Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Fanya mambo ya maana mkuu. Shughulikia yanayoyahusu maisha yako na yenye maana kwa watoto na wajukuu zako.Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa.
lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion
Research question: Could this death be prevented?
Remember: Prevention is better than treatment!!
Kifo cha JPM ni ugonjwa wake wa moyo, hakuna mkono wala mguu wa mtu. Alitakiwa aende huko walipomuwekea kifaa cha moyoni ili wamtazame yeye akawa mbishi.Ipitie hiyo sheria kwanza.
Vile vile tume maalum inaweza kuundwa kuchunguza kifo chake.
Alijawa na kiburi, suala la yeye kuumwa ni lazima mkewe alishamshauri kwenda kutibiwa huko Ulaya walipomuwekewa kifaa cha moyoni lakini kwa ubishi akaamua kudunda hivyo hivyo.Arafat alifariki katika nchi ambayo ilikuwa inapambana kutambulika kimataifa as a sovereign state tofauti na kifo cha Magufuli aliyekuwa mtawala wa nchi ambayo ni sovereign na alikataa wasimuingilie siasa zake za ndani ya nchi hapo ukigusa ndio kabisa umoja wa kimataifa utakukimbia maana hawakuwa na access ya mambo ya ndani kabisa.
Magufuli mwenyewe alishakataa na hakusafiri huko kwao leo ukileta kuwahusisha ndio unajiandalia kukataliwa kila sehemu ni nani atamtetea? Nani??
He was a best friend of his own and a master of his own demise. Alijichimbia kaburi lake mwenyewe.
Hii msahau tu amekufa baaasi.
I fully concur with you Zalemda as a researcher, that is your right to open up the pandora box for the lasting solution achievement to the controversial life extermination of the state master. There are a lot of disturbing stories related to the mortality modus operandi........you are encouraged to dig out the hidden myths for the national interests.Nauliza tu kama mtu akitaka kusoma file la matibabu ya Hayati JP Magufuli anaweza kupewa.
lengo ni kufanya utafiti wa sababu ya vifo vya marais wa Tanzania and draw conclusion
Research question: Could this death be prevented?
Remember: Prevention is better than treatment!!
Labda anajua kwanini anaanza kuchokonoa 😂 😂 😂 😂 😂Wewe ni mwanafamilia?
Mimi nilikuwa karibu na Magufuli kwa Mara ya mwisho alipozindua daraja ubungo akaelekea mbezi stendi siku inayofuata alienda kurasini polisi. Alikuwa na nguvu tu tena mkakamavu sana. Tangia hapo akapotea kwenye mediaUkiomba hilo file unaweza kuishia kutekwa na kuuliwa. Wapo wengi waliojaribu wakatolewa kafara.
Unamaanisha nini?Mimi nilikuwa karibu na Magufuli kwa Mara ya mwisho alipozindua daraja ubungo akaelekea mbezi stendi siku inayofuata alienda kurasini polisi. Alikuwa na nguvu tu tena mkakamavu sana. Tangia hapo akapotea kwenye media
Postmortem report ya Chacha Wangwe itakuwa wapi na kwa nani?Tutafute kontena la kuhifadhia hayo ma files
Mwingine ataomba la Hayati Dr Omar Ally Juma
Mwingine ataomba la Mzee Nyerere aliesafiri akiwa nadhifu na kaunda suti yake ya rangi ya kijivu, kiatu cha rangi ya ugoro na mawani yake meusi huku mfuko wa shati mkono wa shoto kaweka kasha la kuhifadhia mawani akarudishwa kwny sanduku
Mwingine ataomba la Hayati Horaca Kolimba
Mwingine ataomba postpoterm report ya Chacha Wangwe, mwingine ataomba ya Hayati Sokoine iliyosemwa alikutwa na Jeraha la risasi
Mwingine ataomba file la Maalim Seif mwingine ataomba la Kijazi
Hapo bado Kangomba hawajaomba la Che Nkapa
Wengine wataomba uchunguzi wa ajali ya Salome Mbatia
Tutosheke tuseme Alhamdulillah na tusonge mbele
Hakuna nchi isiyo na mwenyewe.Hilo limewezekana kwenye nchi ambayo haina mwenyewe
Nchi hii ina wenyewe ukianzisha tu watu tayari wameshakuzunguka
Hivi Mkuu ukishakua kiongozi mkubwa ina Maana kifo ni Halali yako?Tutafute kontena la kuhifadhia hayo ma files
Mwingine ataomba la Hayati Dr Omar Ally Juma
Mwingine ataomba la Mzee Nyerere aliesafiri akiwa nadhifu na kaunda suti yake ya rangi ya kijivu, kiatu cha rangi ya ugoro na mawani yake meusi huku mfuko wa shati mkono wa shoto kaweka kasha la kuhifadhia mawani akarudishwa kwny sanduku
Mwingine ataomba la Hayati Horaca Kolimba
Mwingine ataomba postpoterm report ya Chacha Wangwe, mwingine ataomba ya Hayati Sokoine iliyosemwa alikutwa na Jeraha la risasi
Mwingine ataomba file la Maalim Seif mwingine ataomba la Kijazi
Hapo bado Kangomba hawajaomba la Che Nkapa
Wengine wataomba uchunguzi wa ajali ya Salome Mbatia
Tutosheke tuseme Alhamdulillah na tusonge mbele
Hahahaaaasaw
sawaa , ila tukikupa ukubar kumfuata
Kiongozi umemwagika ile mbaya hongera sana aisee hii ndy maana ya sirikali nasikia Ben Saanane alimezwa na chatuTutafute kontena la kuhifadhia hayo ma files
Mwingine ataomba la Hayati Dr Omar Ally Juma
Mwingine ataomba la Mzee Nyerere aliesafiri akiwa nadhifu na kaunda suti yake ya rangi ya kijivu, kiatu cha rangi ya ugoro na mawani yake meusi huku mfuko wa shati mkono wa shoto kaweka kasha la kuhifadhia mawani akarudishwa kwny sanduku
Mwingine ataomba la Hayati Horaca Kolimba
Mwingine ataomba postpoterm report ya Chacha Wangwe, mwingine ataomba ya Hayati Sokoine iliyosemwa alikutwa na Jeraha la risasi
Mwingine ataomba file la Maalim Seif mwingine ataomba la Kijazi
Hapo bado Kangomba hawajaomba la Che Nkapa
Wengine wataomba uchunguzi wa ajali ya Salome Mbatia
Tutosheke tuseme Alhamdulillah na tusonge mbele
Hiyo tume hawawezi Ku survive watadonolewa wote,ukikubali kuwa kwenye tume hiyo ndy ushajichimbia kaburi lako mwenyeweIpitie hiyo sheria kwanza.
Vile vile tume maalum inaweza kuundwa kuchunguza kifo chake.
Ukiziba ulaji wa watu lazima wakupotezeHivi Mkuu ukishakua kiongozi mkubwa ina Maana kifo ni Halali yako?