Pre GE2025 Sugu hata akishinda Ubunge, asitangazwe, haiwezekani tupoteze heshima ya nchi kwa kumpoteza Rais wa IPU?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Tulia atashinda me ndatoka nilipo na kurudi Mbeya kupiga Kura
 
Kila siku siyo Jumapili
Mimi ni kazi wa Mbeya, nguvu ya Sugu inajulikana, lakini figisu zitakazofanyika zitakuacha na mshangao wa mwaka. Unaweza kuwa unaongea kishabiki, inajulikana Tulia hatoshinda kwenye sanduku la kura, hilo hata CCM wanalijua. Narudia kukwambia tena kuwa haitowezekana Sugu kutangazwa kumshinda Tulia, labda si CCM ninayoifahamu.
 
Demokrasia ilimfanya Tulia kupata hicho cheo huko IPU, ila wewe hutaki demokrasia itumika pale Tulia atakaposhindwa na Mbilinyi?

Aibu naona mimi 🙄
 
Chadema wataumbuka sana chaguzi hii.. watanzania wamechezwa na machale awamu hii
 
Wapi nimesema nampenda Tulia? Kutoa maoni yangu nimekuwa mpambe?

Unadhani mimi ni kama wewe chawa wa Mbowe? Mimi ni mtu huru, sifungamani na yeyote wala chama chochote cha kisiasa.
Kumpenda Tulia ni haki ya yeyote na ana wapenzi wengi, Ila kwenye uchaguzi kuna kushinda na kushindwa.
Wote wanaoshinda na kushindwa ni watanzania na ndiyo maana halisi ya uchaguzi.
Pia Tulia akishindwa uchaguzi bado ataendelea kuwa rais wa IPU na nchi/taifa lazima limlinde kwa njia zote (zipo).
 
Sasa kwa nini kutumike njia za panya, hapa ni kucheza kidikiteta tu mkuu
 
Tulia atashinda siyo Kwa sababu aendelee kuwa spika wa mabunge duniani. Tulia kazi anayofanya Mbeya inaonekana. Pita Isanga, ilemi, isyesye, ituha, iyela igawilo, mwanjelwa nk utaona Barbara zinavyojengwa. Anayempinga Tulia wananchi watamteketezea mbali.
 
Hivi unadhani wale mabalozi wanaoongozana kwenda kwa Sugu ni Wajinga? Halafu mbona Sugu kishaangusha wengi hapo Mbeya Mjini na ni ccm hii hii, Why Tulia? Tulia ana ukubwa gani Mbeya au Tanzania, aliwahi kufanya nini kwao au nchi hii hadi umpe utukufu huo?

Sasa Nakuhakikishia kwamba Tulia ataangushwa na Sugu atatangazwa, endelea kudhani ni ushabiki, Kama ni Uspika si mleteni tu awe mgombea wenu, ni wapi Katiba ya Tanzania imesema Spika lazima awe mbunge?

William Ruto hakujua yatakayomtokea kama ccm isivyojua

Safari hii mkileta ujinga Nchi inapasuka mchana kweupe na Tuko tayari
 
AIsee Tulia aondoke kote kote tu hana faida!
!. Tumeshuhudia upuuzi mkubwa kuliko wa balozi wa nyumba kumi kumi chini ya tulia. Hivi hakuona nchi inauzwa aliporuhusu DP world kupita hapa kwetu?? Pale hakuna spika SHE MUST GO kama watahamia morocco alikopokelea mgao wa DP world aende. Tunajua ameficha hela nyingi hongo ya waarabu kwa ajili ya uchaguzi kama alivyo bi kizmkz. Two MOST EVIL WOMEN OF THE PLANET must GOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

Sugu tupo pamoja
 
Sawa mkuu
 
Hivi ile issue ya kugawanya Jimbo iliishia vipi?
 
Sawa mkuu
Hatuandiki kishabiki tunaandika uhalisia, watu Mbeya siyo Wajinga kwamba wanaweza kuburuzwa kirahisi, Huyu Sugu siyo mwepesi kama mnavyodhani, Uliza aliko yule OCD aliyemnyanyasa 2020, angalieni mambo kwa upana
 
Hatuandiki kishabiki tunaandika uhalisia, watu Mbeya siyo Wajinga kwamba wanaweza kuburuzwa kirahisi, Huyu Sugu siyo mwepesi kama mnavyodhani, Uliza aliko yule OCD aliyemnyanyasa 2020, angalieni mambo kwa upana
Sawa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…