Suzan Kaganda unaenda kuwa IGP, usije kutugeuka Wananchi. Umsaidie Rais Samia kuleta mabadiliko chanya

Suzan Kaganda unaenda kuwa IGP, usije kutugeuka Wananchi. Umsaidie Rais Samia kuleta mabadiliko chanya

Kwa kuandika vitu kama hivi you are ruining your credibility on JF! Unaandika your wishes as if are already put in reality! To that end unamharibia hata kama huyo Samia "uliyeongea" naye ana wazo la kumteua.
Think beyond the box dude! The guy is so smart. Mie nimemuelewa
 
Vile ni nguo za ke hata cv isiposoma haina shida
 
IGP, simon sirro bado ni mtu sahihi kwa jeshi letu la police,we shouldnt changes everything at once within ten month its a curse.
 
Hayo mawazo ya kuteua Jwtz Kuwa Polisi sijui yanatokana na nini?
Hivi umewahi Kufuatilia wanajeshi walioteuliwa kushika nyazifa nje ya jeshi Lao walivyo perform? Fuatilia Magereza utaona kitu.

Huwezi ukasomea Vita alafu ukaperform vizuri kwenye tasnia ya kuenforce Sheria ni Sawa na dereva wa Tingatinga ukampa arushe ndege Boing.

Katika tasnia ya ulinzi na usalama Kuna mambo ambayo hayaonekani ambayo kama yangeachwa hali ingekuwa tete lakini kwakuwa yamezuiwa Kwa juhudi kubwa zisizofahamika basi watu huchukulia poa kama ambavyo hatujui chandalua Kwa mwaka mmoja kimezuia mbu wangapi wasilete magonjwa.

Huyu Mtu hata kama hatuwezi kuthamini KAZI zake basi ni vyema akapewa heshima yake HOJA ya kukabidhi kijiti haiwezi kuepukwa ata kama siyo Leo lazima IPO siku na hatuwezi kutabiri ajaye atakuwa na ufanisi gani wakati ukifika utaongea.
 
Nukuu ile kauli ya wale wazeee "hii nchi niya kike"mwisho
Bado natafakafi sana hii kauli sijui hawa wazee walimaanisha nini.
 
Mhh.

Ila kama kweli kuna ulazima wa kubadili IGP basi asitoke ndani ya mfumo huo maana hatakuwa na jipya.

Atoke JWTZ.
 
Mhh.

Ila kama kweli kuna ulazima wa kubadili IGP basi asitoke ndani ya mfumo huo maana hatakuwa na jipya.

Atoke JWTZ.
Sikubaliani na maoni yako kuwa atokee jwtz. Huko itapelekea kulichafua Jeshi la watu linaloonekana lina weledi. Ninachoamini Mimi nafasi ya IGP hata angepewa Padri au Sheikh bado angeonekana hafai mbele ya jamii. TATIZO SIO NAFASI YA IGP. hata huyu SIRO ni Mzuri sana.
 
Wanaume tubaki kwenye Pombe tu na kunung'unika😂😂🤣🤣🤣
 
Salaam Wakuu,

Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Suzan Kaganda tunaomba usituangushe, Usituabishe.

Tumefanya kazi kubwa kuelezea sifa zako na umahili wako hasa wa kutenda haki.

Sasa usimuangishe Rais Samia. Simamia kile unachokiamini.

Mimi najua baadhi ya Malengo yako.

1). Kubadilisha Police Force kuwa Police Services.

2). Kubadili Mitaala ya Chuo cha Polisi kutoka ile ya kikoloni na kuwa ya Kitanzania kuendana na Sayansi na Teknolojia.

3). Mtu kudhaminiwa muda wowote bila kujali siku. Muhimu mdhaminiwa akamilishe Vigezo.

4). Kuamusha hali ya Polisi kutenda haki na kukomesha Rushwa na kubambikizia kesi.

5). Kuhakikisha kila Askari ananifaika na SACCOS ya Polisi.

6). Kuhakikisha Polisi hawafukuzwi bila kusikilizwa. Kuna sehemu nilisikia unasema kiwepo chombo(Mahakama ya Kipolisi ya Kusikiliza tuhuma zinazohusisha pilisi zenye kutenda haki.

Ombi langu, Naomba Mungu akusimamie nawe usimamie Katiba.

Mwanamke wa Kwanza IGP. Viva Tanzania, Viva Samia Suluhu Hassan.

Kwa kuwa Polisi wa Chini wanaakukubali, Hata Mungu atakusimamia.

Mia.
View attachment 2108338
View attachment 2108355
Super intelligent lady. Kweli anatufaa akiwa IGP. But hatujui vigezo vya uteuzi huko juu wanaohusika ila ana sfa zote. Mungu skubariki Suzy umejipambanua kama polisi special.
 
Kwani hii nchi haina kamishina
Wa polisi, au hata naibu kamishina wa polisi warukwe wote mpaka kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi awe IGP,

Nachojua IGP Hapa TZ kwa renki lazima awe kamishina wa polisi ila sio kamishina msaidizi mwandamizi wa polisi.
"Akihitajika" hakuna kinachoshindikana.Anaweza kupandishwa vyeo kukidhi muktadha uliopo.
 
Malengo yaliyowekwa hapa hayajatimia. Polisi inahitaji broad reforms na devolution pia.

Ningependa mabadiliko yangeanza kwa kuanzisha local police, watakaokuwa wanalipwa na mkurugenzi wa wilaya, au halmashauri. Hawa wawe na usimamizi wa eneo husika. Na wanaweza kutawanywa mpaka kwenye mitaa, vijiji, nk. Watasaidia kuzuia matatizo madogo madogo kabla hayajakua na kuvuruga amani.

Hawa local police watakapokuwa na nguvu, jeshi la polisi la kule juu litapunguzwa ukubwa na kuishia kuangalia mambo makubwa na ya kimkakati zaidi. Namna walivyo sasa inapunguza sana ufanisi, na kuacha pengo huku chini ambako ndiko matatizo huanzia.
Hii ni trick ya kugawanya nchi kimajimbo!
 
Salaam Wakuu,

Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Suzan Kaganda tunaomba usituangushe, Usituabishe.

Tumefanya kazi kubwa kuelezea sifa zako na umahili wako hasa wa kutenda haki.

Sasa usimuangishe Rais Samia. Simamia kile unachokiamini.

Mimi najua baadhi ya Malengo yako.

1). Kubadilisha Police Force kuwa Police Services.

2). Kubadili Mitaala ya Chuo cha Polisi kutoka ile ya kikoloni na kuwa ya Kitanzania kuendana na Sayansi na Teknolojia.

3). Mtu kudhaminiwa muda wowote bila kujali siku. Muhimu mdhaminiwa akamilishe Vigezo.

4). Kuamusha hali ya Polisi kutenda haki na kukomesha Rushwa na kubambikizia kesi.

5). Kuhakikisha kila Askari ananifaika na SACCOS ya Polisi.

6). Kuhakikisha Polisi hawafukuzwi bila kusikilizwa. Kuna sehemu nilisikia unasema kiwepo chombo(Mahakama ya Kipolisi ya Kusikiliza tuhuma zinazohusisha pilisi zenye kutenda haki.

Ombi langu, Naomba Mungu akusimamie nawe usimamie Katiba.

Mwanamke wa Kwanza IGP. Viva Tanzania, Viva Samia Suluhu Hassan.

Kwa kuwa Polisi wa Chini wanaakukubali, Hata Mungu atakusimamia.

Mia.
View attachment 2108338
View attachment 2108355
Labda jeshi livunjwe liundwe upya ndio kutakuwa na mabadiliko, ila la sasa hata aje aongoze malaika lilishaoza.
 
Hii Kampeni ikiendeshwa na Vijana wa Lumumba na Jumuiya zake kama Mlivyofanya kwa Ndugai.. Hili litakamilika
 
Sikuwahi kumuona huyu mama lakin kwa hizi clip mbili zimenifanya nitambue kuwa huyu mama ni kiongozi, maongezi yake na uso wake umebeba msisitizo wa kile anachokiongea, na hii ndio sifa kubwa ya kiongozi.
Wakishapata madaraka hubadilika mkuu
 
IGP mwanamke unaota wewe

Wanawake polisi hawapewi hata kazi za lindo kulinda popote iwe benki nk na hawapewi kazi za usiku ndio awe IGP ?

Kwanza yeye kikongwe huyo

Kibibi kizee hicho
Ni Sabu zipi zinafanya WA awake wasipewe Malindo... Hta jeshin hawahusik
 
IGP nilomwelewaga ni Said Mwema alikuwaga kiprofessional zaidi sio kisiasa ama kihuni..hawa wengine hamna kitu kwakweli!!
Ziro ajiuzulu analidhalilisha 'jepo' kwakweli!! Kama huyo mazaa anafaa apewe bila kujali jinsia watu tunataka haki
Kipindi Cha mwema kulikua na mauaji pia sana
 
Back
Top Bottom