Swala la kuoa mke mmoja sio mpango wa Mungu

Kuwa na bidii ya utafutaji tu afu Fanya unachoona sahihi usisubiri watu wote wabadilike! mwenzako Nina wake 3 siku kanuna huyu me mbele naenda kwingine nakamua fresh tu
 
Single mama wamejaa tele siku hizi hawana waume rasmi, wanapokea na ku share waume za watu. Nikinyimwa unyumba na mke wangu mmoja naenda kwa single mama kujipoza huko bila shida, ugomvi sitaki eti kisa nimenyimwa unyumba na mke wangu
 
Hujaamua mbona wengi mno mkuu....au nawe unachaguachagua.... tatizo ulisema hutumii dawa ungewapatia kwenye foleni..wengi hukutaniana huko.
Basi nitaenda kwenye foleni lakini dawa simezi
 
Uzinzi sio kuwa na wanawake wengi kama umefundishwa hivyo basi umedanganywa , uzinzi kufanya tendo la ndoa mke au mume asiyekuwa halali yako , yaani hamna ndoa .

Machifu walikuwa na wanawake hata 30 sio uzinifu bora tu wameoa.
 
Tuanze na ndoa yenyewe kwanza,..unauhakika kuwa ndoa ni mpango wa Mungu?
 
Mleta mada uko SAHIHI kabisa ukitaka kujua maumivu ya moyo is mke mmoja,
 
Ndiyo sababu ya uzi huu.... Ms R kumbe ndani kwa moto
uuuuwwwiiiiiiiiiiiii kumbe inabid niendelee kukaa single and maza😌,,ila uskute humu jf anaeteseka na mapenz ni mmoja tu lakini ana id 50 pekeake.
 
uuuuwwwiiiiiiiiiiiii kumbe inabid niendelee kukaa single and maza😌,,ila uskute humu jf anaeteseka na mapenz ni mmoja tu lakini ana id 50 pekeake.
Jichanganye
 
Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…