Sura ya Mungu kupitia Wajapani

Wewe guluguja hujui kusoma kwa ufahamu.

Nikikwambia nimesoma Philosophy of Religion, unasoma nimesoma field moja.

Ndiyo maana hatuelewani.

Hujui hata kusoma kwa ufahamu.

Tutaelewana vipi?
 
Ulinikosoa fallacy ya ad hominem kwa ufahamu wako mbovu, nilivyokurekebisha ukaona ubadili mada hewani, ulichofanya ndo 'red herring' kwenye ulimwengu wa logic
 
WALLAH hamna ambacho sikifahamu hapo, una kingine? kwa hiyo kwa kuvifahamu kwako hivyo kwa kukariri ndo unadhania na wengine hatuvijui e? [emoji23]
1.Hujathibitisha Mungu yupo.

2. Hujatatua contradiction ya problem of evil.

3. Hujafuzu kusoma kwa ufahamu.
 
Ana pretend huyo. Jamaa ni Mshirikina huyo anataka atupoteze kubwa hakuna Mungu ili atutupie mapepo.
Washirikina wanaamini Mungu yupo/ supernatural forces.

Mimi siamini supernatural forces zozote ukiwamo uchawi, majini, mapepo, vibwengo, popobawa, shetani.

Hivyo, wewe unayeamini Mungu uko karibu na mshirikina kuliko mimi nisiyeamini katika supernatural powers zozote..
 
Childish argument from psychiatric person
Hata kama uko sahihi. For arguments sake.

Uwepo wa psychiatric person nao ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, ulimwengu usingekuwa na psychiatric person hata mmoja.

You are making my point even when you are unfairly attacking me.

Read point 9 on my post 137. It talks about you. Kama utaweza kuielewa.
 

Hiyo ndo String theory? hivi huyu ni mtu au kiazi?

Kwa heshima ya ALBERT EINSTEIN naomba nikuache na utukutu wako, yaani concept ya logic ndo String Theory?

Wataokuja kusoma hayo tu machache tuliyobishana wakayaelewa watajua nani ni nani kati ya mimi na wewe

Yatosha aisee, najivua rasmi

[emoji817]
 
Unanipotezea muda wangu with your abracadabra. Byeeee
 
Hiyo ndo String theory? hivi huyu ni mtu au kiazi?

Kwa heshima ya ALBERT EINSTEIN naomba nikuache na utukutu wako
Jamaa ni empty kabisa upstairs pia ni psychriatic. Inawezekana pia ni either Devil Worshiper, ana mapepo au "pepo mtu" na anafanya/tekeleza mission yake. To me sijui kwanini, nikisomaga argument zake huwa kichwa kinauma. Nitamuomba Mungu anifunulie Kiranga ni nani? Nitaleta Jina lake kamili humu muda si mrefu.
 
Hiyo ndo String theory? hivi huyu ni mtu au kiazi?

Kwa heshima ya ALBERT EINSTEIN naomba nikuache na utukutu wako
Wewe huna uwezo wa kuelewa analogy ni nini, huwezi abstract thinking, huwezi logical thinking ndipo uwezo wako ulipoishia.

Nimekutaja point namba 5 post namba 137.

Halafu Albert Einstein alimaliza kazi zake kabla String Theory haijaenea, so you are showing your nakedness here.
 
Thibitisha Mungu yupo.

Acha longolongo.

Mtu asiyeamini uwepo wa supernatural force yoyote hawezi kuwa devil worshipper.

Pia, mnasema devil katoka kwa Mungu, sasa mimi kama siamini Mungu yupo devil nitamuamini vipi?

Wewe upo karibu sana kuwa devil worshipper kuliko mimi.

Wewr unaamini yupo, mimi siamini.

You can't think logically!
 
[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…