Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Wajinga ndio waliwao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hivyo ujue kuwa huko kunakoitwa makanisa ya kweli wameshindwa kupata ufumbuzi wa shida zaoWatu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Mi najua ukiliita jina la Yesu linatosha Wala hamna kubeba kucha Wala nywele ni upuuzi Tu, imani sio ngumu hivyo. Kuna mbuzi zinatafuta nail cutter mida hii
This guy is anything but man of God or practitioner of occurt/witchcraft science,
Kama ni mchawi wewe usiye mchawi unakwama wapi kumuangusha mchawi bro Suguye?
Umeongea kweli mpendwaUkiona hivyo ujue kuwa huko.kunakoitwa makanisa ya kweli wameshindwa kupata ufumbuzi wa shida zao
Wanaona tu kanisa kongwe ni sehemu tu ya kufunzwa Bible Study na kufunzwa doctrine tu za dini husika lakini solution za real problems za watu hawana!!
Ndio.maana watu wanakimbilia huko kwingine. Kungekuwa na solution walipo wasingehangaika kwenda kwa mitume na Manabii
Kanisa lijitazame ndani zaidi kuliko kulaumu huko wanakoenda na kuwaita hawajui neno nk
Mtu haendi kanisani kwenda tu.kukaririshwa mistari ya Biblia na doctorines za kanisa pekee!! Watu wana issues. Yesu na mitume walikuwa na majibu kwa real problems za watu hawakuishia tu kuwafundisha bible study na doctorines za kanisa
Kabisa mama mchungaji DonatilaMsiwaseme wapakwa mafuta wa Bwana.
Biblia inasema msiwaguse masihi wangu wala msiwadhuru nabii zangu Zaburi ya 105: 15
Kanisa haliwezi jua shida ya mtu bali mtu ndie utoa shida zake kanisani.Ukiona hivyo ujue kuwa huko kunakoitwa makanisa ya kweli wameshindwa kupata ufumbuzi wa shida zao
Wanaona tu kanisa kongwe ni sehemu tu ya kufunzwa Bible Study na kufunzwa doctrine tu za dini husika lakini solution za real problems za watu hawana!!
Ndio.maana watu wanakimbilia huko kwingine. Kungekuwa na solution walipo wasingehangaika kwenda kwa mitume na Manabii
Kanisa lijitazame ndani zaidi kuliko kulaumu huko wanakoenda na kuwaita hawajui neno nk
Mtu haendi kanisani kwenda tu.kukaririshwa mistari ya Biblia na doctorines za kanisa pekee!! Watu wana issues. Yesu na mitume walikuwa na majibu kwa real problems za watu hawakuishia tu kuwafundisha bible study na doctorines za kanisa
Majibu kama haya ndio ya yanakimbiza waumini kwenda kwingineKanisa haliwezi jua shida ya mtu bali mtu ndie utoa shida zake kanisani.
Kutegemea Mchungaji au nabii akutatulie shida zako hio nayo ni changamoto pia, wakati KILA kitu kipo wazi kwenye biblia
Ufumbuzi wa shida zao upo huko makisani na watu wengi wanapokea inahitaji kufata kanuni na taratibu tu za maandiko, sasa shida watu hawapendi kufata taratibu na kanuni wanapenda shortcut na mtelemkoooo kitongaa yan wapokee huku wanadanga wapokee huku wanafanya biashara haram wapokee huku wanazini wap na wap??Ukiona hivyo ujue kuwa huko kunakoitwa makanisa ya kweli wameshindwa kupata ufumbuzi wa shida zao
Wanaona tu kanisa kongwe ni sehemu tu ya kufunzwa Bible Study na kufunzwa doctrine tu za dini husika lakini solution za real problems za watu hawana!!
Ndio.maana watu wanakimbilia huko kwingine. Kungekuwa na solution walipo wasingehangaika kwenda kwa mitume na Manabii
Kanisa lijitazame ndani zaidi kuliko kulaumu huko wanakoenda na kuwaita hawajui neno nk
Mtu haendi kanisani kwenda tu.kukaririshwa mistari ya Biblia na doctorines za kanisa pekee!! Watu wana issues. Yesu na mitume walikuwa na majibu kwa real problems za watu hawakuishia tu kuwafundisha bible study na doctorines za kanisa
Kama Yesu Kristo yu hai Ukristo hauwezi kufa.Ukristo unafia mikononi mwa hawa manabii na mitume.
Vijana wadogo wakiona matendo kama haya hawakanyagi kanisani..na hapo ndipo utakuwa mwanzo wa mwisho wa kanisa.
Kifupi makanisa na viongozi wajitathimini wana solution au hawana za changamoto za waumini?Ufumbuzi wa shida zao upo huko makisani na watu wengi wanapokea inahitaji kufata kanuni na taratibu tu za maandiko, sasa shida watu hawapendi kufata taratibu na kanuni wanapenda shortcut na mtelemkoooo kitongaa yan wapokee huku wanadanga wapokee huku wanafanya biashara haram wapokee huku wanazini wap na wap??
Kwaiyo unataka tuache kuhubiri injili yakuacha dhambi umpokee Yesu uponywe we unataka uponywe ili uendelee na dhambi, jingaa acha wakagaragazwe
Huo ni uchanga wa kiimani kwann utegemee kanisa kwann usijiombee mwenyeweMajibu kama haya ndio ya yanakimbiza waumini kwenda kwingine
Yesu aliposema nimewapa mamlaka ya kutoa pepo nk aliongea na mitume wake sio waumini .
Hata mambo ya kukwepa responsibility na kusukumia muumini haliko sawa
Ok unasema muumini akiwa na chachangamoto apeleke ok anapeleka kwa kiongozi wa kanisa naumwa ukimwi au sina kazi au biashara inakufa au sina kazi kiongozi wa kanisa anapiga miyowe wee akijitia kuomba Mungu hakuna ufumbuzi au mikanisa mingine ndio kabisa inakwambua enzi za miujiza zilishapita .Unataka mtu are na Tatizo lake? Ndio maana wanatimka unahubiri Mungu ana nguvu wakati haionekani kwenye huduma yako.Nani abaki hapo kusilikiliza uongo wako usio na proof za huyo Mungu kuwa ana nguvu? Ana nguvu gani zisizoweza tatua changamoto? Ndio maana unaona watu wanakoona kuna solution wanatimkia huko kuwe kwa mganga wa kienyeji au nabii na mtume.wa ukweli au uongo
Sio uchanga wewe ndie hujui maandiko.Hujui umuhimu wa wengine kukuombea ukiwa na changamotoHuo ni uchanga wa kiimani kwann utegemee kanisa kwann usijiombee mwenyewe