Sunday World: Jeshi la Afrika Kusini liliua zaidi ya wapiganaji 600 wa M23

Hongera Sana JWTZ na Africa kusini hakika tunatakiwa kutengeneza alliance Tanzania na south Africa kwa Sasa

Ili kulinda maslahi ya waafrika wasio vibaraka wa wazungu juu ya ukoloni Mambo leo!!

Kagame anatakiwa kulipa garama ya Vita!!
100%
 

Inasemekana waliwaua Sake, mapigano ya sake yalikuwa kabla ya Goma.

Jeshi lililopoteza askari 600, linawezaje kusonga mbele na kuteka mji mkubwa wa Goma?
 
So 14+14 au sijaelewa Kiswahili?
 
Kama hali ilikuuwa hivyo,waliwezeje kuukamata Goma? Wakati Sake ni kabla ya Goma ukitokea Rwanda!
 
Wameachiwa Goma na wamewazunguka wanajeshi wa SADC kwenye kambi yao na kuwanyanganya simu zao kuwaacha na silaha zao kama heshima.Time will tell.

Kumbe ni kweli unit ya JW imeshikiliwa na wanatumika kama human shield na hao waasi!?
Hivyo wanasonga freely tu maana ni ngumu kushambuliwa..
 
Inawzekana kuna propaganda lakini pia inawezekana hii taarifa imewekwa iwe ni taarifa fiche kwa kuchanganywa-changanywa lakini kiukweli JW wameshafanya yao.
 
Inawzekana kuna propaganda lakini pia inawezekana hii taarifa imewekwa iwe ni taarifa fiche kwa kuchanganywa-changanywa lakini kiukweli JW wameshafanya yao.
Hamna kitu hapo jw ndio wamepokea kichapo mpaka wametangaza wenyewe kwamba wamechezea kichapo kama unabishana na taarifa ya jeshi lako sawa huenda wewe upo ground maana jamii forum wajuaji mpo wengi sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
sio rahisi kihivyo, sasa mbona majamaa bado yanazurura tu goma na hakuna wa kuwafanya kitu. wametawala goma hadi leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…