Subaru forester SJ5 / FB20 ni mgonjwa wa kansa anayetembea barabarani

Nausubiri kwa hamu sana huu uchambuzi mkuu, pia nilisikia unaweza fanya convention kutoka tearing ya umeme ukaweka hydrologic kwenye non turbo ni kweli? Pia nasikia ej20 non turbo zinaua sana head gasket. Ni nin sababu?!
Mafundi wengi wabadilsha kutoka kwenye umeme Hadi hydraulic system.
Non turbo ukiendesha vizuri yaani kutoipa stress engine inadumu sana

Changamoto kila gari inayo , non turbo zinahitaji acceleration yenye adabu Kwa MTU ambaye anaendesha gari Kwa revs za juu wakati wote hii gari haikufai
 
Ukinunua andika na urithi na kama hujastaafu hakikisha watoto wa nje wana maandishi kabisa ya mzigo waooahsante sana
 
Nakukubari kaka, vp kwa upande wa mafuta nackia kwa sher zetu za huku mikoani zinapelekea sana kuua engene kwasabab inahitaj mafuta masafi ( high octane ) ni kweli? Na kama ni kwel ni njia gan ya kuilinda engene kwa huku mikoani ambapo total na puma hawapo
 
Hapo hakuna namna aisee ya kuiponya gari na mafuta machafu..Kwa magari yote ya kisasa yanahitaji mafuta Safi

Haya magari ya sasa yanahitaji UNLEADED PETROL Tu , mafuta yenye octane kuanzia 93-98 .
Zaidi ya hapo ni Bora uachane na Subaru aisee.

PUMA
TOTAL ENERGIES
PETROAFRICA
AFROIL
ENGENE
Kama hayo makampuni hayapo utapata shida Sana kubadilisha plug kilasiku na utauwa engine yako
 
Ah kumbe kumbe afroil wanatoa mafuta safi, bas ipo mana nilidhan ni total na puma pekee
 
Uraji wa mafuta let say lita 1 km ngapi
Niko kwenye kusaka gari la kutembelea
 
Nimetulizana na Toyota wangu. Na leo anabadilisha fen belt. Na brake
Kazi ni kipimo cha utu
 
Kwa gari hizo zenye engine ya FB20 nashauri tumia 0W20......hiyo unayotumia ni kwa gari zenye turbo.
Mimi natumia SHJ always natumia 0W20 sijawahi pata shida
SHJ ni bulletproof engine....hii ni Kati ya engine zenye kuhimili shida kutoka kampuni ya Subaru
 
wakurungwa naomba mnifahamishe "coolant" sahihi kwa jili ya subaru SJ5 tafadhali
Products za Atlantic Wana coolant zenye ubora mkubwa Sana tafuta hiyo brand na rangi iwe kijani au nyekundu.
Kuhusu namba Sahihi za coolant za SJ5 bado sijui
 
Ushamaliza hapa 👊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…