Sunday World: Jeshi la Afrika Kusini liliua zaidi ya wapiganaji 600 wa M23

Ni kweli baada ya jeshi la DRC kuanza kusaliti Kamanda wa kikosi cha SADC aliamuru waache kushambulia ndiyo M23 wakapata nguvu.
Pale goma fardc walishiwa logistic zote zinazohusiana na vita haswa masasi wakaomba support makao makuu wakacheleweshew mzigo sasa watafanya nini?
 

Attachments

  • VID-20250204-WA0022.mp4
    7.3 MB
Kagame anaposema SADC ni part of belligerent na siyo protective yupo sawa.Baada ya wacongo kusaliti askari wote wa SADC walirudi kwenye eneo lao Goma na kuwaachia M23.zTatizo kubwa ni jeshi la DRC.
Kwanini jeshi la DRC wanafanya hivyo? ina maana huo ni usaliti, au hawamtaki rais aliyepo madarakani?
Ama SADC ndio wezi wenyewe wanaoutumika na mabeberu.
 
Hongera Sana JWTZ na Africa kusini hakika tunatakiwa kutengeneza alliance Tanzania na south Africa kwa Sasa

Ili kulinda maslahi ya waafrika wasio vibaraka wa wazungu juu ya ukoloni Mambo leo!!

Kagame anatakiwa kulipa garama ya Vita!!
Waliwaua lini?
 
Paw
Active
Pelekeni huu uzi jamii check
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…