Pre GE2025 Sugu hata akishinda Ubunge, asitangazwe, haiwezekani tupoteze heshima ya nchi kwa kumpoteza Rais wa IPU?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Labda mfufueni Magufuli, Lakini Tulia hawezi kumshinda Sugu hata akifanya kampeni bila mavazi, hili lichukueni na mlizoee
Doh! Ninaamini hata wewe ukidharirishwa kiwango hiki, lazima uumie mkuu

Labda nikukumbusha mkuu, Unaheshima kubwa sana hapa chief

Hiyo bila mavazi unamaanisha nini hapo, halafu huyo Dada ni Dada mwenzako aisee, siasa zisitupelekeshe na badala yake siasa tuipelekeshe

Acha hizi mambo za kijinga
 
Doh! Ninaamini hata wewe ukidharirishwa kiwango hiki, lazima uumie mkuu

Labda nikukumbusha mkuu, Unaheshima kubwa sana hapa chief

Acha hizi mambo za kijinga
Unajua kuna namna huwa tunatafuta kufundisha humu ili watu watuelewe hadi tunatumia lugha kali kidogo, hatulengi kutukana lengo letu ni kusisitiza, Tusameheane iwapo tumekwaza mahali
 
Sugu atafute tu kingine cha kufanya, hiyo mikutano na mabalozi haitomfaa chochote kuurejesha ubunge.
Wewe na yeye hata mkija uchi ng'ooo hampati[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Hayo maneno labda uyasemee huku huku.

Tulia atateuliwa as before
 
Sugu hawezi kushinda ubunge Mbeya mjini,arudi kwao Iringa huko akapambane na Msigwa
 
Ukilaza nacho ni kipaji hongera
 
Maccm Huwa wanajisahau sana

huyu betina ubunge wenyewe alipewa na mwendazake akavimba bichwa eti anaweza.

sasa 2025 bila mbeleko itakuwaje?

atapoteza ubunge na uraisi wa iipu
sisi hatuna namna ya kumsaidia
 
Tofauti na heshima faida nyingine kwa wananchi ni ipi ama zipi?
 
Tofauti na heshima faida nyingine kwa wananchi ni ipi ama zipi?
Swali hili ni gumu kulijibu kulingana na ulivyojipanga

Swali hilihili liwe upande wa Sugu, amekuwa na faida ipi Mbeya
 
Usihofu, akishindwa kuna viti maalum atapewa. Achana na wazo la kuiba kura ni batili!
 
Naunga mkono hoja
 
Acha waamue wenye nchi/wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…