Subaru vs Vanguard

2017, na huyo Vanguard haingii hata iweje, turbo.
 
Diesel LC200 haikimbii au sio..!!
Umeshawahi kukutana nayo highway au ni hizi short trips za Mikocheni Posta..!
 
Diesel LC200 haikimbii au sio..!!
Umeshawahi kukutana nayo highway au ni hizi short trips za Mikocheni Posta..!
Gari ya horse power 267hp ton 3 kasoro dhidi ya sedan yenye hata 200hp 1.5ton mbona hesabu ndogo Sana hio mkuu

Afu sio Kila mtu anakaa dar huko mikocheni napasikiaga tu ITV wakisema Wana ofisi huko

Unataka sema tukiweka lc200 na brevis yenye 220hp kwnye ka mkeka safi eg runway ya ndege lc200 itafika kabla ya brevis,

Gari zote ziwe nzima LC200 engine take nikubwa in terms of cc with lower hp hivo kuifanya engine kudumu muda mrefu while maintaining the same power tofauti na brevis ambayo tutaiweka mzigoni iliotengenezwa 2003-2005 huko imetumika vya kutosha hivo haina service nzuri


Can you imagine tuweke 4gr mpya na lc200 mpya kwa race hata ya 200km

Ushawahi endesha ukaona namna ukikanyaga wese inakupush kwa nyuma Kama mtu kakushika kifuani ushawahi on namna inapandisha mshale kuisaka 180kph ambayo ndo limiter yake hairuhusu kutembea zaidi ya hapo?

Hizo sedani zione hivo hivo labda ulete kina VW kale ka hatchback na sedan za BMW Audi nk tusiweke pamoja ila sio ushindani wa race dhidi ya lc200 na sedan Kama crown , brevis , Mark x , hizo Ni za kawaid Sana ila ushindi mapema Sana

Hulu Germany Autobahn lc200 zinasumbuliwa hata na gari cc 2000 kavu
 
Nimekusoma mtu wa mkoa..!

Hesabu zako hazifanyi kazi kwenye hizo gari..
Moja imefungwa kamba kwenye 180kph nyingine 260kph..
Hata uwe na horsepower ngapi ukifika 180 unaganda..

Kwenye highway top speed ni muhimu zaidi..!
 
Nimekusoma mtu wa mkoa..!

Hesabu zako hazifanyi kazi kwenye hizo gari..
Moja imefungwa kamba kwenye 180kph nyingine 260kph..
Hata uwe na horsepower ngapi ukifika 180 unaganda..

Kwenye highway top speed ni muhimu zaidi..!
Kumbe unajua sababu Ni kamba? Na how long na umbali gani ili lC200 ifike 260kph
 
Kumbe unajua sababu Ni kamba? Na how long na umbali gani ili lC200 ifike 260kph
Ndio maana nilikuuliza umeshawahi kukutana nazo highway..

Around dakika nzima..! 60 secs..
Sina uhakika urefu gani..ni wakawaida ambao highway unapatikana..

Hizo gari zinakimbia.. Na zinasumbua.. Zina stamina.. Zina clearance nzuri.. Zina nafasi..
Huwezi kusema watu wamekariri..
 
Kitakachoibeba c200 na 320i ni uwezo wa kuvuka 180kph ila kwa zone za 0-180kph utashangazwa na Crown au Mark X hasa dereva akiwa jasiri.
Huo uwezo wa kuvuka 180 labda kwenye Range Rover 2013 diesel 4.4L v8 340hp Lile kidogo linavuka kwa Kasi 240kph sio speed ya kutafuta Kama kwenye lc200


Lc200 unaionea popote labda route ndefu Sana linabeba point na zile bamsi za hapa na hapa ubovu wa road Mara Kuna sehemu lami wamekata hawajaziba lc200 linaweza pita Kama hakuna kitu tofauti na crown zetu hizi mtu kafunga low profile tire unaeza kata rimu pale

Pamoja na crown kuwa na nguvu inachanganya fasta but above 170 roho yangu haina amani tofauti na Lc200 hata Kama limechelewa fika 180 ila linaweza kaa hapo na wewe unakuwa unaona Kama iko speed ya kawaida hicho ndo kinafanya watu waone LC200 inakimbia zaidi
 
Nimefatana nazo around 390km

Zilikuwa na mission sijui wametumwa wapi Kuna STM mbili , LX tatu na Prado j150 mbili STL

Walikuwa speed Sana nikapata kampani kwenye gari tuko watatu tu hatuna mizigo ...wale wanatembea na mwendo constant sehemu zote Kuna saa mnafika kipande kina makorogesheni mengi wale wanafukua unaona vumbi tu kwenye lami me hapo mshale uko chini ya 40 unapita unaanza wasaka unawapata tulipeana kampani Sana


Nakumbuka waliingia sijui kula sijui na kuweka wese na sisi mbele tukasimama kidogo hotel moja tukala na mafuta kuongeza ile tunatoka Hawa hapa kilometa 100 za mwsho ndo niliachana na kampani yao na kuamua watoroka maana nilifika kipande ninachokijua vizuri Sana
 
Experience nzuri hiyo..
Hiyo LX ndio ilikuwa mdhamini wako..
Wangekuwa LC200 wenyewe sio rahisi kuambatana nao..!
 
unaijua choreoke jeep
 
dhamani ya gari ndo iko hapo sasa kaka, ukiwa kwenye speed around 160 kwenda mbele ndo itajulikana gari ni ipi na mfano wa gari ni upi, LC unaweza maintain 170 na ukawa poa tu, izo crown tuseme ukweli lazima utoe macho
 
Experience nzuri hiyo..
Hiyo LX ndio ilikuwa mdhamini wako..
Wangekuwa LC200 wenyewe sio rahisi kuambatana nao..!
Kuna madereva Wana roho ngumu Sana msafara wa hivo ushanipita na Hilux zilikuepo waking Wana overtake wote kwa pamoja hakuna anaebaki niliziangalia vizuri Sana muda mrefu namna wanaendesha ..nilimkubali davoo wa lx na hilux zile gari Ni ndogo lkn walikuwa wanamwagika Sana yule davoo wa Hilux angepata lc200 yule anaweza wapoteza Hilux pia ilikuwa na ka mzigo imefungwa na turubai vitu vipya kabisa unaona zile leaf spring zilivo nyeusi to ngoma Bado Ni mpya zile
 
nilipewa lift kwenye V8 moja, mbele tukaiona hillux dere akasema huyu jamaa wa hillux akiamua kukanyaga hatumuoni🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…