Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Mzumbe ni pa rahisi sio....?Si ndo kama Mlimani Babu panakimbiwa na baadhi ya watu kama sisi labda DUCe kdogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzumbe ni pa rahisi sio....?Si ndo kama Mlimani Babu panakimbiwa na baadhi ya watu kama sisi labda DUCe kdogo
"UDSM it must change"UDSM kimekua chuo cha ajabu sana, kuna kipindi kiliitwa majalalani na hili halikupingwa, kuna kipindi wasomi wa hapo walitumika kwenye kamati mbalimbali za kiserikali mfano walikaja na matokeo kuwa kuchafuka kwa mto Mara imetoka na vinyesi vya wanyama (Ng'ombe). Udsm bado ina wafanyakazi ambao ni useless kama ma bursar kuna mimama haitumii akili ku reason kitu kidogo too many complications yanatakiwa yawe yameshafukuzwa kazi muda mrefu. UDSM imekua ya ki local na inasemekana ni full ndumba nangai pale mfano kugombania nafasi za uongozi, kwenda kula per diem au kwenda nje ya nchi this is shame to large extent. UDSM imekosa kuwa na hadhi kama ya zamani ya kuwa mihadhara yenye tija kwa nchi hakuna tena imegeuka kuwa chawa na soon it gonna change to bed burgs. UDSM postgraduate supervisors wengine wamekua Miungu watu ila kuna wengine ni wazuri sana. UDSM it must change, and changes must start Now.
Take home... 1. Fire all useless people. 2. They must adhere to good succession plan as they use to preach in class. 3. Maintain water availability all the time. 4. Treat postgraduates with manners and make sure they graduate on time.
Hahaha ni kweli kabisa."UDSM it must change"
Ukiandika hivi kwenye dissertation Yako lazima ulimwe
Inategemeana na juhudi zakoMzumbe ni pa rahisi sio....?
Hakuna Extra duty chuoni na hiyo perdiem unaenda wapi ili upewe?Hao si wanalipana per diem na extra duty?
Amini nakuambia hayo inawezekana ni maelekezo ya chuo kwa hao supervisors kwamba angalau kila mwanafunzi ailipe hiyo 2.5M ili kukuza mapato.
Na ile tabia ya waTanzania kutaka kuonekana wao ni muhimu bila kujali anavuruga maisha ya mwenzake.
Kumbe wanavyodai udsm ni ngumu kufaulu kirahisi ni kwavile supervisors wanakukimbia siyo kwamba mwanafunzi hajui anachofanya