Pre GE2025 Sukuma gang hatuta-support CCM 2025, tutakwenda na Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote alipo .

Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo .

Ni hayo tu .
🤣🤣🤣
 
Wewe ni mtu wa HOVYO. Unasema mnamsapoti Lissu na mna falsafa ya Magufuli!! Magufuli huyu huyu aliyetaka kumuua Lissu kwa kumshindilia risasi 16??
🤣 🤣 🤣
 
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote alipo .

Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo .

Ni hayo tu .
Mtifuano kati ya Tundu Lissu na Freeman Mbowe juu ya nani ashike hatamu za chama Cha Chadema ni pigo, kiongozi unapotanguliza masirahi binafsi hadharani kuliko kuonesha namna utakavyowajibika, wananchi wanapoteza sana Imani juu Yako, hata kama sukuma gang siyo itikadi ila Sina hakika kama sera zao zitaaminika tena Kwa baadhi ya wananchi kama Kweli wanataka kuwajibika au vinginevyo.
 
Mkuu Jiwe kitaani anakubalika sana tofauti na tunavyofikiri
 
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote alipo .

Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo .

Ni hayo tu .
Kwa hiyo unataka kutuambia na nyie mpo tayari kugawana fito?
 
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote alipo .

Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo .

Ni hayo tu .
Kwani Lissu ni muumini wa falsafa za Marehemu John Magufuli?
 
Ila sukuma gang mna chuki sana na Samia!
Kikubwa toeni support kwa Lissu ili kujenga Tanzania bora. Izo chuki zenu dhidi ya Samia hazitawapeleka popote
 
Hii mnasema kabisa toka moyoni au ni mihemko ya kuona Simba katinga robo fainali? 😂
 
Back
Top Bottom