Sugu: TRA siyo CHADEMA, acheni janja janja lipeni kodi

Sugu: TRA siyo CHADEMA, acheni janja janja lipeni kodi

Wenyewe kwa wenyewe wanaitana hivyo ila hawataki kuitwa hivyo na Mzungu !
Basi wewe utakuwa ni Mzee sana na uliwahi kuishi Marwkani miaka ya 60 na baada ya kutoka huko hukuwahi kujishughulisha kujua chochote kinachoendelea huko. Na sikulaumu kwa hilo.
 
Jiwe alikua hazuii transaction alikua anachukua chote alichotaka kwenye akaunti yako yaani kwa mfano wamekuta milioni 100 wanakueleza wanachukua 50 wanakuachia 50 ndio ilikua biashara hiyo
Na ilikuwa ni hatari kusemea mitandaoni
 
SUGU alichoandika ni Sarcasm/Kejeli

Soma Vizuri tweet ya JonGwe... amesema "Kila siku mnnasikia tunapigia kelele hizo Sheria mbovu na mmekaa kimya",, Lengo lake amemaanisha Watu wawe wanaunga Mkono kukemea hayo matatizo na sio wanakaa kimya halafu wanakuja kulalamika...

Hakuna sehemu amekandamiza yeyote.
Yakiwakuta wanataka tuwasaidie kulia
 
Kudos wanajamvi.

Legendary wa mziki na Mbunge wa Zamani wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi "Sugu" amewataka watu maarufu na Wananchi kwa ujumla kulipa Kodi.

Sugu amenukukiwa akisema watu waache janja janja kwaninTRA sio Chadema na kwamba kulipa Kodi Ni Uzalendo.

Asante Sana Sugu kwa kuonesha uzalendo,Sasa umekomaa kisiasa na unatambua kwamba Nchi Ni muhimu kuliko Vyama.👍👍

Kudos bwana Sugu kwa huu ujumbe wa kizalendo👇

Nukuu isipotoshwe:

".. kila siku mnasikia tunapopigia kelele sheria mbovu na mmekaa kimya ... lipeni (kodi) kwanza ... halafu mje tusaidiane kudai katiba mpya."

Adui yetu ni yule yule.
 
Kodi nilipe halafu wapuuzi Fulani wafanye ufisadi kodi yangu unasikia tu mabilioni yamepotea bila hatua yoyote ni bora kuendelea kuwa janja janja kwenye kodi sababu wanaofaidika wachache wengi wanaumia, laiti TRA nguvu wanayotumia kukusanya kodi wangeitumia pia kukusanya na kuadabisha mafisadi Wa kodi zetu
 
Sheria ziko wazi alipe kodi ya betting, kampuni ya muziki, media ili mambo yasiwe mengi
Walio karibu naye wamshauri alipe kodi badala ya kuanzisha bifu la mitandaoni na tra. Bif haiwezi kumsaidia popote, badala yake inaweza kuwafanya tra wakaanza kufukua na makaburi ya zamani!
 
Kufunga account za msanii huyo bila taarifa Kuna tofauti Gani na kuvamia Maduka ya kubadili fedha enzi za JIWE?

Huko ndo kukusanya Kodi Kwa AKILI alikoelekeza ndugu Rais?

Unajua Siri za maduka mengi ya fedha. Wewe na Mimi na watanzania tulivyo wasanii. Jua kuwa Tz Ina mambo mengi sana
 
Kwani kulipa kodi vibaya?magari anayapitisha wapi kama sio barabara?
 
Back
Top Bottom