Swali Fyatu la Mwezi: Wakimpa Sifa Zake, Watapunguza za Kwao?

Huwa mnapenda kulishwa uongo na wanasiasa. Wanawapikia dhana batili wanawaletea nanyi mnazifakamia kama zilivyo na kuanza kuzibwabwaja mtaani.
Amkeni.
 
Kwa namna ulivyomtaja Mungu hapo unafanya huyo Mungu aonekane mpumbavu, maana alipaswa kumuondoa siku ya kwanza anashika nchi au hata Siku ya kwanza anazaliwa.
Huyo Mungu anayeacha watoto kufa hata mwaka bado na akazembea kumtoa Magufuli kwa miaka 5 na kusababisha kina Lissu kupigwa risasi na Akwilina kuuawa, Huyo Mungu wako ni wa kulaumiwa maana ni mzembe sana.
 
Kwa hiyo sasa hivi Kuna umoja?
 

Magufuli amekuwa yardstick mpya ya kupima ufanisi wa uongozi.

Yardstick sharti iwe na mema (faida) na mabaya (hasara).

Tuendapo U-yardstick wa Magufuli utatumika tu hata kama waliopo kwenye mamlaka wakati huu hawapendi.
 
Leo kuna vichaa wanatulazimisha kuamini Magufuli was better than Nyerere?

Kweli Tanzania INA machizi wengi.
 
Leo kuna vichaa wanatulazimisha kuamini Magufuli was better than Nyerere?

Kweli Tanzania INA machizi wengi.
Aisee sikuona..hongera sana. Kwenye kujenga bwawa na Ikulu (Kati ya mengine) naam alikuwa. Najibu kama mmoja wa wanafunzi waliomwelewa sana Nyerere. Magufuli alikuwa mwanafunzi alielewa baadhi ya masomo ya Mwalimu.
 
Hii nchi viongozi wengi wana roho mbaya sana.
 
Hivi ww sijui Magufuli alikufanyeje!?
 
Tatizo ni Samia yeye ndiye mwanzilishi na anayeruhusu hilo.

Anaogopa kufunikwa wakati kiuhalisia kiutendaji hamkaribii hata kidogo Magufuli.
Naomba kukubaliana kwa Lugha tofauti.
Naamini fika SSH alizongwa, alikuwa hajui makombora yalikuwa yanamfikiaje, yaani pamoja na kuwa karibu, nafikiri alishangazwa na taarifa alizokuwa akipatiwa kulia na kushoto, mbele , chini juu she was backed at a corner...kama mnakumbuka akaja nena kuhusu kuparuliwa? (ujumbe ulikuwa mzito), manake ailibidi awe mkali baada ya kuona, mengi aliyoshauriwa afanye at zero hrs hayakuwa yale aliyeyategemea kuyafanya at hr two and three .....and so on

Aliogopa mpaka pale alipo sikia ile Sauti! Sidhani kama kulikuwa na mpindisho hapo.

Hakuogopa kufunikwa, aliambiwa/shauriwa afunike.
 
Wakumbushe pia alichosema Rais wa awamu ya pili Mzee Rukhsa kuhusu Magufuli. Sijamsikia akitoa kauli tena yule mzee kuhusu awamu hii
 
Mwisho wa siku hizo hela zilizotumika/zinazotumika kujengea hiyo moundombinu, ni kodi za Watanzania! Ni mikopo ambayo italipwa na watanzania wote!

Na siyo hao wanasiasa unaotaka wapewe acknowlegment.
Anayeongoza Lazima apewe acjnowledgement stahili. Umepewa mifano hapo lakini unajifanya kipofu. Mfano mwengine ni kwamba Mbowe anastahili sifa kwa kuwazubaisha manyumbu miaka 20 akiwa madarakani na haijulikani uchaguzi utafanyika lini
 
Jiwe aliupaisha uchumi mpaka ukafikia wa Kati. Hivi sasa tunaambiwa tumeshuka, inakuwaje tena yeye (JPM) ndo awe amesababisha kutufikisha hapa? Hiyo ni simple logic tu.
 
Mwisho wa siku hizo hela zilizotumika/zinazotumika kujengea hiyo moundombinu, ni kodi za Watanzania! Ni mikopo ambayo italipwa na watanzania wote!

Na siyo hao wanasiasa unaotaka wapewe acknowlegment.
Hilo ndilo la msingi zaidi
 
Mkubwa

Ni kweli kabisa Rais Magufuli kafanya mengi, mazuri sana na mabovu sana
Tatizo lipo hapo, ni wakati gani Marehemu anatajwa na wakati gani aachwe apumzike

Nashuri waendelee kumkwepa! ili apumzike na wasifungue ''can of worms''

JokaKuu
Huu uzi ungefungiwa hapa.
 
Kijana??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…