Subaru mnatufilisi, Gari zinakunywa mafuta kama zinameza!


Ni kweli mkuu natumia VW Polo nimeshawahi tembea 180Km/hr tokea Nyororo hadi Mafinga pale barabara ni nzuri ila sitakaa nirudie cause ni sawa na kuvaa bomu tu muda wowote linakulipukia
 
Duh Majangaa
 

mkuu hivi hili swala linawezekana eeh?
 

kama ni 2000cc bado ulaji ni wakawaida tu haina tofauti na Rv4
 
Vijana wengi wa Arusha wamenunua Subaru wakifurahia ule mlio wake lakini wamesahau ufahali nyumba ya umaskini hasa kama hela yenyewe ya kujichanga changa!

Subaru haifai kwa kiwese.

Km 350? litre 65 = Approx ya 1litre = km 5, Hiyo ni VX V8
 

Hiyo ni subaru ya aina gani mkuu?
 
Mm yangu baada ya kuona hivyo sikuongea na mtu...nikauza...nikarud kwenye vits sitak kufaidisha wafanya biashara ya mafuta
 
mimi nina Impreza WRX STI, kwa kweli ina undugu na petrol stations. lakini ni gari ya uhakikaaa ukiendesha una feel kweli unaendesha gari kitu manual 6 speed. top speed 260 :dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance::dance:
 
Nineweka full tank lita 65 ajabu nimetembea km 350 mafuta kwishney leo nimejaza tena

Brother ya kwako ni ipi mimi kwanza fultanj yake ni 50 ltrs, nimijaza full tank kwa mwendo wa kawaida natumia 1 ltr kwa 12 km na nikiendesha 160-180+ inaenda km9-8 ful burudani..
 
Abadili gari achukue BMW ulaji wake wa mafuta ni nzuri sana hasa ukipata diesel version

Brother ni kweli gari za diesel ni very economy hata hapa UK gari ndogo nyingi ni diesel, sasa kwa tanzania gari ya diesel mafundi wakiiona wanaogopa mimi binafsi nazipenda Ila ishu ni hiyo ya service spares na mafundi..
 
Brother ni kweli gari za diesel ni very economy hata hapa UK gari ndogo nyingi ni diesel, sasa kwa tanzania gari ya diesel mafundi wakiiona wanaogopa mimi binafsi nazipenda Ila ishu ni hiyo ya service spares na mafundi..
LACHERO ni woga wetu tuu siku hizi tuna mafundi japo si wengi mimi nina BMW mini niliweka liter 20 nikaenda chalinze na kufanya mizunguko ya yangu na kurudi Dar bila taa ya mafuta kuwaka ....imagine 20 litres km zaidi ya 230 I LOVE BMW
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…