Sunday World: Jeshi la Afrika Kusini liliua zaidi ya wapiganaji 600 wa M23

Nipe link mkuu ili nijisomee mwenyewe tukate mzizi wa fitina.
 
Nenda page za jwtz utakuta matangazo ya vifo na majeruhi
Lakini mbona kama umeongeza chumvi mkuu? Wenyewe hawa hapa walichosema:
The Tanzania People's Defence Forces (JWTZ) have confirmed the loss of two soldiers and injuries to four others following ongoing clashes between the Congolese military and M23 rebels in the eastern Democratic Republic of Congo (DRC)
In a statement released by the Tanzanian military headquarters, the clashes took place between January 24 and 28, 2025, as part of peacekeeping efforts under the Southern African Development Community (SADC).

Sasa wewe unasema kichapo kumbe ni askari wawili (2)tu na majeruhi ni wanne(4) na hao ni miongoni mwa walinda amani na sio wapiganaji frontline.
Mbona hilo tukio ni jambo la kawaida sana kwenye vita ? Au ww ulidhani kulinda Amani kunakuwaje mkuu?
 
Propaganda hizi
 
Overated by who?? Hili neno Overated limekuwa abused numerous times kuhusiana na huyo paulo!
PK ni overrated, period!! Nani amuogope huyu fidididdo mwenye kichwa kama nyoka??

 
Kwahiyo hao hawajafa Kwa kichapo we una akili timamu kweli haya tuambie wamekufa na Nini kama sio kichapo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hongera Sana JWTZ na Africa kusini hakika tunatakiwa kutengeneza alliance Tanzania na south Africa kwa Sasa

Ili kulinda maslahi ya waafrika wasio vibaraka wa wazungu juu ya ukoloni Mambo leo!!

Kagame anatakiwa kulipa garama ya Vita!!
M23 inatakiwa ifutiliwe mbali
 
Wewe unasimuliwa kwenye kijiwe Cha kahawa chenu Mimi nipo uwanja wa mapambano naona kagame anavyowachakaza Hawa wachumba wa sandf,jw na WA burundi
Kwa hiyo upo uwanja wa vita;
Unaangalia Kagame anavyowachakaza.
Haupo jw, SA wala malawi?
Hauguswi na risasi?

Embu eleza vizuri
 

..kama mji au eneo unalolitetea limetekwa mambo ya body count hayana maana.

..katika vita upande unaoshinda ni ule unaoweza kuingiza askari wengi kuzidi wale inaopoteza.
 
Wamesitisha sababu raia wao wa sehemu walizozishikilia waishi vizuri au ulitaka Kila siku raia wasikie milio ya risasi
si walisema vita mpk Kinshasa ? au walisahau kuwa kuna raia wanaitah kuish vzr , na ww hutumii hata akil kuona hayo maamuz yamekuja ghafla lazima kuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…