuitumia baada ya PUMA kuachana nao, kuna fake sana ya hizi oil, kuwa makini sana.
Alafu zote zinatoka South Africa.
Nunua zingatia service. Oil nunua oil bora.Uje mnanitisha huu mwaka wangu wa kuvuta n ndiga afu nilita Subaru
Gari nyingi zinazungusha kwa sababu ya oil mbaya. Sio Subaru tu, BMW na Land Rover huwa zinqzungusha sana ukikosea oil.Naona haujaelewa hapo ni hivi engine SJG kama itazingua basi ni turbo Tu huwezi kuona inabadilishwa engine nzima kama ilivyo Kwa SJ5.
SJ5 ugonjwa wake ni kuzungusha mkono wa piston au kupinda Kwa crankshaft au au sleeves kutanuka kitu ambacho ni lazima utanunua engine nyingine Kwa milioni 9-10
Sisi wenye turbo tunasumbuka na turbo Tu na kama itazingua utanunua Kwa laki 9 Hadi milioni 1 pekee
Ukienda kwa Wambi ni uhakika ila nadhani anauza kwa jumla.Authorized dealer wa Castrol ni Wambi Lubricants tu na dumu la 5L wanauza 185,000 hii ni zaidi ya mwaka ndio niliuliza.
Hao wengine wote Castrol za mchongo zipo hadi 75,000 5L
Huyo wa hapo Gerezani namjua anauza oil nyingi kwa jumla. Nilikuwa nanunua Total hapo zamani.
Kuna fundi wangu yeye anaenda mwenyewe. Au anakwambia nenda kachukue hata box moja utatumia hadi liidhe.Ukienda kwa Wambi ni uhakika ila nadhani anauza kwa jumla.
Ukimuuliza wapi nitapata rejareja atakuelekeza kwa wale watu anao wauzia.
Awali nilikuwa natumia Catrol Oil Full Synthetic ya 5W30 kwa Toyota na 5W40 kwq BMW, nilikuwa nanunua PUMA, baada ya PUMA kuacha kuuza nilikwenda kwa Wambi kutaka kununua akaniambia anauza kwa jumla. Nikamuuliza wapi nitazipata, akanielekeza kwa watu tofauti ndio nikamchagua mmoja wapo nikawa nakwenda kufanya Service.Kuna fundi wangu yeye anaenda mwenyewe. Au anakwambia nenda kachukue hata box moja utatumia hadi liidhe.
Tatizo hao wanaowauzia huwa wana mix na mzigo wa kichina kuongeza faida.
Sielewi hata nini cha kufanya turbo nayo wadau wanaikandia kinomaChukua yenye turbo usiogope ni imara zaidi kuliko hiyo non turbo