KERO Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero, wanatukwamisha wengi, Uongozi wa Chuo uchukue hatua

KERO Supervisors wa Wanafunzi wa Masters - UDSM ni kero, wanatukwamisha wengi, Uongozi wa Chuo uchukue hatua

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
UDSM kimekua chuo cha ajabu sana, kuna kipindi kiliitwa majalalani na hili halikupingwa, kuna kipindi wasomi wa hapo walitumika kwenye kamati mbalimbali za kiserikali mfano walikaja na matokeo kuwa kuchafuka kwa mto Mara imetoka na vinyesi vya wanyama (Ng'ombe). Udsm bado ina wafanyakazi ambao ni useless kama ma bursar kuna mimama haitumii akili ku reason kitu kidogo too many complications yanatakiwa yawe yameshafukuzwa kazi muda mrefu. UDSM imekua ya ki local na inasemekana ni full ndumba nangai pale mfano kugombania nafasi za uongozi, kwenda kula per diem au kwenda nje ya nchi this is shame to large extent. UDSM imekosa kuwa na hadhi kama ya zamani ya kuwa mihadhara yenye tija kwa nchi hakuna tena imegeuka kuwa chawa na soon it gonna change to bed burgs. UDSM postgraduate supervisors wengine wamekua Miungu watu ila kuna wengine ni wazuri sana. UDSM it must change, and changes must start Now.
Take home... 1. Fire all useless people. 2. They must adhere to good succession plan as they use to preach in class. 3. Maintain water availability all the time. 4. Treat postgraduates with manners and make sure they graduate on time.
"UDSM it must change"

Ukiandika hivi kwenye dissertation Yako lazima ulimwe
 
Hao si wanalipana per diem na extra duty?

Amini nakuambia hayo inawezekana ni maelekezo ya chuo kwa hao supervisors kwamba angalau kila mwanafunzi ailipe hiyo 2.5M ili kukuza mapato.

Na ile tabia ya waTanzania kutaka kuonekana wao ni muhimu bila kujali anavuruga maisha ya mwenzake.

Kumbe wanavyodai udsm ni ngumu kufaulu kirahisi ni kwavile supervisors wanakukimbia siyo kwamba mwanafunzi hajui anachofanya
Hakuna Extra duty chuoni na hiyo perdiem unaenda wapi ili upewe?
 
Shida mkiambiwa phd na masters somen nje ya tanzania mnaona sisi washamba aise ukisoma nje kwanza wana kufanya ujisikie uko huru kwanza wanajali pili hawajiskiii tatu hawawez kukubania makis et swali la marks 10 umepata lote akupe 5/10 kama ma lecture wengi tanzania atakupa 8/10 maan hana cha kukunyima maks kama umepata swali

Wanafunzi wengi tz sio kwamba hawana akili akipat gpa ndogo ila vyuo vya serikal ma lecture ni miungu watu amagine unachelewa kukusanya pepa ya mtihani dakik moja anachana mtihani anakupa zero sas hiyo gpa unapataje nzuri ...

Anafundisha topic kadhaa maswali yanatoka nje ya syllabus kabisa sasa ina maana gani kufundisha sylabus yako then utaolew maswali nje ya ulosoma ni kukomoana kabisa.

Unamfata supervisor wako maybe kupelek research yako anakwambia sogea nyuma unanuka jasho aisee inauma sana ....vijana wengi vyuo vikuu vya serikal hufeli vibaya kuliko vyuo vya private...

hii yote ma lecture wa serikali hujiita una bishana na necta yaani yeye ndo necta kwa maan mitihani yako anayo yeye ukibisha unalimwa kichwa hawajui tunatoka familia duni za wanyonge familia wew ndo msomi unategemewa ukomboe wadogo zako lakin kumbe kuna watu wapo kukufany usijikomboe
 
Back
Top Bottom