Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Basi wewe utakuwa ni Mzee sana na uliwahi kuishi Marwkani miaka ya 60 na baada ya kutoka huko hukuwahi kujishughulisha kujua chochote kinachoendelea huko. Na sikulaumu kwa hilo.Wenyewe kwa wenyewe wanaitana hivyo ila hawataki kuitwa hivyo na Mzungu !
Kwenye swala la sifa sio mwanasiasa tu anazipenda hata wasanii hio cheni alitamka Bei ya kisanii sio ya kununulia tusije muua na stress si mnaona ata afya ishaishaMtu anavaa Cheni ya Million 900 analia Kodi ya Million 700 ni Tanzania pekee
Na ilikuwa ni hatari kusemea mitandaoniJiwe alikua hazuii transaction alikua anachukua chote alichotaka kwenye akaunti yako yaani kwa mfano wamekuta milioni 100 wanakueleza wanachukua 50 wanakuachia 50 ndio ilikua biashara hiyo
🤣🤣🤣Hapa sio marekani ni Tanzania, which is not a big deal. Tulipe Kodi maana huwa tunadhani hii nchi Ni ya CHADEMA.
Yakiwakuta wanataka tuwasaidie kuliaSUGU alichoandika ni Sarcasm/Kejeli
Soma Vizuri tweet ya JonGwe... amesema "Kila siku mnnasikia tunapigia kelele hizo Sheria mbovu na mmekaa kimya",, Lengo lake amemaanisha Watu wawe wanaunga Mkono kukemea hayo matatizo na sio wanakaa kimya halafu wanakuja kulalamika...
Hakuna sehemu amekandamiza yeyote.
Bado kuna watu hawajamwelewa msanii mahiri SuguNilipata kwenye ujumbe wa sugu ni kwamba TRA ina sheria mbaya sana za kodi,iko haja ya kufanyiwa review
Zile stori za kuharibu vijanaAlafu kila kukicha anasema sjui kampa baba levo mwijak manara mamilion ya hela
Ova
Una uhakika hiyo million 700 ndio kodi ya cheni ?Mtu anavaa Cheni ya Million 900 analia Kodi ya Million 700 ni Tanzania pekee
Pesa za freemason hazilipwi kodi🤣Itakuwa ni maoicha picha tu anatufanyia huyu domo. Hana utajiri anaotuaminisha kuwa anao
Sasa kinachomliza ni nini?Huyo kilaza wala hata nae hana ufahamu.
Wakusanya kodi wanayo hayo mamlaka Dunia nzima si Tanzania pekee.
Hakuna sheria mbovu hapo.
Hajakatwa Cheni mkuu amekatwa kwenye Biashara zake elewa kwanza ndio uulize swali,Una uhakika hiyo million 700 ndio kodi ya cheni ?
Kudos wanajamvi.
Legendary wa mziki na Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" amewataka watu maarufu na Wananchi kwa ujumla kulipa Kodi.
Sugu amenukukiwa akisema watu waache janja janja kwaninTRA sio Chadema na kwamba kulipa Kodi Ni Uzalendo.
Asante Sana Sugu kwa kuonesha uzalendo,Sasa umekomaa kisiasa na unatambua kwamba Nchi Ni muhimu kuliko Vyama.👍👍
Kudos bwana Sugu kwa huu ujumbe wa kizalendo👇
Walio karibu naye wamshauri alipe kodi badala ya kuanzisha bifu la mitandaoni na tra. Bif haiwezi kumsaidia popote, badala yake inaweza kuwafanya tra wakaanza kufukua na makaburi ya zamani!Sheria ziko wazi alipe kodi ya betting, kampuni ya muziki, media ili mambo yasiwe mengi
Dongo kwa domo kayaDongo kwà Domo
Kufunga account za msanii huyo bila taarifa Kuna tofauti Gani na kuvamia Maduka ya kubadili fedha enzi za JIWE?
Huko ndo kukusanya Kodi Kwa AKILI alikoelekeza ndugu Rais?