Sunday World: Jeshi la Afrika Kusini liliua zaidi ya wapiganaji 600 wa M23

Waulize kwanini wamesitisha Vita hao m23 wakikupa jibu Rudi hapa
 
Wewe unasimuliwa kwenye kijiwe Cha kahawa chenu Mimi nipo uwanja wa mapambano naona kagame anavyowachakaza Hawa wachumba wa sandf,jw na WA burundi
Huwezi kuwa uwanja wa mapambano wewe pimbi. Uko tu sebuleni kwa shemeji yako aliyeoa dada yako. Unaishi kwa hisani na bando la shemeji halafu unakashifu watu wanakupa taarifa stahiki.
 
Huwezi kuwa uwanja wa mapambano wewe pimbi. Uko tu sebuleni kwa shemeji yako aliyeoa dada yako. Unaishi kwa hisani na bando la shemeji halafu unakashifu watu wanakupa taarifa stahiki.
Hasira za nini binti hizo ni propaganda mnazoleta ukweli nni kwamba mmechapika mpaka mmekimbia goma🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwa vile waasi huteka vitoto mitaani na kuvipa silaha,hiyo idadi inawezekana.

NB:M23 pekee inaweza kuwa na wapiganaji wenye weledi kwa hisani ya PK huko na hii vita ya sasa inahusu makundi mengi ya waasi yaliyoungana.
 
Hahahaha mshachanganyikiwa na vichapo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kumkoma nyani gladi
 
Kagame ain't seen nuthin yet!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…