KERO Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero, wanatukwamisha wengi, Uongozi wa Chuo uchukue hatua

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Wasemee pia na wanafunzi wa UDOM! Nao hali ni hiyo hiyo kwenye baadhi ya kozi. Ifikie wakati watu wakasome tu vyuo vya kujitegemea. Maana huko hakuna miungu watu wanaolindwa na mifumo dhaifu.

Hili jambo kimsingi linakera sana.
 
Hiyo ndiyo sifa ya Walimu wengi pale UDSM.

Mwalimu anaona sifa kukaa na Wanafunzi Kwa miaka 3/4/6

Kuna Dr mmoja pale alikuwa anatueleza darasani, kwamba yupo Mwanafunzi mwenzenu tangu Mwaka 2018 nimemshikilia hajamaliza hiyo masters

Wanadhani hiyo ni sifa 🙌

Kuna haja gani kusoma Masters ya miezi 18 Kwa miaka 6

Kama sio ubinafsi tu
 
Yani msomi mzima unashindwa kujua Hilo ni kosa na njia zipi uchukue za kisheria.


Si mumburuze mahakamani huyo Supervisor mnachooga ni nini ?


Kama hiyo hamuwezi tafuteni mwanasheria amuandikie Demand note ya kusudi la kwenda mahakamani wekeni evidence zote humo. Nakala apewe mkuu wake wa chuo.


Ifike muda wasomi sio Kila siku mnalia Lia. Elimu ni haki yako na unailipia juu kwanini mtu akukwamishe makusudi.


Ukishindwa kabisa basi mtengenezeeni mazingira ya rushwa yoyote hata ngono Ili na yeye aharibikiwe.


Nunueni camera za kuweka kwenye nguo na yeye mumuharibie. Ifike muda hakuna kucheka na mtu anaeharibu maisha yako.
 
Nilipita pale undergraduate niliapa siwezi kurudi pale.
Labda uwe genius utaenjoy maisha ya UDSM
 
Hii hali hadi UDOM ipo, 2023 kati ya master learners 78 waliohitimu ni only 2. 2024 kukawa na kikao kati yao na VC, wakamwambia hivi "Sisi tuna majukumu mazito ya kifamilia kama mnaona ni fashion kutushikilia hapa huku tukiingia gharama tupeni ada zetu tuondoke"

Basi VC akajifanya hakujua kinachoendelea kawa mpole na kuwahakikishia mambo kukaa sawa. Sijui mwaka huu mambo yatakuwaje maana pale watu hukaa hata miaka 10 kisa Masters.

Mi itoshe kwa level nilofikia Tz, kama ni progress nitaenda away hata Kenya but home hapana. kwanza topic nyingi ni repeatedly throughput the time of learning nilihisi kuchoka tu with same things.
 
Bora kipindi cha Prof. Mukandala alikuwa na meno ya kuwatiisha anaowaongoza wakamtii. Sasa kuna haka kamjamaa kazi kuchekacheka na kutaka kupendwa na kila mtu ndo maana waadhili wanawasagia sumu wanafunzi wao
Hakuna kitu kama hicho, Kuna mwamba Dr Christopher Williams alikuwa anamzindia vzr.


Kiuhalisia wanafunzi ndo wazinguaji. Unaweza Kuta alichiprizentu ni kama ese ya fv
 
Watu wanakwenda China na uingereza wanagraduate kwa wakati ,ila hapo jalalani eti elimu ni ngumu,shida kubwa
 
Ukija kugraduate utaona walikuwa sahihi, kuandika andiko inataka moyo ni kazi kwelikweli, vyuo vya kibiashara wako kibiashara, content ya andiko sio ishu kwao. Ulifuata elimu bora itumikie mzee, wote tulipotia hali hiyo ila ukihitimu na andiko lako kupita utaona utamu wa ushindi
 
Ila Kuna muda migodini unaweza kusema kusoma Sana hakuna maana Bora ungeishia hata form six tu ukazama machimboni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…