Suguye ni mchawi au ni Mtumishi wa Mungu?

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Mi najua ukiliita jina la Yesu linatosha Wala hamna kubeba kucha Wala nywele ni upuuzi Tu, imani sio ngumu hivyo. Kuna mbuzi zinatafuta nail cutter mida hii
Ukiona hivyo ujue kuwa huko kunakoitwa makanisa ya kweli wameshindwa kupata ufumbuzi wa shida zao

Wanaona tu kanisa kongwe ni sehemu tu ya kufunzwa Bible Study na kufunzwa doctrine tu za dini husika lakini solution za real problems za watu hawana!!

Ndio.maana watu wanakimbilia huko kwingine. Kungekuwa na solution walipo wasingehangaika kwenda kwa mitume na Manabii

Kanisa lijitazame ndani zaidi kuliko kulaumu huko wanakoenda na kuwaita hawajui neno nk

Mtu haendi kanisani kwenda tu.kukaririshwa mistari ya Biblia na doctorines za kanisa pekee!! Watu wana issues. Yesu na mitume walikuwa na majibu kwa real problems za watu hawakuishia tu kuwafundisha bible study na doctorines za kanisa
 
295828102_5221563811293209_8877219040337405313_n.jpg
This guy is anything but man of God or practitioner of occurt/witchcraft science,
Anatafuta ugari wake,ajira zenyewe ngumu,afanye nini,ni njia ya kupiga pesa,wajinga Bado ni wengi,wanaoamini Ili kupata pesa inabidi utoe pesa kwa "Mungu"
 
Ukiona hivyo ujue kuwa huko.kunakoitwa makanisa ya kweli wameshindwa kupata ufumbuzi wa shida zao

Wanaona tu kanisa kongwe ni sehemu tu ya kufunzwa Bible Study na kufunzwa doctrine tu za dini husika lakini solution za real problems za watu hawana!!

Ndio.maana watu wanakimbilia huko kwingine. Kungekuwa na solution walipo wasingehangaika kwenda kwa mitume na Manabii

Kanisa lijitazame ndani zaidi kuliko kulaumu huko wanakoenda na kuwaita hawajui neno nk

Mtu haendi kanisani kwenda tu.kukaririshwa mistari ya Biblia na doctorines za kanisa pekee!! Watu wana issues. Yesu na mitume walikuwa na majibu kwa real problems za watu hawakuishia tu kuwafundisha bible study na doctorines za kanisa
Umeongea kweli mpendwa
 
Ukiona hivyo ujue kuwa huko kunakoitwa makanisa ya kweli wameshindwa kupata ufumbuzi wa shida zao

Wanaona tu kanisa kongwe ni sehemu tu ya kufunzwa Bible Study na kufunzwa doctrine tu za dini husika lakini solution za real problems za watu hawana!!

Ndio.maana watu wanakimbilia huko kwingine. Kungekuwa na solution walipo wasingehangaika kwenda kwa mitume na Manabii

Kanisa lijitazame ndani zaidi kuliko kulaumu huko wanakoenda na kuwaita hawajui neno nk

Mtu haendi kanisani kwenda tu.kukaririshwa mistari ya Biblia na doctorines za kanisa pekee!! Watu wana issues. Yesu na mitume walikuwa na majibu kwa real problems za watu hawakuishia tu kuwafundisha bible study na doctorines za kanisa
Kanisa haliwezi jua shida ya mtu bali mtu ndie utoa shida zake kanisani.
Kutegemea Mchungaji au nabii akutatulie shida zako hio nayo ni changamoto pia, wakati KILA kitu kipo wazi kwenye biblia
 
Majibu kama haya ndio ya yanakimbiza waumini kwenda kwingine

Yesu aliposema nimewapa mamlaka ya kutoa pepo nk aliongea na mitume wake sio waumini .

Hata mambo ya kukwepa responsibility na kusukumia muumini haliko sawa

Ok unasema muumini akiwa na chachangamoto apeleke ok anapeleka kwa kiongozi wa kanisa naumwa ukimwi au sina kazi au biashara inakufa au sina kazi kiongozi wa kanisa anapiga miyowe wee akijitia kuomba Mungu hakuna ufumbuzi au mikanisa mingine ndio kabisa inakwambua enzi za miujiza zilishapita .Unataka mtu afe na Tatizo lake?

Ndio maana wanatimka unahubiri Mungu ana nguvu wakati haionekani kwenye huduma yako.Nani abaki hapo kusilikiliza uongo wako usio na proof za huyo Mungu kuwa ana nguvu? Ana nguvu gani zisizoweza tatua changamoto? Ndio maana unaona watu wanakoona kuna solution wanatimkia huko kuwe kwa mganga wa kienyeji au nabii na mtume.wa ukweli au uongo
 
Ukiona hivyo ujue kuwa huko kunakoitwa makanisa ya kweli wameshindwa kupata ufumbuzi wa shida zao

Wanaona tu kanisa kongwe ni sehemu tu ya kufunzwa Bible Study na kufunzwa doctrine tu za dini husika lakini solution za real problems za watu hawana!!

Ndio.maana watu wanakimbilia huko kwingine. Kungekuwa na solution walipo wasingehangaika kwenda kwa mitume na Manabii

Kanisa lijitazame ndani zaidi kuliko kulaumu huko wanakoenda na kuwaita hawajui neno nk

Mtu haendi kanisani kwenda tu.kukaririshwa mistari ya Biblia na doctorines za kanisa pekee!! Watu wana issues. Yesu na mitume walikuwa na majibu kwa real problems za watu hawakuishia tu kuwafundisha bible study na doctorines za kanisa
Ufumbuzi wa shida zao upo huko makisani na watu wengi wanapokea inahitaji kufata kanuni na taratibu tu za maandiko, sasa shida watu hawapendi kufata taratibu na kanuni wanapenda shortcut na mtelemkoooo kitongaa yan wapokee huku wanadanga wapokee huku wanafanya biashara haram wapokee huku wanazini wap na wap??

Kwaiyo unataka tuache kuhubiri injili yakuacha dhambi umpokee Yesu uponywe we unataka uponywe ili uendelee na dhambi, jingaa acha wakagaragazwe
 
Ukristo unafia mikononi mwa hawa manabii na mitume.
Vijana wadogo wakiona matendo kama haya hawakanyagi kanisani..na hapo ndipo utakuwa mwanzo wa mwisho wa kanisa.
Kama Yesu Kristo yu hai Ukristo hauwezi kufa.

Tangu kale haya mambo yalikuwepo, wapo watu waliojinasibisha na Kristo lakini walikuwa waongo, nia yao ni kumtweza Kristo na Ukristo. Hata katika nyakati za kupoa na kurudi nyuma Roho wa Mungu atahuisha Kanisa lake.

Vv
 
Ufumbuzi wa shida zao upo huko makisani na watu wengi wanapokea inahitaji kufata kanuni na taratibu tu za maandiko, sasa shida watu hawapendi kufata taratibu na kanuni wanapenda shortcut na mtelemkoooo kitongaa yan wapokee huku wanadanga wapokee huku wanafanya biashara haram wapokee huku wanazini wap na wap??

Kwaiyo unataka tuache kuhubiri injili yakuacha dhambi umpokee Yesu uponywe we unataka uponywe ili uendelee na dhambi, jingaa acha wakagaragazwe
Kifupi makanisa na viongozi wajitathimini wana solution au hawana za changamoto za waumini?

Kama hawana hiki kizazi kilichopo ninja watu wanasoma wanajua haki zao na uongo hawataki

Ukisema wenye shida waje watafunguliwa wasipofunguliwa hutaona.Kwani wanajikomba nini kwako? Biblia inasema semezaneni kweli ninyi kwa ninyi .Unasema watu waje kwako watafunguliwa mizigo yao wakati huo uwezo huna unatafuta tu waumini wa kula pesa zao za sadaka na mafungu ya kumi.Hupati mtu watahama ti kwenda kwenye solution
 
Majibu kama haya ndio ya yanakimbiza waumini kwenda kwingine

Yesu aliposema nimewapa mamlaka ya kutoa pepo nk aliongea na mitume wake sio waumini .

Hata mambo ya kukwepa responsibility na kusukumia muumini haliko sawa

Ok unasema muumini akiwa na chachangamoto apeleke ok anapeleka kwa kiongozi wa kanisa naumwa ukimwi au sina kazi au biashara inakufa au sina kazi kiongozi wa kanisa anapiga miyowe wee akijitia kuomba Mungu hakuna ufumbuzi au mikanisa mingine ndio kabisa inakwambua enzi za miujiza zilishapita .Unataka mtu are na Tatizo lake? Ndio maana wanatimka unahubiri Mungu ana nguvu wakati haionekani kwenye huduma yako.Nani abaki hapo kusilikiliza uongo wako usio na proof za huyo Mungu kuwa ana nguvu? Ana nguvu gani zisizoweza tatua changamoto? Ndio maana unaona watu wanakoona kuna solution wanatimkia huko kuwe kwa mganga wa kienyeji au nabii na mtume.wa ukweli au uongo
Huo ni uchanga wa kiimani kwann utegemee kanisa kwann usijiombee mwenyewe
 
Sio uchanga wewe ndie hujui maandiko.Hujui umuhimu wa wengine kukuombea ukiwa na changamoto

Yak 5:13-15​

Mtu wa kwenu amepatikana na mabaya? Na aombe. Ana moyo wa kuchangamka? Na aimbe zaburi. Mtu wa kwenu amekuwa hawezi? Na awaite wazee wa kanisa; nao wamwombee, na kumpaka mafuta kwa jina la Bwana. Na kule kuomba kwa imani kutamwokoa mgonjwa yule, na Bwana atamwinua; hata ikiwa amefanya dhambi, atasamehewa.
 
Back
Top Bottom