Pre GE2025 Sukuma gang hatuta-support CCM 2025, tutakwenda na Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

RNA

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
1,647
Reaction score
2,803
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote alipo .

Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo .

Ni hayo tu .
 
Yaanii hapoo Kizmkz anapagawa kabisaaa......anatamani wanawake tuuu wapige kura.....awajaze vicoba....khaaaa watanganyila mna nongwa
 

Muuaji versus mtetea haki za binadamu .

Ukitaka version ya S .gang chagua SSH
 
Hakuna sukuma gang hapo
 
Hili liko wazi. Nimeshaona watu wengi waliokuwa magu damu damu wanamuona kama Lissu ni Replacement yzo.
 
Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo .😂
Itabidi mbadili jina sasa
 
Wewe ni mtu wa HOVYO. Unasema mnamsapoti Lissu na mna falsafa ya Magufuli!! Magufuli huyu huyu aliyetaka kumuua Lissu kwa kumshindilia risasi 16??
 
Kikao cha makubuliano kilifanyika lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…