Cannibal OX
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,164
- 3,553
Si kujikomba bali ni utamu wa asali.Huku kujikomba kumepitiliza sasa[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kujikomba bali ni utamu wa asali.Huku kujikomba kumepitiliza sasa[emoji1787]
Kwenye hiyo miaka miwili ulishawahi vuka mpaka wa Tanzania ukaingia hata kwa majirani?Kilo ya mchele inaeleke elfu 4. miaka miwili nyuma ilikua 1800
Siasa kwa Africa ni chanzo cha mapato. Kama sugu kaona kundi litamsaidia mimi namuunga mkono. Hata Mbowe alishawahi kumtumia mtuhumiwa mkuu wa kashfa za ufisadi kufanikisha malengo yake binafsi ya kisiasa.Kundi la Mgaso wamedhamiria kumzamisha Betina kupitia SUGU..NYO maana anahusishwa na kundi lile.
Wanagawana nyama kabisa kabla hata ng'ombe hajachinjwa.
Tusubiri.
Watu bana yani mnaona wivu sugu kumsifia rais wa nchi tuu mbona mambo ya kipumbavu mengi tu watu mnasifia hamsemi.?Hivi upewe pesa na uambiwe ukiwa na shida nipigie, utaacha kusifu yaani Samia kajua kucheza kete zake iwe upinzani au ccm wenzie wote wanansifu tu na kuabudu
Leo hii yupo waaapiii? Alikuwa anajifanya hii Nchi ni yake, na hajawahi, na hatatokea kiongozi kama yeye! Mwenye Enzi Mungu akafanya yake, na kuwathibitishia kuwa imani zenu za hakuna mwingine zaidi yake, zilikuwa ni za kijinga, akaamua kumleta MWANAMKE kabisaaaaaaa!Matapeli haya ndio maana Magufuli aliyapiga pini.
Nia siyo kumponda Magufuli, bali kuuponda uovu. Lakini marehemu Magufuli ni mfano mzuri wa uovu.Wana mtaja sana katika mazingira yanayoonesha pasipo Mh.Samia baasi wao si kitu, zaidi ni kama hawataji sera zao kwa sasa zaidi ya kupita na kumshukuru 'maza' au kumponda JPM kila waendapo
Mimi binafsi, naridhika sana na siasa za kistaarabu, na nitasikitika sana kama kutatokea kiongozi yeyote wa upinzani kumkujeli Rais Samia.Mtu asiye furahishwa na kitendo cha Rais Sami kudumisha amani na utulivu atakuwa Mchawi.
WaNia siyo kumponda Magufuli, bali kuuponda uovu. Lakini marehemu Magufuli ni mfano mzuri wa uovu.
Pamoja na maelekezo MAZURI ya sa100 na kupanga safu yote ya vyombo vya ulinzi,Nia siyo kumponda Magufuli, bali kuuponda uovu. Lakini marehemu Magufuli ni mfano mzuri wa uovu.
Mkuu Nakuunga mkono. Huenda hata mimi nikawa mpiga kampeni wa Rais Samia.Mimi binafsi, naridhika sana na siasa za kistaarabu, na nitasikitika sana kama kutatokea kiongozi yeyote wa upinzani kumkujeli Rais Samia.
Rais Samia amefanya mengi mazuri tena kwenye mazingira magumu ambayo kwa kiasi kikubwa yanasababishwa na lile kundi la wanaopenda uharamia wa siasa zile za awamu ya 5.
Na wakizidi kufanya vitimbwi, vyama vya upinzani viweke wagombea ambao kazi kubwa itakuwa kumpigia kampeni Rais Samia, halafu tuone kama wale wapenda siasa za kuuana kama watatoboa.
Sio kwamba wahuni wameisha. Bado wapo sana. Hasa wale wa uspika wa michongoWa
Pamoja na maelekezo MAZURI ya sa100 na kupanga safu yote ya vyombo vya ulinzi,
Nani walionyuma ya kushushwa Kwa bendera za mkutanoni Mbeya Hadi kupelekea mkt Kutoa LAANA?
Uuuuuuwiiiiiiiii!!!!!!
Samia ana uwezo gani wa kupandisha bei ya mafuta OPEC?Kilo ya mchele inaeleke elfu 4. miaka miwili nyuma ilikua 1800
Hicho kipengelee cha kumtaja Mama Samia kila wakati nazani kipo kwenye Mkataba wa Maridhiano yao na Ikulu!!Hawawezi kuongea siasa zao pasipo kumtaja Mh.Samia
Sasa ndiyo muwe na adabu,CCM imesha waonyesha kua ikiamua kufanya kitu chochote kile hapa Tanzania,inaweza, na wala msimsingizie Magufuli! Mlimdharau sana Jakaya hadi kumwita Rais dhaifu, ndiyo maana CCM ikaamua iwaletee Chuma,na kweli Chuma nacho kikanyoosha kweli kweli!!Siyo kujikomba, nchi ilikuwa inatawaliwa na shetani aliyetwaliwa kuzimu.
Sugu amekaa jela Kwa madhira ya shetani wa Chato, Mama ameleta utengamano Kwa nini wasimshukuru?
Watanzania mnapenda unafki wa kumsifu mtu akiwa amekufa.
Mama apewe mauwa yake akiwa hai, mama ameliponya Taifa lililokuwa linatawaliwa Kwa mkono wa chuma.
Hicho kipengelee cha kumtaja Mama Samia kila wakati nazani kipo kwenye Mkataba wa Maridhiano yao na Ikulu!!