Hizi akili gani,unawezaje kumshukuru oppressor,mtu anayesimamia mfumo kandamizi?Samia anaongoza chama kile kile kilichojaribu kumuua lisu,kilimfunga mwenyekiti wako,na kufanya mauaji Mengi,
Haingii akilini kumshukuru,hakuna fadhila amefanya,presha ya jumuhiya ya kimataifa,ndio imemlazimisha kuondoa zuio haramu la mikutano ya kisiasa,
Huwezi kusema hupendi samaki lakini unapenda mchuzi wa samaki,
Hii hari ya kumuona mtesi wako kama mtu mzuri,inaitwa "Stockholm syndrome""
Ccm ni majambazi,ogopa majitu yanayonufaika na huu mfumo,na mazambi yote ccm waliyofsnya,hutakuja kusikia mtu kama warioba anakemea,huu mfumo unamnufaisha yeye na familia yake.
Hawa watu inabidi watiwe presha ndani na nje ya nchi mpaka,waache ukandamizaji,nchi iwe huru.