Madame S
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 17,171
- 34,394
mamii sorry kwa kukujibu late, iko street no 3 ukishuka barabara ya nne kwa mbele kidogo tena ni 2700Sehemu gani madam kesho niifuate!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mamii sorry kwa kukujibu late, iko street no 3 ukishuka barabara ya nne kwa mbele kidogo tena ni 2700Sehemu gani madam kesho niifuate!
bila shaka ni ile ya zambia hii
Mkuu, wap huko nije kununua nahitaji kama kilo10 niweke stock ndani. Please nitajie mtaa husika tafadhaliHuku kwetu, walipotangaza tu bei elekezi, wauzaji wakashusha bei ghafla. Agizo linatekeleza bila shuruti
Sio huko tu Kilimanjaro ndo hakuna leo nimeenda kwa mama ntilie nikanywa chai bila sukari
Waziri alisema sukari iko bandarini!Sukari imekuwa bidhaa adimu jijini Dar es salaam.
Maduka yote makubwa ya jumla haipatikani.
Kabla ya kupotea ilikuwa inauzwa 127 000/50kg. Bei hii ni 2540, wakati bei elekezi iliyotangazwa na serikali kwa DSM ni 2600.
Kwa maana hii serikali inawapangia wafanyabiashara wapate sh 60 tuu kwa kilo bila kujali gharama zingine.
Serikali ichukue hatua nzuri kwenye hili swala la sukari.
Mara zote serikali ndio inatibua bei ya sukari.
Hiyo uliyokunywa siyo chai ni chingambwe!Sio huko tu Kilimanjaro ndo hakuna leo nimeenda kwa mama ntilie nikanywa chai bila sukari
Bara angeacha tu iuzwe ghali ila ipatikane.Oooh!!!
Naskia Sabaya kakamata watu juzi hapo maeneo ya stendi ya Boma waliokua wanauza sukari nje ya bei elekezi ya serikali..
Niko Msolwa huku, kwenye shamba langu la muwa.Kwa sisi WANYONGE hata ikifika 10,000/ kwa kg hakuna shida,tutanunua tu,anaeona sukari inauzwa bei kubwa,akalime miwa!
WAnaleta siasa kwenye biashara.Mi nipo wilaya ya Hai. Baada ya mkuu wa wilaya kufuatilia suala la bei,wenye maduka wakaamua wote kuondoa sukari madukani mwao. Kisa wanadai walinunua bei ya juu hawawezi kuuza kwa bei ya chini.
Tatizo hapa ni sisi watanzania. Hatuna jema. Sukari ilipokuwa bei juu, ikawa inapatikana kwa wingi,tulilia kwamba hatutamudu. Tuakaitaka serekali iingilie kati. Serekali imeingilia kati tunaona wafanyabiashara wanaonewa.
Huku ukienda dukani unaambiwa sukari hakuna. Ila kama mnafahamiana na una 3500 unapata yakutosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Inamaana serikali inashindwa kutoa sukari kwenye bandari yake?Waziri alisema sukari iko bandarini!
Haziakisi gharama zote hizo mkuuHivi hizo bei zao elekezi huwa zinajali gharama za uzalishaji, usambazaji, kodi na gharama za uendeshaji duka kwa muuzaji wa Jumla au rejareja??
Bei ikiwa ghali tunashindwa kumudu kuinunua. Ni bora kua na bei moja isiyoumiza upande wowote ule!Bara angeacha tu iuzwe ghali ila ipatikane.
Yaani hiyo bei elekezi ndio imeisababisha imepotea kabisa.
Huku kwetu hakuna kabisaa.
Sent using Jamii Forums mobile app