Brother ya kwako ni ipi mimi kwanza fultanj yake ni 50 ltrs, nimijaza full tank kwa mwendo wa kawaida natumia 1 ltr kwa 12 km na nikiendesha 160-180+ inaenda km9-8 ful burudani..
Nineweka full tank lita 65 ajabu nimetembea km 350 mafuta kwishney leo nimejaza tena
nunua starlet
Natumia Subaru Forester Turbo STi... ni gari nzuri kati ya magari niliyowahi kutumia. Mafuta inatumia kawaida sio mbaya ila sio sawa na vitz. Nawekaga 60lts toka DAR naenda Arusha nikiwa naendesha high speed + AC, ila nafika na taa haijawaka kwa wastani hayo mafuta ya lita 60 naenda kama km 700 na zaidi.
nilichojifunza kwenye SUBARU ni gari isiyohitaji ubabaishaji..
1. fanya service kwa wakati na tumia oil nzuri sio za kupima.
2. weka fuel and oil filter ya subaru original sio za kichina.
3. weka mafuta ambayo hayajachakachuliwa.
4. endesha kistaarabu sio kwa fujo unakanyaga mafuta mpaka mwisho wakati upo kwenye low speed.
NB:- usidanganywe na mtu kuna jinsi ya kurekebisha ile mafuta kidogo. na epuka mafundi wasiojua mfumo wa gari yako utajuta.YANGU HAYO KARIBU SUBBY WORD.
:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
Nilichogundua hizi gari ni AWD(All wheel Drive) na hii ndo huchangia ulaji wa mafuta nimeswitch off Diff ya nyuma so sasa natembelea Front wheel tu na ulaji umepungua kwakweli nimeacha kabisa kurekodi mafuta na kilomita ni kujaza tu ikifika robo naitafuta sheli iko wapi nikifika namwambia jaza hadi tunashindiliaNatumia Subaru Forester Turbo STi... ni gari nzuri kati ya magari niliyowahi kutumia. Mafuta inatumia kawaida sio mbaya ila sio sawa na vitz. Nawekaga 60lts toka DAR naenda Arusha nikiwa naendesha high speed + AC, ila nafika na taa haijawaka kwa wastani hayo mafuta ya lita 60 naenda kama km 700 na zaidi.
nilichojifunza kwenye SUBARU ni gari isiyohitaji ubabaishaji..
1. fanya service kwa wakati na tumia oil nzuri sio za kupima.
2. weka fuel and oil filter ya subaru original sio za kichina.
3. weka mafuta ambayo hayajachakachuliwa.
4. endesha kistaarabu sio kwa fujo unakanyaga mafuta mpaka mwisho wakati upo kwenye low speed.
NB:- usidanganywe na mtu kuna jinsi ya kurekebisha ile mafuta kidogo. na epuka mafundi wasiojua mfumo wa gari yako utajuta.YANGU HAYO KARIBU SUBBY WORD.
:A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1::A S-fire1:
Nineweka full tank lita 65 ajabu nimetembea km 350 mafuta kwishney leo nimejaza tena
Mie natumia Baiskeli, mafuta yangu ni jasho...
Nakubali labda kwa vile yangu ni manual..Kuna kuendesha kwa fujo hasa automatic, unaweza kujuta, ile panda shuka ya spidi ni mbaya sana manake unakamua gari rapidly speed inashoot mpaka 120, kisha unakutana na tuta au speed limit unashuka ghafla mpaka 40, hapo ni sawa na kumlisha jini damu
Baby walker ni special kwa watoto
Ni model ya nyuma kidogo,ila nilishaiuza alig'ang'ania mtu anaitaka nikamwuzia kwa 7m .Vijana naona wanazipenda hasa wa Moshi Arusha au Nairobi yako mengi sana .Hiyo ni subaru ya aina gani mkuu?