Pre GE2025 Sukuma gang hatuta-support CCM 2025, tutakwenda na Tundu Lissu

Pre GE2025 Sukuma gang hatuta-support CCM 2025, tutakwenda na Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna kazi ngumu na yenye shida kama muwa mfuasi.
 
Mna utoto sana.

Mashuhuri Magufuli. Kilichombeba ni values alizokuwa anasimamia.

Values za kiongozi hazina uhusiano na ukabila au jina lake.

Yaani mnajijaza ujinga tu,

Magufuli apendwi kwa jina lake, ni values zake ndio ziliaminiwa na watanzania na Africa.

Yaani mafisadi ni mapoyoyo kweli, yasiyo na akili.

Apendwi Magufuli, kinachopendwa na watanzania ni misimamo yake na harakati zake kuonyesha anawajali.

Just stupid.

Lissu aja huyo (kidigo), we endelea kudhani Magufuli ni tatizo la nchi.
 
kwa hii tume ya raisi aipike mwenyewe alafu asishinde ? nchi haina demokrasia hii
Tukiwa na lisu lazima tupate katiba mpya Kwanza kabla ya uchaguzi mkuu na hapa kila kitu kutakuwa sawa.
Duniani kote,huwa hakuna permanent situation,things come and go,Hata CCM yenu hio ilikuja na itakwenda na muda wake umefika
 
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote alipo .

Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo .

Ni hayo tu .
Hata kibaraka Lisu atakuwa anawashangaa
 
Tukiwa na lisu lazima tupate katiba mpya Kwanza kabla ya uchaguzi mkuu na hapa kila kitu kutakuwa sawa.
Duniani kote,huwa hakuna permanent situation,things come and go,Hata CCM yenu hio ilikuja na itakwenda na muda wake umefika
Mtaipata kutoka wapi? Iko kwenye ilani ya CCM?
 
Yaanii hapoo Kizmkz anapagawa kabisaaa......anatamani wanawake tuuu wapige kura.....awajaze vicoba....khaaaa watanganyila mna nongwa
Mnajitekenya na kucheka wenyewe 😂😂

Subiria uapisho Oktoba bwashee
 
Kwani hao wasukuma.wasipopiga kura wengine hawatapiga? mbona wanajipa umuhimu wasiokuwa nao, ohhhh kanda ya ziwa kuna kura nyingi sijui nn porojo kibao, msipige basi kura tuone kama kiongozi hatachaguliwa.

Twende na lisu.
 
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote alipo .

Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo .

Ni hayo tu .
Tusahau yaliyopita twende na Lissu kwa maslahi ya Taifa
 
Huo ndio msimamo mpya , baada ya yote yaliyopita na kutokuwepo jf kwa zaidi ya mwaka nimeona niweke wazi msimamo watu tunaoamini katika falsafa za hayati Magufuli ni kwamba tutamsupport TL popote alipo .

Niweke wazi ,sukuma gang sio kabila ni itikadi ya kizalendo .

Ni hayo tu .
Kum support kushindwa?
 
Team kizmkz imepoa ghafla ndani ya masaa 72 yaani mpaka mwezi February unaingia watakuwa wanaumwa ugonjwa wa kupooza kabisa
 
Back
Top Bottom