ASIWAJU
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 1,938
- 1,632
HakikaCCM ni MAFIA kwenye MADARAKA.
Mtachekeana mwingine tu, subiri CHAGUZI. NI risasi zitakuwa zinarindima kutiboa vifua vya watu.
CCM ni SHETANI lenye mapembe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaCCM ni MAFIA kwenye MADARAKA.
Mtachekeana mwingine tu, subiri CHAGUZI. NI risasi zitakuwa zinarindima kutiboa vifua vya watu.
CCM ni SHETANI lenye mapembe.
Kuna majitu hayaijui CCM vizuri, yamekolea na vijineno vya Bibi TOZO.Kumbuka bado CCM hiyo hiyo ipo madarakani, jifunze siasa punguza matumaini pasipo na matumaini yoyote. Uchaguzi 2024 na 2025 utawajua CCM ni nani.
Nilicho gundua humu jukwaani ni kuwa watu hawazifahamu siasa hasa siasa za kwetu Afrika mfano hapa nchini.Kuna majitu hayaijui CCM vizuri, yamekolea na vijineno vya Bibi TOZO.
Bibi TOZO mwenyewe alishasema, Askari wait hawezi kumiss Target.
Akasema Tena hata upige kura huko kwingine, CCM itaunda serikali.
Sasa hivi wapole Kama hawapo, lakini Jeshi lao la kimkakati LIKO VILE VILE.
JW watawekwa standby.
NEC bado Ina Mteule wa Rais na Mgombea.
DEDs bado ni wateule wa Rais na Mgombea.
DED ni Boss wa Watendaji Kata (Wasimamizi wa uchaguzi ngazi ya KATA)
Subiri tufike UCHAGUZI, Itakuwa ni SHOW SHOW.
CCM ni SHETANI lenye mapembe na DAMU.
Adui wa Mama? Hamuwezi kuisumbua Chadema? You can do better.Wengi wenu ni maadui wa huyu mama na wafuasi wa marehemu kwahiyo hamuwezi kuisumbua Chadema
Wananchi Huwa hawana mambo mengi,Hivi huwa tunatumia vigezo gani kumchagua mbunge?
Kwahiyo ni suala la mvuto tu.Wananchi Huwa hawana mambo mengi,
Awamu ya nne wanawake wengi walimchagua 004 sababu ya sura yake,
Ukipendwa watu hawaangalii vigezo vingi wanakupa tu.
Wananchi wakikupenda hawaangalii mambo mengi,Kwahiyo ni suala la mvuto tu.
Mimi ninaina wanamtenda mama kwa akili...tusubirie hitimisho tusiwe wepesi sana kuhukumuHawawezi kuongea siasa zao pasipo kumtaja Mh.Samia
BIBI TOZO amemteua Ramadhan kombwey kailima kuwa MKURUGENZI wa TUME YA UCHAGUZI.Mimi ninaina wanamtenda mama kwa akili...tusubirie hitimisho tusiwe wepesi sana kuhukumu
Ndio maana nasema issue ni mvuto tu ndio maana tunazungumzia watu kukupenda bila kujali hicho wanachokupendea.Wananchi wakikupenda hawaangalii mambo mengi,
Tarime vijijini waliwahi mchagua diwani wa CDM akiwa gerezani bila kufanya compaign, Elimu yake sisemi, aijua mwenyewe!!!
Sukuma gang wanatamani afe hata leo, hasa wale waliokuwa chawa wa karibu wa Jiwe na wale watekaji waliokuwa wakiiba/wakipora mali/pesa za watu mchana kweupe kwani sasa kibao kimegeuka hakuna yale mambo ya kuteka na kupora.Hivi upewe pesa na uambiwe ukiwa na shida nipigie, utaacha kusifu yaani Samia kajua kucheza kete zake iwe upinzani au ccm wenzie wote wanansifu tu na kuabudu