Pre GE2025 Sukuma gang hatuta-support CCM 2025, tutakwenda na Tundu Lissu

Pre GE2025 Sukuma gang hatuta-support CCM 2025, tutakwenda na Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaanii hapoo Kizmkz anapagawa kabisaaa......anatamani wanawake tuuu wapige kura.....awajaze vicoba....khaaaa watanganyila mna nongwa
We bwege CCM hakuna atayeiweza zaidi ya yenyewe kujimaliza. 2025 hakuna namna labda huyu mama aharibu kwa kuendekeza uzanzibari, Siku CCM ikigawanyika ndio utatokea upinzani wa kweli siyo hao vibaraka kina Tundu, hao kamwe hawataiweza CCM
 
Hawa Sukuma Geng kama ni kweli wameamua basi tunakwenda kuipata Tanganyika yetu mpya.
 
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote alipo .

Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo .

Ni hayo tu .
Kumbe ni kweli kuna sukuma gang
 
Yaanii hapoo Kizmkz anapagawa kabisaaa......anatamani wanawake tuuu wapige kura.....awajaze vicoba....khaaaa watanganyila mna nongwa
Ameanza kuwapa wanawake ukurugenzi na kutaka vijana wagombee ubunge na udiwani!
 
Back
Top Bottom