Pre GE2025 Sukuma gang hatuta-support CCM 2025, tutakwenda na Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote alipo .

Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo .

Ni hayo tu .
Tusiingize nchi kwenye masuala ya ukabila na udini
 
wewe jazaneni hizo fikra mubweteke kutafuta kura halali,This time mzee kuna mikakati ndani na nje ya nchi kuona demokrasia ya kweli inatamalaki Tanzania..
Mwanangu kilichotokea 2020 sina hamu kabisa! Unakuta mbunge wa upinzani mpaka inafika saa 1 usiku kura ameshinda lakini ded anazungukuzunguka vila kutangaza mpaka inafika saa 6 usiku ndipo anatangaza na kumpa mgombea wa CCM!
 
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote alipo .

Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo .

Ni hayo tu .
Imeenda hiyo
 
Kichwa chako siyo kiziri. TL siyo Presidential material.
 
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote alipo .

Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo .

Ni hayo tu .
Jitambulishe jamii iwajue vinginevyo nyie ni vikunguru flani tu na hamwezi kuleta impact
 
Chura kiziwi hapo atapeleka majeshi yasimamie uchaguzi na mawakala wa upinzani watatolewa nje wote, bora mngenyamaza
 
Back
Top Bottom