Wapi naweza pata mtu wa kuifanyia diagnosis hii gari kwa computer maana ulaji huu ni sawa na 1ltr kwa 5km ni sawa kweli?msaada pse
Nunua FanCargo kilomita 20 kwa lita moja......
2000 cc inakunywa utafikir 4500 cc!!! Ina high perfomance lakini fuel consumption ni mbayaaaaa....1 litre =5 km, too much kwa 2000cc, engineering yao sio nzuri, mana inakunywa kama Supercars (Lambos, Ferraris, Aston Martin, maseratti....) tena these cars zina high CC kuliko subaru.... Na still subaru inakunywa kama hizo! If so they suck!Mkuu hiyo gari ina high perfomance engine 2000cc.Watu wengi wana iconfuse na kufikiri ni sawa na Corolla!Hii gari ni kiboko, ina perfomance bora kuliko Chaser au gari inayolingana na Chaser.Ukitaka kuijua Subaru piga long trip kama Mbeya au Arusha ndo uyaiheshimu.Its a leader in its class.
Kweli mkuu, ulaji wa mafuta wa Subaru si mbaya kama invyodhaniwa. Ila ukii-compare na starlet au Vitz hapo suala lingine.Mkuu ni kweli kuna siku jamaa mmoja alinitesa sana Mbwewe mpaka Manga njia ya Tanga wakati mimi nilikuwa na gari yenye engine ya 1G,nilimuiliza jamaa yangu performance za Subaru akaniambia achana nazo kwa gari hizi za kawaida,ilibidi nitafute nikapata Legacy touring lakini mbona kwenye mafuta sio kama anavyolalamika huyu bwana au kuna kasoro kwa sababu haina tofauti kubwa sana na gari ya cc 2000.
Mkuu uko wapi? Maana ulaji huo sio wa kawaida nimetumia hizo gari hazili hivyo !
Nineweka full tank lita 65 ajabu nimetembea km 350 mafuta kwishney leo nimejaza tena
Mkuu hapo umedanganya, labda utueleze ni chaser ipi, ulaji mafuta wa chaser gx100 engine beams 2000 vvti, huwezi kuulinganisha na subaru aidha mjini au safarini, subaru inakunywa mafuta sana kulinganisha na hii chaser.Mkuu hiyo gari ina high perfomance engine 2000cc.
Watu wengi wana iconfuse na kufikiri ni sawa na Corolla!
Hii gari ni kiboko, ina perfomance bora kuliko Chaser au gari inayolingana na Chaser.
Ukitaka kuijua Subaru piga long trip kama Mbeya au Arusha ndo uyaiheshimu.
Its a leader in its class.
Mkuu hiyo gari ina high perfomance engine 2000cc.
Watu wengi wana iconfuse na kufikiri ni sawa na Corolla!
Hii gari ni kiboko, ina perfomance bora kuliko Chaser au gari inayolingana na Chaser.
Ukitaka kuijua Subaru piga long trip kama Mbeya au Arusha ndo uyaiheshimu.
Its a leader in its class.
Niko Dar man khaaa siielewi hii gari nimeambiwa sababu ya turbo sielewi kwani turbo inakulaje mafuta wkt inafunguka ikifika speed 100!na dar speed hiyo kwa mwezi unahesabu
Niko Dar man khaaa siielewi hii gari nimeambiwa sababu ya turbo sielewi kwani turbo inakulaje mafuta wkt inafunguka ikifika speed 100!na dar speed hiyo kwa mwezi unahesabu
Mkuu pengine sikueleweka na neno "performance".Mkuu hapo umedanganya, labda utueleze ni chaser ipi, ulaji mafuta wa chaser gx100 engine beams 2000 vvti, huwezi kuulinganisha na subaru aidha mjini au safarini, subaru inakunywa mafuta sana kulinganisha na hii chaser.
Subaru ina full time 4WD au AWD hivyo ni lazima ile mafuta zaidi na pia ni nzito kuliko chaser na ina 4 inline cylinders engine.
chaser gx100 ni compact na ina six inline cylinders vvti ngine with rear drive only na ni nyepesi kuliko subaru. hivyo chaser ni far more economic than subaru. chaser ikiwa nzima inakwenda hadi 12km/liter in town na hadi 17 km/liter safarini.
Mkuu hiyo gari ina high perfomance engine 2000cc.
Watu wengi wana iconfuse na kufikiri ni sawa na Corolla!
Hii gari ni kiboko, ina perfomance bora kuliko Chaser au gari inayolingana na Chaser.
Ukitaka kuijua Subaru piga long trip kama Mbeya au Arusha ndo uyaiheshimu.
Its a leader in its class.
Mkuu ushatembea safari ndefu na VW Golf? Subaru itasubiri sana pale by the way subaru kwa gari za Mjapani heshima
Mkuu pengine sikueleweka na neno "performance".
Maana yangu ni mikiki ya hii gari, acceleration ni explosive na kwa vile ni turbo-charged gari chache zina weza kuperform vitimbwi vyake.
Pengine katika kula mafuta Chaser inaweza kuwa ina ubora kidogo maana ni gari niliitumia 10 years ago, lakini kwa speed, maneuverability, stability at high speed , I would go for Subaru.
Wenzio tunawekamo engine za corolla. Engine hiyo tupia mbwa wale.
2000 cc inakunywa utafikir 4500 cc!!! Ina high perfomance lakini fuel consumption ni mbayaaaaa....1 litre =5 km, too much kwa 2000cc, engineering yao sio nzuri, mana inakunywa kama Supercars (Lambos, Ferraris, Aston Martin, maseratti....) tena these cars zina high CC kuliko subaru.... Na still subaru inakunywa kama hizo! If so they suck!