Suzan Kaganda unaenda kuwa IGP, usije kutugeuka Wananchi. Umsaidie Rais Samia kuleta mabadiliko chanya

Watz sometime tunakua watu wa ajabu sana, kwa hiyo uzuri wa huyo mama ni hapo alipoongea? Ilipaswa ueleze history yake ya utendaji kote alikopita ili uone Kama nae hakuwahi kufanya uonevu. Naishia hapa Ila Kuna watu ni wajinga
 
Lakini Siro amekuwa IGP alie feli kuliko ma IGP wote
 
Ndugu, hata SACP anaweza kupandishwa tu akawa IGP. Kwa KATIBA yetu, ni mapenzi tu ya mteuaji. Wenzetu Kenya wako vizuri kwenye kumpata IGP, wanafanyiwa interview wale wenye sifa za kushika hiyo nafasi. Hapa kwetu ni mapenzi ya Rais.
na kupandishwa vyeo viwili kwa muda huohuo inawezekana?
 
Point.
 
Ikatokea akawa mja mzito ina maana polisiccm inaenda martenity leave? Au ? Daah kataifa kamekuwa ka kike haka
 
Usimpime mtu kwa maneno yake! Kusema ni jambo moja lakini kutenda ni jambo jingine kabisa.Kwa siasa za nchi yetu ambapo CCM ndiyo chama dola anaweza kuteuliwa katika nafasi hiyo ya IGP akaboronga kabisa kwa namna usivyotegemea.
 
Kwa upande wa jinsia anavigezo, lakini je, anaasili ya kule kisiwani?
Wewe acha mawazo mufilisi . Mmekosa nanna ya kumchafua SSH mnaingiza mambo ya kijinga kabisa! Afu usikute unajiita msomi ! Aibu.
Hawa wanatoka visiwani?
Mummy.
Jenister
Mulamula
Ulinzi
Tulia
Hawa wanaotokea au wana namba na visiwani?
Acha mawazo mufilisi . Itoshe tu kusema visiwani ni sehemu ya Tanzania hata akiteua wote toka huko sawa kama wana vigezo
 

That isn’t apple to apple comparison! Tuambie kama una uwezo wa kufanya hivyo under similar circumstances.
 
Tuna tatizo kubwa la elimu ya urais, hili wazo ni zuri lakini kwa mapungufu tuliyonayo linaweza kuzaa vyanzo vya rushwa.
 
IGP ateuliwe kutoka JWTZ hapo wataleta utamaduni mpya wa kutenda kazi awe mwanamke au mwanaume. Vinginevyo kwa IGP wa humohumo hatakuwa na jipya kimageuzi

Under similar circumstances, hata malaika wa Mungu akishuka kuja kuwa IGP, usitegemee kuona fundamental changes!
 

Kama ccm itaendelea kukaa madarakani kwa shuruti, hakuna uwezekano wa jeshi la polisi kubadilika.
 
Subiri ateuliwe kwanza vinginevyo ni ramli chonganishi
 
Kwa kubalance jinsia ameshafanya vizuri sana. Wa uhamiaji, jumba kuu, wa UN, wa Ulinzi , wa bbche .Asitusahau sana sisi wa kupiga chepe. Hongera Kilongozi Mkuu
 
Jeshi la Polisi lina majukumu mengi na mazito na kwa hakika kwa mwanamke kuongoza bado sana.
Kwa wapenda usawa kwa kudhani kila kitu kinawezekana jiulizeni kwa nini hujawahi kumuona WP analinda Benki au maeneo nyeti.
Mapungufu katika maumbile na majukumu ni kitu cha kuzingatia .
 
Hahahaa ndoto za mchana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…