Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Bila shaka wewe ni mmojawapo wa wanaoamini Kardinali ni Kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania eti? Na bila shaka ndio maana unashangaa kwanini haongei eti?Kwa Mufti wa wenzetu kule, akina Takbiir!, unaweza kung'amua ni kwanini yupo kimya; ila kwa huyu wa kwetu, Mhashamu sana, Mkuu sana, kulikoni hasemi chochote? Mimi kwa kweli huwa naonaga picha zake tu, halafu natamani sana aseme neno, lakini simsikii kabisa kabisa akisema neno - akitema cheche!
Na sio maneno mengi wala, kiongozi mwenye ukubwa kama yeye, ni maneno kidoogo tu, baaaasi! Unaunguza mtandao mzima wa mapori tengefu, cheche!
Kumbe mimi nisingekuwa Padri mzuri, japo nilitabiriwa kuwa padri, maana napenda sana kuongea, na sio maneno matupu tu, bali, ni cheche! Najua mnajua naongea kitu gani haswa: cheche! Hata Padri Kitima alivyoshambuliwa, nilitegemea kuziona cheche!
Nikiyasema haya, linanijia jina la Laurent Mwonsengwo Pasinya, huyu alikuwa ni Padri huko Congo DRC ambaye alikuja kuwa Kadinali. Enzi za maisha yake, huyu mkuu sana, alikuwa anawatemea sana cheche na moto, viongozi wa Congo DRC waliotaka kubagaza haki za raia na demokrasia. Alimpa shuruba sana Mobutu Seko Kuku Ngwendu wa Zebanga, na pia alimtemea sana cheche Joseph Kabila alipotaka kuupora uchaguzi wa 2011 huko Congo.
Wakati utawala wa Mobutu Seko ukikaribia ukingoni, ni Mwonsengwo Pasinya aliyeaminiwa na wacongo kushika nyadhifa kubwa kwenye serikali ya mpito kama: President of the Sovereign National Conference mwaka 1991, president of the High Council of the Republic mwaka 1992, na speaker of a Transitional Parliament mwaka 1994.
Najiuliza swali: Ikiwa Kadinali wetu hatemi cheche, je, ataweza kuvivaa viatu vya Mwonsengwo Pasinya? Au, ya Pasinya tumuachie Pasinya?
Cheche zipo wapi cheche?
MC
Kwani Kardinali Pengo alikuwa Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania?Mbona Kadinali Pengo alikuwa hanyamazi. Au cheo chake ni tofauti na Rugambwa?
Hata sijui. You kardinal Rugambwa ndiye Mkuu wa Katoliki Tanzania kwa sasa?Kwani Kardinali Pengo alikuwa Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania?
Dah!Hata sijui. You kardinal Rugambwa ndiye Mkuu wa Katoliki Tanzania kwa sasa?
Mi nilikuwa najua Mkuu ni Askofu Ngalalekumtwa
Mzee wa ibada ya kumpiga mawe Shetani π€£π€£π€£π€£ hivi Huwa munamuona live shetani?? Au Huwa mnakadiria tuu??? π π π , mkuu ulipta mgaonwako wa TENDE??π π πCheche kwani ni mchawi? Ht hivyo askofu ukubwa wake ni kwa wafuasi wake siyo kwa nchi. Msijipe ukubwa msiokuwa nao. Ukuu wake ni kwa misukule yake kanisani kwake.
sema neno mpaka usemewe na mwanaume mwenzetu? Lijitu liutuzima unasubiri mtu mzima mwenzio akusemee? Au wewe sio riziki kwa maana ni mke wq mtu? Kama wewe ni Mwanaume kaza au kama mwanamke acha kaa nyumba lea ndoa yako ,chefuuu π¬π¬π¬π¬Kwa Mufti wa wenzetu kule, akina Takbiir!, unaweza kung'amua ni kwanini yupo kimya; ila kwa huyu wa kwetu, Mhashamu sana, Mkuu sana, kulikoni hasemi chochote? Mimi kwa kweli huwa naonaga picha zake tu, halafu natamani sana aseme neno, lakini simsikii kabisa kabisa akisema neno - akitema cheche!
Na sio maneno mengi wala, kiongozi mwenye ukubwa kama yeye, ni maneno kidoogo tu, baaaasi! Unaunguza mtandao mzima wa mapori tengefu, cheche!
Kumbe mimi nisingekuwa Padri mzuri, japo nilitabiriwa kuwa padri, maana napenda sana kuongea, na sio maneno matupu tu, bali, ni cheche! Najua mnajua naongea kitu gani haswa: cheche! Hata Padri Kitima alivyoshambuliwa, nilitegemea kuziona cheche!
Nikiyasema haya, linanijia jina la Laurent Mwonsengwo Pasinya, huyu alikuwa ni Padri huko Congo DRC ambaye alikuja kuwa Kadinali. Enzi za maisha yake, huyu mkuu sana, alikuwa anawatemea sana cheche na moto, viongozi wa Congo DRC waliotaka kubagaza haki za raia na demokrasia. Alimpa shuruba sana Mobutu Seko Kuku Ngwendu wa Zebanga, na pia alimtemea sana cheche Joseph Kabila alipotaka kuupora uchaguzi wa 2011 huko Congo.
Wakati utawala wa Mobutu Seko ukikaribia ukingoni, ni Mwonsengwo Pasinya aliyeaminiwa na wacongo kushika nyadhifa kubwa kwenye serikali ya mpito kama: President of the Sovereign National Conference mwaka 1991, president of the High Council of the Republic mwaka 1992, na speaker of a Transitional Parliament mwaka 1994.
Najiuliza swali: Ikiwa Kadinali wetu hatemi cheche, je, ataweza kuvivaa viatu vya Mwonsengwo Pasinya? Au, ya Pasinya tumuachie Pasinya?
Cheche zipo wapi cheche?
MC
Sijui kwanini watu wanaanza kuchanganya mambo. Sote tunajua msemaji mkuu wa Wakatoliki Tanzania ni Baraza la Maaskofu (TEC) kupitia katibu wake, ambapo humo TEC hata Kadinali yupo kwasababu pia yeye ni Askofu.Wewe unayajua vizuri.
Labda nikuulize swali hilo hilo: Kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania ni nani? Ama, Kanisa Katoliki Tanzania halina kiongozi? Maana ndo narrative naona inaenezwa kwa kasi hapa na wachangiajiBila shaka wewe ni mmojawapo wa wanaoamini Kardinali ni Kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania eti? Na bila shaka ndio maana unashangaa kwanini haongei eti?
Kumbe unaweza kupenda kitu au kukisifia kumbe hata hulijui! Pole sana!!
Jikite kwenye mada mezani; usiigize kutukana maana haufananii.Wewe hauwezi ku
sema neno mpaka usemewe na mwanaume mwenzetu? Lijitu liutuzima unasubiri mtu mzima mwenzio akusemee? Au wewe sio riziki kwa maana ni mke wq mtu? Kama wewe ni Mwanaume kaza au kama mwanamke acha kaa nyumba lea ndoa yako ,chefuuu π¬π¬π¬π¬
CCM ni mpango wa mungu kila mtu kajificha kwasasa Sababu wote ni wanafiki mbele za Mungu mkuu!!!Kwa hali hii asemaje jaman? Hebu lete mkutano wa huyo anaekubalika wenye watu nusu ya hawa.
View attachment 3462075
Jitokeze kusema wewe mwanaume mzima unasubiri usemewe? ChefuuuJikite kwenye mada mezani; usiigize kutukana maana haufananii.
Kuna binadamu ameshawahi kutema cheche na akawa hai?Kwa Mufti wa wenzetu kule, akina Takbiir!, unaweza kung'amua ni kwanini yupo kimya; ila kwa huyu wa kwetu, Mhashamu sana, Mkuu sana, kulikoni hasemi chochote? Mimi kwa kweli huwa naonaga picha zake tu, halafu natamani sana aseme neno, lakini simsikii kabisa kabisa akisema neno - akitema cheche!
Na sio maneno mengi wala, kiongozi mwenye ukubwa kama yeye, ni maneno kidoogo tu, baaaasi! Unaunguza mtandao mzima wa mapori tengefu, cheche!
Kumbe mimi nisingekuwa Padri mzuri, japo nilitabiriwa kuwa padri, maana napenda sana kuongea, na sio maneno matupu tu, bali, ni cheche! Najua mnajua naongea kitu gani haswa: cheche! Hata Padri Kitima alivyoshambuliwa, nilitegemea kuziona cheche!
Nikiyasema haya, linanijia jina la Laurent Mwonsengwo Pasinya, huyu alikuwa ni Padri huko Congo DRC ambaye alikuja kuwa Kadinali. Enzi za maisha yake, huyu mkuu sana, alikuwa anawatemea sana cheche na moto, viongozi wa Congo DRC waliotaka kubagaza haki za raia na demokrasia. Alimpa shuruba sana Mobutu Seko Kuku Ngwendu wa Zebanga, na pia alimtemea sana cheche Joseph Kabila alipotaka kuupora uchaguzi wa 2011 huko Congo.
Wakati utawala wa Mobutu Seko ukikaribia ukingoni, ni Mwonsengwo Pasinya aliyeaminiwa na wacongo kushika nyadhifa kubwa kwenye serikali ya mpito kama: President of the Sovereign National Conference mwaka 1991, president of the High Council of the Republic mwaka 1992, na speaker of a Transitional Parliament mwaka 1994.
Najiuliza swali: Ikiwa Kadinali wetu hatemi cheche, je, ataweza kuvivaa viatu vya Mwonsengwo Pasinya? Au, ya Pasinya tumuachie Pasinya?
Cheche zipo wapi cheche?
MC
π€£π€£π€£ lkn ukipewa kifuu ukavunje njia panda au yanapogeuzia magari kwamba maisha yako yatakuwa kitonga utapandishwa cheo unaenda mbiooooooooMzee wa ibada ya kumpiga mawe Shetani π€£π€£π€£π€£ hivi Huwa munamuona live shetani?? Au Huwa mnakadiria tuu??? π π π , mkuu ulipta mgaonwako wa TENDE??π π π
Nenda Tabora!Ndo tunataka tusikie hayo maneno yake ya binafsi, hizo cheche!
Kwanza tukubaliane, "HAKUNA KANISA KATOLIKI TANZANIA". Unakubali?Labda nikuulize swali hilo hilo: Kiongozi wa Kanisa Katoliki Tanzania ni nani? Ama, Kanisa Katoliki Tanzania halina kiongozi? Maana ndo narrative naona inaenezwa kwa kasi hapa na wachangiaji
Mi siwezi kukubaliana bila kushawishiwa kwa hoja. Unavyosema hakuna Kanisa Katoliki Tanzania una maanisha nini? Hichi kilichopo ni kanisa gani?Kwanza tukubaliane, "HAKUNA KANISA KATOLIKI TANZANIA". Unakubali?
Wengi sana, nimeweka mfano wa Laurent Mwonsengwo Pasinya.Kuna binadamu ameshawahi kutema cheche na akawa hai?