Sukari yafika shilingi 5,000 kwa kilo moja

wanaosema hayo si wazungu ni wataalamu wa afya , au Janabi ni mzungu ?? MZUNGU YUPI ALIANDIKA MSAHAFU , WACHA KUPAKAZIA
Mwili wa mtu unahitaji sukari ila kuna umri ukifika mahitaji yanapungua na uwezo wa mwili wako kuchakata sukari unapungua hilo ndio la kuangalia.
 

View: https://youtu.be/SOqtDHW4Xxc?si=z-gDlgJufZSVd5q6
 
Tutakunywa Ulanzi sasa
 
Mtu anawekez kweny sukari hana tofaut sana na wale wanao nunua viwa ja kwa lak 6/7 then unakuja kuuza baada ya mfup million 10


Nazn sukari ni biashara nzuri sana kwa Tz unawez kununua sukura January ukawek ndan ikifk July sukari umepanda bei kwa zaid ya 43.7% ukaiuza na kupg ela bila wasiwas

My country , labda wana control kisukari

Hapo tusubr kupanda bei ya bidhaa ambazo zinatumia sukari
 
Samia mambo madogo kama haya yanamuelemea kwa vile anakwepa kuchukua maamuzi magumu!
Namshauri avunje bodi ya sukari na kufanyasukari kuwa bidhaa huria.
Kila anayeweza kuagiza, alete uone kama kg ya sukari haijauzwa elfu mbili.
 
Kwan nyie Bado mnakunywaga chai ? Me nilishasahau saiz ni mwendo wa maziwa fresh tu hayaitaji sukari Wala majani ya chai.
 
Magufuli si aliitwa dikteta au….
 

Hii ni kweli mkuu? Tanga fresh watakua wamezingua sana,,,ninavyoyakubali
 
Pata potea

View: https://www.instagram.com/p/C2UMkX0I_2O/?igsh=MXRlaWZ3emxzN3h1ag==
 
Namshukuru Mungu nimeachana na uraibu wa sukari ,chumvi na mafuta ya kupikia.
 
Mtakamatika kwenye nyama, kilo 1 imetinga 12,000/

Mgahawa mnoja leo nimeomba mishikaki ya ng'ombe wakasema hapa tumeacha kuuza nyama ya ng'ombe na mbuzi, tuna-serve kuku wa kisasa tu maana hatuwezi bei ya nyama ya ng'ombe buchani.
Sili nyama nakula kuku na samaki na mboga mboga basi. Situmii nyama nyekundu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…