Swali chechefu: Sijawahi kumsikia Kadinali Rugambwa akitema cheche hata kiduchu tu. Kwani kuna shida?

Jitokeze kusema wewe mwanaume mzima unasubiri usemewe? Chefuuu
Jifunze kutofautisha kati ya kusema na kutema cheche, na hapo ndo ilipo tofauti kati yangu na wewe. Wewe unaimba sana maneno ya taarabu na kanga - maneno meengi yasiyo na impact. Mimi maneno yangu kidogo sana, lakini nikiyatoa, lazima kitatange kama wewe uibuke kutoka mafichoni, natema cheche!
 
Kuropoka sio kutema cheche, usipotoke mkuu, ni bora ukaniuliza kwanza maana ya kutema cheche, kulikoni kunisulubisha kwa kunilisha maneno.
 
Hivi ni yule Pole Pole aliekua mwenezi wakati wa JPM?
Ndiye yeye mzee wa V8. Ndiyo maana kwa sasa hakuka pa kushika. Huku Sukuma gang kule wahuni katikati Chauma. Ujinga ujinga kama huu unaweza sababisha wazee wa Ubwabwa wakashika madaraka kama ilivyokuwa kwa Jiwe kuwa Rais
 
Mtu mzito huyo, hahangaiki na takataka za katibu mnyaturu-kitima
 
L

🀣🀣🀣 lkn ukipewa kifuu ukavunje njia panda au yanapogeuzia magari kwamba maisha yako yatakuwa kitonga utapandishwa cheo unaenda mbioooooooo
Sipo huko kabisa mkuu ,mimi siwezi kuishi maisha ya Giza ,mimi ni msomi!! Naamini katika scientific research over, itakuwa wewe ndo unavunja vifuu ndo unafikiri na wengine pia??πŸ€”πŸ€”
Mwakani utaenda kwenye ibada ya kumtupia mawe Shetani??🀣🀣🀣

Yaani mawe yaleyale, mnatupia sehemu ileile, na mwakani mnauziwa Tena mawe yaleyale πŸ€”πŸ€”πŸ€£ ama kweli ujinga ni mzigo Mkubwa sana 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mtu mzito huyo, hahangaiki na takataka za katibu mnyaturu-kitima
Watu hamjaelewa cheche ni nini. Cheche ni cheche! Cheche sio maneno maneno.

Yeye aongee ya kwake sio lazima arudie ya Kitima.
 
Hahahahaaa wewe hujui huku usomini watu ndo wanaongoza kupigana makombora 🀣🀣🀣 uliza utapewa story lukuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…