Naam.Unaweza kuthibitisha hayo yanayosemwa ni hadithi za watu?
Nakwambia Mungu hayupo halafu unaniuliza kama yupo au hayupo?
Unajua kusoma wewe?
Tunalamba asali ili tuanze kuonaNa sisi ngozi nyeusi tuko kundi gani?
Oooh sorry. Nilianza kutozipa uzito comment zako na kuzisoma hadi mwisho baada ya kuona unajizungusha kujibu swali rahisi na jepesi namna hii then nimerudia kuzisoma baadhi ya comments zako nimegundua ulinijibu swali langu koment mbili nyuma ya hii.
Sasa Sikia Dogo, ukishasema kitu fulan HAKIPO mjadala unakuwa UMEFUNGWA.
UWEZI KUJADILI KITU AMBACHO USHASEMA HAKIPO.
Sijui mambo ya geometry hivyo siwezi nikakubali au kukataa kitu nisichokuwa na ujuzi nacho, itapendeza hoja zako za kuthibitisha kuwa hizo ni hadithi ukaziweka katika uhalisia wa kawaida usiohitaji usomi.Naam.
Naomba twende kisomi na kimantiki bila jazba.
Nitaanza na vitu rahisi kuvielewa ili twende pamoja.
Nikikwambia kwamba, kuna pembetatu ambayo hapo hapo ni duara katika Euclidean geometry, utakubali?
Hapo ndiyo niliona nimerahisisha kabisa.Sijui mambo ya geometry hivyo siwezi nikakubali au kukataa kitu nisichokuwa na ujuzi nacho, itapendeza hoja zako za kuthibitisha kuwa hizo ni hadithi ukaziweka katika uhalisia wa kawaida usiohitaji usomi.
Kama tutaongea lugha moja basi tutaelewana.Hapo ndiyo niliona nimerahisisha kabisa.
Nilitafuta mfano rahisi. Sasa kama huelewi tofauti ya pembetatu na duara napata shaka kwamba tutaelewana.
Ngoja nikupe mfano mwingine
Kwa sasa hivi uko wapi mkuu?
Ndani sehemu gani ya kijiografia, mji gani?Kama tutaongea lugha moja basi tutaelewana.
Kwa sasa hivi Nipo ndani
Wewe sema tu ni mvivu wa kusoma.
Kwanza usiniite dogo hiyo ni dharau, hujui umri wangu.
That is very condescending. Halafu inakuonesha wewe ni mtu wa kufanya assumptions tu.
Kuhusu hoja yako kwamba kitu ambacho hakipo sitakiwi kukijadili, hapo unaonesha utapiamlo katika uwezo wako wa kufikiri kimantiki.
Nitakuonesha kwa nini, kwa mfano rahisi tu.
Kama kuna mganga muongo anasema ana dawa inayotibu ugonjwa mpya, na madaktari wanajua hakuna hiyo dawa, huyo mganga ni muongo, madaktari hao wana wajibu wa kukanusha na kusema hiyo dawa ni ya uongo haipo.
Wataijadili hiyo dawa ambayo haipo ili kuonesha watu kwamba haipo.
Wewe ni kama mganga muongo unayesema kuna dawa (Mungu) wakati hakuna kitu hicho.
Daktari anayejua hiyo dawa haipo (mimi) ana wajibu wa kuweka rekodi sawa na kuonesha uongo wako.
Kwa sababu, kuna watu wanaweza kuzembea kujikinga wakifikiri kuna dawa, kumbe habari za dawa kuwepo ni uongo.
Natumaini umeacha uvivu wa kusoma na umesoma mpaka mwisho.
Vinginevyo hatutawezi kujadiliana.
Mungu hayupo.
Kama unabisha, thibitisha yupo.
Kwanza kabisa futa hilo neno "Dogo".Sikia Dogo, Ngoja ni jaribu kueleza katika Lugha rahisi na rafiki kueleweka.
Nikisema kuna Ajari ya moto Buguruni Nyumba imeungua na wewe ukakanusha kuwa hakuna ajari, then unaanza tena kuniuliza ikiwa nyumba iliyoungua ilikuwa na fire extinguisher ndani ama zima moto walichukua muda gani kufika hapo unakuwa unajikanganya mwenyewe.
USHASEMA ajari haipo sasa habari za fire extinguisher na zinakujaje na zinatoka wapi?
Anaepaswa kuuliza ama kuhoji habari za uwepo wa fire extinguisher na fires ni yulee anaesadiki uwepo wa ajari si wewe unae kanusha.
Anaepaswa kuhoji mabaya na mazuri ya Mungu ni yule anae amini uwepo wa Mungu si wewe ambae umeshasema hayupo.
Mara, Serengeti.Ndani sehemu gani ya kijiografia, mji gani?
Sawa.Mara, Serengeti.
Uswisi pia wako civilized sana. Nilikuwa natembea kwenye barabara mjini ambayo ina njia ya tram sasa sikugundua kwamba niko karibu mno na reli.MUNGU ANAPOSEMA ALIUMMBA MTU KWA MFANO WAKE ALIMAANISHA WAJAPANI THEN KWA MBARII WANAKUJA CAUCASIANS( NENO LANGU SI SHERIA).
MJAPAN ANAWEZA KUKUOMBA MSAHAMA KWA USUMBUFU KWA KUSIKIA MUITO WA SIMU YAKE.
NI WATU CIVILIZED SANA KULIKO RACE NYINGINE YOYOTE HALI HIYO INAFANYA PASPOT YAO KUWA YENYE NGUVU KULIKO PASPOT YA NCHI YOYOTE ILE DUNIANI.
View attachment 2183069
Sasa kanagawa si kiswahili kabisa unaweza ukasema "katoto kanagawa pipi kwa wenzie"Ni kweli aisee, Kuna binti mmoja jina lake Kanagawa, baba yake anaitwa Kumamoto, kama ya kibongo tu..
Siwezi kukubali.Sawa.
Sasa mtu akikuambia kuwa sasa hivi upo Serengeti, Mara, Tanzania, Africa, halafu sasa hivi hiyo hiyo pia uko Geneva Switzerland, Eueope mtu mmoja wewe yuleyule, unaiba benki, anakushtaki kwa wizi huo, utakubali kwamba sasa hivi upo Serengeti Mara na pia Geneva Switzerland unaiba?
Sasa kanagawa si kiswahili kabisa unaweza ukasema "katoto kanagawa pipi kwa wenzie"Ni kweli aisee, Kuna binti mmoja jina lake Kanagawa, baba yake anaitwa Kumamoto, kama ya kibongo tu..
Kwa nini usikubali?Siwezi kukubali.
Kwanza kabisa futa hilo neno "Dogo".
Ama thibitisha mimi ni "Dogo" kwako.
Other than that, you are a jackass.
Ngoja kilanga aje umdhibitishie hiyo sura na Mungu umevipataje.MUNGU ANAPOSEMA ALIUMMBA MTU KWA MFANO WAKE ALIMAANISHA WAJAPANI THEN KWA MBARII WANAKUJA CAUCASIANS( NENO LANGU SI SHERIA).
MJAPAN ANAWEZA KUKUOMBA MSAHAMA KWA USUMBUFU KWA KUSIKIA MUITO WA SIMU YAKE.
NI WATU CIVILIZED SANA KULIKO RACE NYINGINE YOYOTE HALI HIYO INAFANYA PASPOT YAO KUWA YENYE NGUVU KULIKO PASPOT YA NCHI YOYOTE ILE DUNIANI.
View attachment 2183069